Search results

  1. F

    Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

    Watu bana? eti aliondoka na fuko la era.
  2. F

    Miaka 3 ya CHADEMA bila Magufuli wameshindwa kuwaondoa Halima Mdee na wenzake Bungeni

    Sio kazi ya CDM kuwaondoa, kazi ya CDM ni kuwaambia watawala hao ni wahuni, afu watawala wataamua wenyewe. Kwa katiba yetu hii wote tunajua wataachia ubunge bunge likivunjwa. Na ndiyo maana watawala wanaipemda sana katiba yetu ya hii.
  3. F

    Toka Dotto Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu, amefanya maajabu gani kwenye cheo hicho?

    Anaandaliwa kuwa PM wako 2025 kama ulikuwa haujui.
  4. F

    Hayati Magufuli alikuwa Nabii katika angle zifuatazo

    Ni kweli alikuwa nabii, maana chini ya utawala wake watu wengi hasa wenye mawazo na maono tofauti ya yeye walipotea, waliuawa, kufungwa, kupigwa na kupewa vilema vya maisha na wengine kufilisiwa mali zao. Yes, jamaa alikiwa nabii.
  5. F

    Je, Hayati Magufuli alikabidhi nchi kwa jeshi?

    Je wakati yeye akitawala aliiheshimu KATIBA ya nchi yetu, tuanzie hapo kwanza.
  6. F

    Baaada yakupata mtoto mke wangu havutiwi tena na kufanya mapenzi

    We si kashakuzalia mtoto sasa tabu nn ndug? Mizagamuo ya kila siku haijengi - mpe nafasi akupe siku anajiskia - binadamu hatuko sawa wote kimaumbile, wengine sex si priority.
  7. F

    Safari za Rais Samia zawaletea mchele wa virutubisho kutoka Marekani, taifa langu tunaelekea wapi?

    Mchele wa virutubisho? - hatukawii wanaume kuota manyonyo.
  8. F

    Hii CCM inayofanya maongezi na balozi wa marekani bado ni Chama cha Mapinduzi?

    Yaani wanafanya maongezi na mabeberu kweli ??
  9. F

    Matukio kwenye Picha: BAWACHA waache sifa sasa, hii sio Sawa!

    Wale Covid 19 naona ni mwemdo wa sura za unyonge - Je wabakie CCM ama waende kwa Zitto. Hongera Bawacha - nyie ndiyo wawakikishi halisi wa changamoto za wanawake wote wa Tanzania.
  10. F

    CCM Kukubali Chongolo kujiuzulu kwa kashfa bila kuzichunguza iliziamini leo anateuliwaje na tuhuma zile bila kusafishwa?

    Hamna chama humo ni majungu tele acha kupotosha watu. Sema maza hse kaamua kumpa ka kazi hako na kama angekataa basi wangemshughulikia kikamilifu - kwani sisi wananchi hatujui.
  11. F

    Mbowe: CHADEMA hatutashiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 2025

    Sawa msemaji mkui wa chama - tumekusoma.
  12. F

    CCM Kukubali Chongolo kujiuzulu kwa kashfa bila kuzichunguza iliziamini leo anateuliwaje na tuhuma zile bila kusafishwa?

    Yaani CCM bana, mtu anayetongoza wake wa watu kwa kutumia madaraka yake unampa tena li cheo likubwa la utendaji mkuu hapo mkoani, si atatumalizia wake zetu wajemeni - ndugu Rais ni vipi haya mambo
  13. F

    Ushauri wangu kwa Serikali na Waziri husika wa Nishati, kabla hamjawasha mtambo namba 9

    Kijana? Serikali yetu inahizaji Pesa tuna majukumu makubwa yanakuja, Uchaguzi wa mitaa na ule Mkuu. Tulia kwanza sisi tufanye kazi.
  14. F

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kocha apewe muda, msimu huu usihesabike bure, huwezi kubadilisha timu nzima.afu ukategemea matokeo.
  15. F

    Huyu ndiye Mungu wa Israel!

    Wenzako wanasema hao si wana wa Islael, ni wazungu waliojikusanya hapo na kufanya himaya yao. Ila ni wazungu wanaoongea kiebrania.
  16. F

    ACT Wazalendo: Tunaamini katika siasa za hoja, si maandamano

    Hawa hata KATIBA MPYA wanasema si kipaomnele chao kwa sasa.
  17. F

    Kwanini hapa Tanzania kama haujui kiingereza watu wanasema haujasoma hata kama umesoma?

    Kuna uhusiano mkubwa kati ya uchumi wa nchi na lugha yake.
  18. F

    Kwanini hapa Tanzania kama haujui kiingereza watu wanasema haujasoma hata kama umesoma?

    Tunatumia lugha ya kiingeleza toka kidato cha kwanza hadi vyuo vikuu na vingine vya kawaida. Haiwezekani wewe utumie lugha hii miaka zaidi ya 9 hadi 10 afu ushindwe hata kujieleza kwa mtiririko mzuri. Hapo kutakuwa na tatizo sehemu.
Back
Top Bottom