Search results

  1. V

    CHADEMA mtamkumbuka Zitto na Slaa, CUF hawataisahau CHADEMA

    Nasema hivi CDM mtakaaa matabaki kuja kibishana na THREAD humu ila cha moto mtakiona...
  2. V

    Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    TOOOOOOOOOOKaaaaaaaaaaaaaaaaaaa... Kafulila kafia mbaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  3. V

    Mzee Matson Chizi Mwizi maarufu wa Kura aliyehama CCM na kujiunga CHADEMA

    Mimi binafsi nilisikia akisema walisema kuwa amekuja chizi wa kuiba kura..ila cha ajabu le0 mwizi analalamika kua ananaibiwa...huku ni kuudanganya umma...tuliende magufuli amalize shughuli
  4. V

    Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    Tna Imani na kiongozi wetu magufuli, mipango hii na mikakati mingine mbali mbali inaonyesha dhahiri ni kiasi gani mgombea huyu amejipanga na anaimani kubwa kua atashinda hivyo anaaanza kuandaa utaratibu wa namna atakavyowatumikia wananchi, Ni ushauri wangu kwa kila kijana kuweza kuitimia haki...
  5. V

    Magufuli ateka Ikungi kwa Tundu Lisu, UKAWA KWISHA HABARAI YAO

    Huyo Tundu Antipas Lissu anacha kuwatumikia wananchi yeye anakesha kuwa mwanasheria wachadema anasahau jimbo, sasa achia wanaoweza
  6. V

    UKAWA watapatapa...

    Kitu kimopja cha kushangaza ni kuwa hawa CHADEMA na UKAWA kwa ujumla wakifika mikoani wanafanya mikutano 2 au 3 alafu wakiikumbuka tume ya uchaguzi wanarud Dar kuja kuipigia kelele. Kama mnaacha kutafuta kura kila siku nyie nikuitaka tume ya uchaguzi ilinde kura mnataka ilindekura gani ambazo...
  7. V

    Babu Duni aonekana Zanzibar

    hahahaha....Babu Duni wameshamzomea hadi amekosa amani akaona hawa watu wa bara
  8. V

    Lowassa na UKAWA wamesahau kuwa SIASA NI SAYANSI

    Ukweli unauma, ila tunajua kua ukweli ni mmoja na haugawanyiki na siku zote ukweli ukisemwa huegemea upande mmoja ambao unahitaji kupia. Siasa ni sayansi tena inayohiyaji ukae utulie ili uweze kutoa maamuzi yenye tija.. Ningependa kuongezea kitu kimoja kwenye maelezo yakoambacho ni VOTER'S...
  9. V

    Dk. Magufuli ni muadilifu, mchapakazi na mfuatiliaji tunamuamini

    Tanzania nchi yangu, CCM chama changu, Magufuli ndio kura yangi na baada ya kuapishwa atakua ndie Rais wangu. Sababu ya kumchagua ni kwa vile ni mchapakazi, muadilifu, mfuatiliaji, na huyu ni aina ya kiongozi ambaye tunamtaka kwa sasa. Tunahitaji kwenda mchaka mchaka wakati wengine wanatembea
  10. V

    Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

    Unapoona mtu anadhubutu kunyanyua mdomo wake huku akimsifu lowasa kua nikamanda na akimtuhumu dr.slaa kua ametumwa na CCM mtu huyo muangalie kwa jicho la tatu. Watu wanahoji vitu vya msingi wewe unakuja na tuhuma zako ambazo hazina hata kamshiko. Lowasa amewalisha nini nyinyi? lowasa shida yake...
  11. V

    Mtikila: Dr Slaa na Prof Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

    Mtikila yupo sahihi kusema kua lowas htoshi kua rais, sababu hata ukimsikiliza sumaye alipotoa sifa za rais wakati anatangaza mia, sifa mojawapo ilikua ni swala la afya. wote tunajua kua ugonjwa ni kitu kibaya na mtu akiwa anaumwa hata uwezo wake wa kufikiri unapungua, hivyo basi, lowasa hawezi...
  12. V

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Kahama - Septemba 25, 2015

    UPDATES MagufuliJP Kahama: Nina waomba kura zenu wote, ninataka nikawatumikie wananchi kwa moyo wangu,maendeleo hayana chama, sote tunayataka
  13. V

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Kahama - Septemba 25, 2015

    Updates Nina ahidi nikichaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano wa JMT, ninaahidi kuitetea na kuilinda manani tuliyonayo. Maana pasipo na amani hakuna shughuli zozote za maendeleo
  14. V

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Kahama - Septemba 25, 2015

    Updates Nina ahidi nikichaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano wa JMT, ninaahidi kuitetea na kuilinda manani tuliyonayo. Maana pasipo na amani hakuna shughuli zozote za maendeleo
  15. V

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Kahama - Septemba 25, 2015

    UPDATES: Magufuli anaomba kura kwa wakai wa kahama, anawaahidi kuwatumikia na hakuaomba urais kwa kubahatisha ila anania ya dhati ya kuleta maendeleo... Nataka kujenga Tanzania yenye umoja
  16. V

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Kahama - Septemba 25, 2015

    UPDATES Bulembo: Tunapita kila kijiji tukiomba kura, tunaamini tutashinda kia mwananchi anapata nafasi ya kusikia sera zetu
  17. V

    Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

    Mabadiliko anayoyazuungumzia Magufulia ni kuanzia ndani ya chama hadi ngai ya nchi, Kma hua unamsikiliza kwa makini, hua anasema kua kuna watu wachache wanasababisha wananchi wanakichukia chamam na kuichukia serakali, sasa hawa ambao huwa ananwaita kunguni ndio wakutafutwa na kuchomwa moto ili...
  18. V

    Lowassa katika kashfa mpya! Ni ya uuzwaji kiholela wa UDA

    Haya yule mwana mabadiliko anaendelea kubadilika tunamuona hivi, Watanzania kama tukiamua kuelewa tuaelewa ila tukiamua kuto kuelewa pia hatutaelewa. Kila tu aua maovu yake ila ya huyu mzee yamezidi hayamruhusu yeye kua rais,tukishupaza shingo zetu na kuzani sisi tunamuone sana huruma kwamba...
  19. V

    Lowassa anaumwa Parkinson's disease, urais atauwezaje?

    Nakubaliana na Muandishi kua wakati Edo ni waziri mkuu alikua na uwezo mkubwa na wengi tuliona alipokua akiwakimbiza mchakamchaka wakurugenzi na wafanya kazi wengine, alikua ana afya iliyo imara ndio maan allimudu kutafanya yote yale. Ila ni ukweli kua hata sasa kua afya yake haiko viuri hata...
  20. V

    Elections 2015 Aliyemuibua Magufuli anastahiliki sifa za kipekee!!

    Hongera zako magufuli. Umevuka viunzi ambavyo wengi walijikwaaaaaa. Karibu ikulu
Back
Top Bottom