Search results

  1. B

    Uzazi kwa operation na kujamiiana

    Aksante sana nimekupata!
  2. B

    Uzazi kwa operation na kujamiiana

    Riwa Bw. Liwa nimepata kusikia kuwa kama Mwanamama mjamzito akigundulika ana VVU pendekezo pekee la uzazi wake ni kwa njia ya upasuaji ili kuepusha maambukizi ya VVU kwenda kwa mtoto? unasemaje juu ya hili?
  3. B

    Antiviral activity of Carisa edulis (Mugarika)

    Carissa edulis-murigariga wa miujiza ya Loliondo Utangulizi Mchungaji Mstaafu Ambilikile Mwasapile ni jina lililojipatia umaarufu sana katika siku za karibuni nchini Tanzania. Umaarufu wake unatokana na madai kuhusu uwezo wake wa kutibu maradhi sugu mbalimbali kwa kutumia dawa ya ‘kiimani’...
  4. B

    Njia rahisi ya kumaliza panya

    panya ni tatizo kwa kweli kama hii itafanyakazi utakuwa msaada mkubwa sana kwangu! Aksante in advance! ila ni wajanja saaaana siku hizi!
  5. B

    Machine za kutoa sumu mwilini

    Habari Wanajamii! Pengine hii mada ilishawahi kupewa maelekezo hapa ukumbini ila kwa ugeni wangu mnivumilie kwa swali hili! Jana nilipata wasaa wa kushuhudia watu wanatibiwa kwa kutolewa sumu mwilini hii ikiwa ni pamoja na mafuta, metals, na sumu nyingine zisizostahiri kuwepo ndani ya mwili wa...
Back
Top Bottom