Search results

  1. KIGHERA

    Msaada wa kiutumishi (mambo ya Lawson)

    Habari Wadau, niende moja kwa moja kwenye ishu yangu, niliajiriwa kwenye taasisi moja ya serikali miaka ya nyuma then nikapata kazi taasisi nyingine nayo ni ya serikali. Nafasi niliyopata ilikuwa ni nzuri kidogo nikilinganisha na ile ya awali hivyo ikanilazimu kuacha kazi taasisi ile ya awali...
  2. KIGHERA

    Wakuu ushauri wenu ni muhimu, nimefilisika

    pole sana kaka usikate tamaa.
  3. KIGHERA

    Sababu za kuhama kutoka kituo kimoja kwenda kingine

    Habari za jioni wadau, naomba mnisaidie, mimi ni mfanyakazi mwaka jana niliomba kwa mwajiri wangu transfer kutoka kituo nachofanyia kazi sasa kwenda kituo chetu kingine na sababu kubwa kwa kweli ni kuwa karibu na familia yangu, kwani huku nilipo nipo mbali na familia kwa hiyo napata changamoto...
  4. KIGHERA

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Habari wadau, Kwa sasa niko Mbeya mjini hivyo nimeona kuna fursa naweza ifanya nataka ninunue mchele Mbeya mjini then niutume Dar kwa ajili ya kwenda kuuzwa. Hivyo wadau wenye uzoezi na biashara hii wanisaidie kunijuza yafuatayo: 1. Ni wapi naweza pata mchele kwa bei nafuu kwa hapa Mbeya...
  5. KIGHERA

    Maumivu ninayopata haijawai tokea, nisaidieni namna ya kupata nafuu

    Kiongozi huyo ni kunguru atakuumiza sana fanya hivi,block no yake then kama huna issue sana na smartphone unaweza ukaachana nayo kwa muda kaam wiki hivi ili utuluze kichwa halafu na vi2 vyake mpelekee ili asikufeate tena then usifwatilie story zake.Pole ndo mahusiano
  6. KIGHERA

    Mwanamke unayeishi naye akikwambia anakuchikia toka moyoni kuna haja ya kuendelea naye?

    in inategemea na mazingira yalikuwaje mpaka akakuambia hivyo inawezekana mlikuwa kwenye ugomvi ndo akasema hivyo,mara nyingi inaweza kuwa hasira tu ila hamaanishi hivyo ila endelea kumchunguza na kukaa chini kumuelewesha.
  7. KIGHERA

    Jifunze namna ya kutumia Tsh 300,000 kama mtaji wa kufugia kuku

    ukisema kuna mambo hayajajumuishwa unatakiwa utueleze ni yapi,vinginevyo kaa kimya kama huna point jamaa kaeleza vizuri
  8. KIGHERA

    Tangazo la maelezo ya ajira - MSD

    ila na nyie mmezidi toka march mpaka leo mnaendelea na mchakato,RAIS ashakataza haya mambo ya mchakato......muda mrefu mnaochukua toka kutangaza kazi na kuwaida ndo yanaleta mazingira haya ya utapeli na rushwa ndani yake.Kama hamjajipanga msitangaze mpaka mjipange wenyewe ndani ndo...
  9. KIGHERA

    Nimepokea card yangu ya Payoneer

    tuelimishe mzee hiyo kadi inasaidia nn?
  10. KIGHERA

    Utajiri kutoka JamiiForums

    Ni kweli mkuu,hili jukwaa limetufungua wengi ni jukwaa ambalo waliofanikiwa sana kwenye ujasiriamali wanakutana na wanaotaka kufanikiwa....ila naomba nielezw unanunulia wapi bidhaa zako.?
  11. KIGHERA

    Amazon mkombozi Mpya kwa wale wenye mitaji midogo ina faida kuliko d9 karibuni

    Hebu toa ufafanuzi jinsi unavyotransfer hiyo e money kutoka amazon account kwenda bank account yako au kwenye cm.....maana huo ndio mtihani mkubwa unayoikumba d9 kwa sasa,yaani ugumu wa kutoa zile fedha unazolipwa electronically kuja kuingia bank.
  12. KIGHERA

    Watanzania tunajiandaaje na kasi hii ya mabadiliko ya fedha za kimtandao?

    Changamoto tulionayo hasa hapa kwetu ni jinsi ya kutoa E money kutoka kwenye "bitcoin wallet" kupeleka bank au kwenye cm, mfumo wa bitpesa nao ni changamoto kubwa. Kama financial institutions zetu zikiweza ku integrate na mfumo huu basi ishu nyingi naona za kimataifa na hata biashara za...
  13. KIGHERA

    MBEYA!!!!!

    Natafuta rafiki wa kubadilishana nae mawazo ila awe mbeya maana na mm niko mbeya,asiwe mlevi pls. Mi ni mwanaume nna miaka 39, kama uko interested ni pm pls, kama haikuhusu we pita kimyakimya.
  14. KIGHERA

    Hasira zinanizidia msaada.

    pole mkuu ila hata mm huwa inanitokea yaani kama naongea na cm natamani m2 angekuwa karibu nimfanye ki2 mbaya ila huwa kuipunguza naenda kwenye mziki mkubwa naskiliza n hatimaye zinaisha ila mm ni mpenz wa mziki,cjui ww.....ila jitahidi kukaa mbali na wa2 wanaokuuzi maana inaweza fanya jambo...
  15. KIGHERA

    Kifanyike kitu gani watu wadumu kwenye ndoa?

    hakuna sababu moja unaweza kuitaja ili kudumisha ndoa ila siri ya ndoa nyingi kudumu licha ya kugombani ni uvumilivu, kusameheana na kuheshiana....basi ni hayo tu.
  16. KIGHERA

    Nimetoka polisi muda huu kisa mapenzi, hebu pita unipe ushauri

    Kaka utampiteza mwanamke mzuri sana kwenye maisha yako,ushauri wangu komaa na huyo mtanga"wazuri wako wengi hapa mjini ila wengi matapeli yaani usiache mbachao..."
  17. KIGHERA

    Mdogo wangu aikosa ndoa kisa michirizi

    huyo hampendi maana hata akimuoa c ataongezeka,ina maana atamuacha tena,mdogo wako atateseka tu huyo jamaa anachagua sana mwambie ampende alivyo vinginevyo tupa kule.
Back
Top Bottom