Search results

  1. Mark Francis

    Nyumba inapangishwa Kimara Mwisho

    Nyumba inapangishwa maeneo ya Kimara Mwisho, Ipo upande wa kushoto kama unaelekea Ubungo. Ina vyumba viwili (2) vya kulala, Sebule, Toilet ndani na Jiko. Haina uzio (fence), LUKU ya ku-share wawili na ipo katika mazingira tulivu. Kodi ni ndogo, inamfaa mtu anaehitaji nafasi kubwa ambae...
  2. Mark Francis

    Toyota rav 4 - inauzwa

    Aina: TOYOTA RAV 4 Engine Size: 2000cc Year: 2003 Distance travelled: less than 90,000Km Status: Good condition Price: 13,500,000/= Negotiable Contact: 0715-101740 (For serious customers only)
  3. Mark Francis

    Usiyoyajua kuhusu Kassim Hanga na Othman Sharrif

    Tunao wanahistoria wengi makini wanaoweza kueleza mambo haya kinaganaga kuliko tunavyofanya katika makala za magazetini, lakini ama hawajapata jukwaa au hawako tayari kufanya hivyo. Namuunga mkono Issa bin Nasser kwa aliyosema katika kitabu chake, Zanzibar: Kinyanganyiro na Utumwa. Aliandika...
  4. Mark Francis

    Msc Accounting & Finance Vs MBA Corporate Management, Ipi bora?

    Mwenye uzoefu kidogo katika mambo hayo naomba anisaidie. Kozi ipi ni nzuri kusoma Mzumbe Universitykati ya Msc Accounting & Finance na MBA Corporate Management kwa mtu ambaye tayari ana ACCA au CPA? Uzuri katika maana ya kupata ajira kirahisi, uwezo wa kujiajiri, applicability na releveance kwa...
  5. Mark Francis

    Natafuta shule ya Sekondari za wasichana O'level

    Ninaomba msaada kwa yeyote anaejua zinapopatikana fomu za kujiunga za shule zifuatazo anitaarifu; Rosmini High School - Tanga Anwarite Girls Secondary School - Moshi St. Mary’s Mazinde Juu KANDOTO SAYANSI GIRLS Secondary School Precious Blood - Arusha Ninahitaji msaada mapema ili niweze...
  6. Mark Francis

    Kuna nini clouds media?

    KUTOKA WAVUTI.COM
  7. Mark Francis

    Gari inauzwa toyota spacio new model (2002)

    Gari inauzwa, ni nzuri sana na ipo kama mpya. AINA YA GARI: TOYOTA SPACIO NEW MODEL ENGINE SIZE: 1,496 cc FUEL: Petrol Year of manufacture: 2002 BEI: TZS 14,000,000 (Negotiable) Kwa maelezo zaidi, piga namba 0715-101740
  8. Mark Francis

    Uchaguzi wa ufaransa: Somo kwa tanzania

    Tarehe 6/5/2012 Jumapili iliyopita, watu wa Ufaransa walifanya uchaguzi wao ambao tulishuhudia ukimfanya François Gérard Georges Hollande (Socialist Party) kuwa Rais wa 24 wa Ufaransa tokea mwaka 1848 ambapo Napoleon III alikua Rais wa kwanza. Uchaguzi huo ambao ulikua na ushindani mkubwa kati...
  9. Mark Francis

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Nimefungua biashara ya Mgahawa sehemu flani hapa jijini Dar es Salaam, nimeweka wafanya kazi 3; mmoja kwa ajili ya chips na wa2 kwa ajili ya chakula kwa sababu biashara yenyewe bado changa. Eneo ambalo nafanyia biashara lina population kubwa na halina competition kubwa sana. Mimi napitia mida ya...
  10. Mark Francis

    TRA - Assistant Tax Officer

    TANZANIA REVENUE AUTHORITY EMPLOYMENT OPPORTUNITIES POSITION: ASSISTANT TAX OFFICER Purpose of the Job • To conduct desk/field audits and report to Tax Auditors. • To collect Government revenue and implement enforcement procedures. Major Activities of the Job (i) Conduct desk and field...
  11. Mark Francis

    Makamba, chiligati & mkuchika: Ni kweli kuwa ndio gamba la ccm??

    Tumeshuhudia viongozi CCM na magazeti mengi yakitangaza kuwa CCM imejivua gamba kwa kuvunja sekretarieti ya CCM iliyokuwa chini ya Makamba, Chiligati, Mkuchika na wengine ambao sijawataja. Je, ni kweli kuwa viongozi hao wa chama ndio waliokuwa gamba ambalo CCM imetangaza kujivua?? Na je, huo...
  12. Mark Francis

    Busara za MIZENGO PINDA ziko wapi?

    Baada ya kulidanganya bunge kuhusu mauaji ya Arusha na kugundua kuwa kweli hakuwa sahihi (Kutokana na Spika kutokumhoji tena Mh.Lema), nilitegemea Waziri Mkuu angetumia fursa ya kuhairisha bunge, pamoja na mambo mengine kwa kuwaomba radhi watanzania kwa matamshi yake ambayo hayakuwa ya kweli...
  13. Mark Francis

    Hotuba ya JK kuzindua bunge la 10 tarehe 18.10.2010

    Nimeisoma weeee, nimeona peke yangu siiwezi... Nsaidieni afu tuichambue taratibu. Usiogope hilo jina la BWM limeandikwa kimakosa.
Back
Top Bottom