Search results

  1. C

    Uchaguzi 2020 Magufuli(Mlowa): Ubunge sio 'madigrii' ni kipaji kutoka kwa Mungu; mkichagua Wapinzani nitashindwa kuwatumbua wasipofanya kazi

    Katika kipindi cha miaka 5 tumefanya mengi, hata kuhamishia Makao Makuu Dodoma halikuwa jambo dogo. Miaka 47 haijawezekana ila miaka 5 tumeweza. Makao Makuu yanamaanisha ustawi wa eneo hili unakuja kwa nguvu. Tunajenga Uwanja wa Ndege mkubwa huko Msalato ili ndege za kimataifa zije. Tumeleta...
  2. C

    Uchaguzi 2020 Lowassa: Huko kina Lissu wameanza kujipambanua kwa sera, fujofujo mpaka matv mengine yanatisha. Rais wetu usitishike

    Waziri mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwa Monduli kwenye kikao cha chama cha mapinduzi ambapo mwanae Fred Lowassa anawania jimbo hilo, alipata fursa ya kuongea na kumuelezea Dkt. Magufuli aliyoyafanya katika vita dhidi ya Korona. Pia kwenye kikao hicho alikuwepo Mizengo Pinda. Lowassa: Mimi...
  3. C

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Tumeboresha miundombinu, tumejenga barabara na kuweka taa. Tabora sasa kama Toronto

    Umati wa watu uliofurika kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni ya CCM mkoani Tabora leo tarehe 21 Septemba 2020 Baada ya kuwasili na kukaribishwa, awasifia wana Tabora kwa ushiriki wao katika kutafuta uhuru. Amesifia Tabora ya leo kwa kuwa na nyumba nzuri nzuri...
  4. C

    Uchaguzi 2020 Mgombea urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli akiwa Nsimbo, Kidahwe akielekea Kazuramimba, Kigoma kwa ajili ya mkutano wa kampeni

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nsimbo (hawaonekani pichani) wakati akielekea Uvinza mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020. Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe...
  5. C

    Uchaguzi 2020 Kaliua, Tabora: Dkt. Magufuli aeleza sababu za Kapuya "kukatwa" na Kamati kuu ya CCM, asema amechoka amuachie kijana. Kaliua inahitaji spidi mpya

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, John Magufuli ameweka bayana sababu za aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu, Juma Kapuya kukatwa na Kamati Kuu ya CCM ingawa aliongoza kwenye kura za maoni za ndani ya chama na badala yake akapewa nafasi ndugu Aloyce Kwezi. "Kwenye mchakato...
  6. C

    Picha: Dkt. Magufuli akiwa kwenye kampeni Kibondo, Kigoma

    Rais Magufuli akiongea na wananchi mjini Kibondo wakati anaingia mkoa wa Kigoma kufanya kampeni leo Alhamisi Septemba17, 2020.
  7. C

    Siasa siyo kufuata upepo

    Ilani ya chama pamoja na uwezo wa watendaji wake ndiyo hatima ya maisha yako kwenye kila nyanja ya maisha yako. Je, wewe kijana huna ajira? ilani ya chama ndiyo itakayokuonesha ni kwa jinsi gani ajira kwa vijana zitakavyotolewa Je, mkulima huna soko zuri la mazao yako? ilani ya chama ndiyo...
  8. C

    Kijua ndiyo hichi

    KIJUA NDIYO HICHI, USIPOUANIKA UTAUTWANGA M’BICHI Msemo huu ni maarufu sana na unahimiza watu kufanya jambo kwa wakati ili wasije juta. Kama ilivyo kwenye zao la mpunga yapasa kuuanika kabla ya kuutwanga, lakini jua likikupita hakika utautwanga mpunga wako ukiwa mbichi. Tume ya taifa ya...
  9. C

    Tutakupeleka ikulu kwa utendaji wako

    KWA UTENDAJI HUU TUTAKUPELEKA IKULU Baada ya kujizolea umaarufu mwingi kutokana na utendaji kazi wake kwenye kila wizara alizohudumia ikiwemo wizara ya ujenzi, Mh. Magufuli ameapa kuunda baraza dogo la mawaziri litakalofanya kazi usiku na mchana. Kauli hii ambayo pia ilithibitishwa na gazeti...
Back
Top Bottom