Search results

  1. Ngoswe11

    Nampenda lakini basi

    Pole bidada, kuwa mvumilivu katika hiki kipindi lakini usitoe hiyo mimba , na ipo siku baada ya kujifungua huyo mtoto utakuwa mtu wa furaha sana. Hayo ni mapito tu ya hapa duniani, be strong, songa mbele achana nae huyo jamaa asikupandishe presha zisizo na msingi ipo siku atajuta na kukupigia...
  2. Ngoswe11

    Am addicted to these types of women!!!!

    Bwana mdogo pole sana kwa kuwa na mawazo mgando hadi muda huu. Yaani unakuja kujisifia kuwa unatembea na wanawake wengi na wanakulilia! POLE SANA! ni imani yangu kuwa hata bei ya kondomu hujui pakti moja ile ni sh.ngapi! Waonee huruma wazazi na ndugu zako jinsi watakavyo kulilia mara utakapo...
  3. Ngoswe11

    Mabinti wa Kichaga na Kipare

    Da Lizzy thanks sana! Kwa kuongezea ni kuwa watu hawajui kuwa dunia ya sasa imebadilika, waachane na kukariri mambo ya miaka ya 47! Ukioa mwanamke wa kichaga kiukweli hutalala njaa hata siku moja, anajua kupanga maisha hasa ukiwa muwazi kwake na kumuonyesha mapenzi ya kweli. Binafsi am so...
  4. Ngoswe11

    Mabinti wa Kichaga na Kipare

    Good experience NK, ukubwa dawa! Uzoefu wako unatusaidia wengi hapa JF kuelewa rumours zisizo na mashiko! ASANTE SANA!
  5. Ngoswe11

    nafisi yangu inachoka na maisha yangu!!!!!!!!!!!!!!

    Nakushauri kesho uwahi ANGAZA faster kwenda kucheki afya yako, nadhani unajua nini namaanisha hapo sio? Ukitoka huko kama ukiona upo fresh basi wewe usigeuke nyuma , na wala usimpe nafasi tena lakini ukiona mambo mabaya basi komaa nae tu coz ndo hivyo atakuwa mfariji wako hadi hapo........! Hivi...
  6. Ngoswe11

    swali kwa kina dada

    Demu = maana yake mwanamke wa kupotezea muda tu! a.k.a sehemu ya kupumulia tu. Sasa LD, unajua tofauti ya MKE na MWANAMKE? hahahaha...... tel me if you know? maana yake kama hujui maana ya DEMu basi unajua maana ya mke ukitofautisha na mwanamke, is it not?
  7. Ngoswe11

    swali kwa kina dada

    Kweli kabisaa mkuu, huyo demu alitafuta pa kupumzikia tu na sasa ameona amemis sana kutifuliwa ndio maana anamletea jamaa kibriiii!
  8. Ngoswe11

    swali kwa kina dada

    U're right dia. Hapo umemaliza kila kitu. Kama ujuavyo wadada wengine huwa wanatoa huduma ileee ya mambo ya pwani kwa siri kubwa sana! Nadhani haikuwa rahisi kumwambia jamaa ampe hiyo huduma may be kwa jinsi mshikaji anavyo-mrespect na ku-mvalue bila kujua hyo demu anagawa hiyo huduma. Hawezi...
  9. Ngoswe11

    ni kina dada hawa jamani

    hapo chacha
  10. Ngoswe11

    ni kina dada hawa jamani

    hapo vipi
  11. Ngoswe11

    Elimu bora....

    Hapo vipi wajameni!
  12. Ngoswe11

    Tido Mhando aula Al Jazeeera

    Kuwa mpole wewe, hiyo ni mipango ya uanzishwaji wake, ndio maana watakaoiendesha/simamia ndio wana-andaliwa akiwepo mkurugenzi wao- TIDO, sasa wewe unataka ianze leo hii hii au? acha ukilaza wewe! Kwa taarifa yako makao makuu yake takakuwa jijini Nairobi, kenya, wait and you will see the...
  13. Ngoswe11

    Tido Mhando aula Al Jazeeera

    Mkuu, Makao makuu yatakuwa Nairobi, kenya.
  14. Ngoswe11

    Msaada wa haraka

    Wakuu nisaidieni hii: Walimu wa kiume kwa kiingereza ninaandikaje wakuu?? is it male techers? or the male teachers? or .......... plse help me!
  15. Ngoswe11

    Maalumu kwa akina dada/ wanawake tu.........!

    Well said mkuuu, intersts za wadau nazo ni muhimu kuzisikia ili wahusika wajue nini akina kaka wanapendelea zaidi kutoka kwao! asante sana mkuu kwa kuliona hilo.
  16. Ngoswe11

    Ajinyonga kwa kukatazwa kuoa mke wa pili

    Hahahahah dah, Off topic, Miss Judith tunaomba majibu coz siku 30 zimeshapita sasa vipi mambo yapoje mbona hutushirikishi wana MMU tuliokuwa tunakuombea! Jamaa vipi anashangilia mida hii au hajaona ndani hadi mida hii?
  17. Ngoswe11

    Tabia ya mabinti kuwafanya Boyfriends zenu baba or walezi wenu

    Kwa hiyo bi-dada unataka kusemaje? kuwa nyie mpo kwa ajili ya kuchuna wanaume au? I mean nyie always ni watu wa kutumiwa na wanaume na kuwachuna hela ndio malipo yenu baada ya kutumiwa si ndio? Ahaaaaa sasa nimeelewa kuwa mwanamke hata aelimike vipi na hata awe na mamilioni lakini akitongozwa...
  18. Ngoswe11

    Tabia ya mabinti kuwafanya Boyfriends zenu baba or walezi wenu

    Dah unanikumbusha mbali mkuu, Kuna demu mmoja aliniambia anaomba nimpe 1Mill, nikauchuna kimyaaa, kaanza kunichombeza na sms za malavidavi mara sweet, baby, honey n.k Nikaona huyu anajidai mjanja kuhimiza nimpe hiyo pesa, nikamtolea uvivu. Nikamwambia achukue Card yake ya ATM , ya CRDB Bank...
  19. Ngoswe11

    Maalumu kwa akina dada/ wanawake tu.........!

    Dah kumbe nawe tulikuwa wote mle darasani kwetu Form IIIA, si unakumbuka teacher alivyokuwa anachombeza habari za Mazoe kule kisimani kwenye kuteka maji? hahahahahaha hadi raha aiseeee! Ok, nakushukuru sana kwa comment yako my dada, hopefully somo linaeleweka vema na wadau watazidi kutujuza...
Back
Top Bottom