Search results

  1. BoGotta

    Umenunua? Tuwajibike kudai risiti kwa kila manunuzi unayofanya

    Asante Mkuu kutukumbusha, asubuhi nilinunua ugomvi sehemu. Nipo narudi kudai risiti.
  2. BoGotta

    Wanaume: Vitisho haviimarishi mahusiano

    Kwa hiyo wahuni wakikusifia tu unaipeleka kupigwa msasa?
  3. BoGotta

    Watangazaji wa Azam TV wamekuwa wakirudia nguo

    Mvua zinanyesha sana, nguo hazikauki acha warudie. Vipi unyunyu wanazipiga lakini? au tukuache Tv yako sio smart hausikii harufu?
  4. BoGotta

    Geita: Auawa akidaiwa kujaribu kumbaka mwanafunzi

    Na wakaamua waziteketeze kwa moto ili zisienee kwa jamii kama kimeta.
  5. BoGotta

    Mimi Mwanaume na hekima zangu zote, mwenzenu nalizwa na mapenzi

    --nikijishahuri --kanikubaria --mala #suRya
  6. BoGotta

    Mlinzi wa maktaba ya mkoa Kilimanjaro anawalinda makahaba wa Malindi, afutwe kazi

    Mjini hakuna cha bure, hayo makofi mazito huwa yanauzwa na gharama yake ni sawa na bei ya note 10+ jumlisha 100K iliyobaki kwa👮. Cha msingi adamke maktaba asubuhi kudai risiti ya EFD.
  7. BoGotta

    Mke wangu ni mzuri kupitiliza, wazazi walikua na wasiwasi naweza kusalitiwa. Akiwa mbali nakosa amani

    Nimeishia hapa babako anakuuliza "ere you sure she’s faithful to you? Kweli hamkuwa na mambo mengi ya kujadili.
  8. BoGotta

    Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira

    Aisee! Beki 3 atakuwa kacheka sanaaa, we mvizie muulize " unacheka una maana gani?"
  9. BoGotta

    Rais Samia tukumbuke watumishi wa NIDA

    Ujuha wenu mwingine ulikuwa ni kushindwa kucopy majina sahihi toka kwenye form, mnajiandikia tu spelling mnazohisi zinafaa nyie ili mrekebishe kwa malipo. ☹️ Graduation, Islamabad Y'ALL(In Senga's 🗣️)
  10. BoGotta

    Wanaume tujifunze kuishi na wanawake vizuri. Wanawake ni viumbe wema sana

    Kwa hiyo we kupewa Ch!U tu umeona kama umesaidiwa msaada na UN? Kwamba ni kwa neema tu.🤔
  11. BoGotta

    HII NYINGINE TENA KWETU WANAUME

    Mwaka huu achana nao, fanya inshu zingine la sivyo watakutoa damu safari hii.
  12. BoGotta

    Hivi ni sawa kwa mwanaume aliyeoa ku-hang out muda mwingi na marafiki ambao hawajaoa?

    Nimejipata nakumbuka zile hisabati za umri wa mtoto ni sawa na umri wa ndoa, miaka 7 ijayo umri wa baba yake na washkaji zake singo boys utakuwa 42. Tafuta kipenyo cha mlango wa dereva wa uber ukilinganisha na muda mwanandoa anaopaswa kurudi home.(10 maksi)
  13. BoGotta

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Laini ipi unayozungumzia tigo au voda? Tofauti na hizo hakuna laini hapo zaidi magoti ya 🐐 sugu moto chini.
  14. BoGotta

    Nini madhara ya kuzuia shahawa (semen retention) wakati wa majambozi?

    Mkuu ticha on duty. Material source zako unazoandalia vitini vya sayansikimu vyenye matango pori na kuuzia wanafunzi tuisheni kukutana na glucose, monosaccharides n.k ni kawaida ila huwezi kukuta Fructose kwenye semen na labda unahisi hiyo ni chumvi ndo maana umebisha kwa confidence sana.😂...
  15. BoGotta

    Nina mke ila nimetokea kumpenda mfanyakazi mwenzangu kazini, na-handle vipi hii hali?

    Mkuu mbona mkeo yupo vizuri tu kwa avatar! Muombee nafasi hata ya kujitolea hapo ofisini hakika upendo wako kwake utarudi akiwa mfanyakazi mwenzio.
  16. BoGotta

    Wanawake wanatuchukuliaje wanaume aina hii?

    Umesahau leo kuambatanisha picha zako zile ukiwa sayarini FB?
  17. BoGotta

    Mke wangu hunitukania baba yangu tukiwa tendoni

    Mpakae super glue kwenye lips, la sivyo kuna siku atakutukana tena mkiwa Ligamentini.
Back
Top Bottom