Search results

  1. kingzeddy

    Msada: Usajili wa gari

    Ndugu zangu hivi inawezekana kusajili upya gari? Mfano kutoka Namba A to E?
  2. kingzeddy

    Kijana wa kiume wa sasa tumejianda aje kuoa mwanamke aliyekuwa inspired...?

    Habari wanajamvi..!? Napenda kuleta kwenu hii mada tajwa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ni ukweli usiopingika dunia ya sasa mfumo una nataka haki sawa kwa kila jinsia. Na huu mfumo unawapa wanawake favour sana.semina za kutosha, elimu ya kujiamini,kutambua haki zako n.k Ni...
  3. kingzeddy

    WADADA JAMANIIIIIIII

    Siku hizi ya wadada wengi(sio wote) sana wanatamani kuzaa kuliko ndoa, tatizo nini mpaka mshatuambikiza wanaume stlye zakuela watoto nje ya ndoa kuongezeka kwa kasi. Mnadate miezi mwili tu unasikia "bby naomba nizae na wewe tumleewote mtoto"
  4. kingzeddy

    Sofa, meza na kapeti 'used' vinauzwa

    Bidhaa nimetumika miaka miwili na mwanafunzi. Zipo dar es salaam magari saba karibu na chuo cha St. Joseph 1.Kapeti 2.meza 3.sofa set Bei ya 400,000/= Serios buyer Piga 0718363214
  5. kingzeddy

    Mitaji 7 anayotumia mjasiriamali kutengeneza pesa kijasiriamali

    Ndugu zangu hii ndo mitaaji niliyo waza siku ya leo na nyie pia mtaongezea mingine na baadhi ya marekebisho kidogo ili tuwekane sawa ; 1. Mtaji wa kibinadamu. Huu ni mtaji wa kwanza unayemhusisha yeye kama binafsi atajitumiaje kupata pesa, kwa uwezo wake kwa kutumia akili, nguvu na maarifa...
Back
Top Bottom