Search results

  1. Aaron

    Tetesi: HADHI YA RAIS. hii si timu sahihi ya kuongozana nayo!!

    makonda msiba kibajaji msukuma Nashangaa sana daktari mzima unashauriwa na kuwa beneti na watu wa aina hii!?? Tatizo ni nini!?
  2. Aaron

    Rooter inauzwa. 4g mitandao yote

    Bei tsh 80,000/- 4G Inatumia charger ya smart phone. Call Made in korea Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Aaron

    Hivi ilani ya CCM huwa inaandikwa na nani!?

    Nimejiuliza bado sijapata jibu...kama ikaa kamati kuu na kuweka mipango ya miaka mitano na kuandaa ilani inakuwaje anatokea kiongozi na kuipinga na wana ccm wenyewe kumshangilia... Lilianza swala la mabinti wanaopata mimba kutoruhusiwa kuendelea na masomo wana ccm wakashangilia na kumpongeza...
  4. Aaron

    Wawekezaji wauza kwa hisa zao kutoka Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) kutokana na mabadiliko ya bei ambayo hayatabiriki

    Wawekezaji wanauza kwa wingi hisa zao kutoka Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) kutokana na mabadiliko ya bei ambayo hayatabiriki, na hivyo kuhatarisha uwekezaji wao. Wawekezaji kutoka Benki ya CRDB, Vodacom, Benki ya NMB na TICL ndio wanaongoza kwa kuuza hisa zao.
  5. Aaron

    Rais anaposema tuzidi kufyatua anajua hali ya huduma ya afya nchini kwetu.

    Changamoto kubwa inayozikabili nchi za dunia ya tatu ni pamoja na vifo vya akina mama wakati wa kujifungua kutokana na ukosefu wa huduma za afya nchini. Hali inayopelekea akina mama wengi kupoteza uhai wao wakati wa kujifungua...imekuwa ni nadra sana kuwa na uhakika wa mama kuwa salama wakati wa...
  6. Aaron

    Watanzania tujifunze hili kutoka kwa maneno ya Bob Wine

    Juzi alipokuwa akifanya mahojiano na Zuhura Yunis mtangazaji wa bbc swahili...pamoja na maswali mengine aliuzwa yeye kama BOB WINE anataka kuwa rais wa UGANDA. alijibu akasema hapana mimi nataka haki kwa waganda wala si kuwa rais...mtangazaji akamuuliza tena "mseveni ana wafuasi wengi ambao...
  7. Aaron

    Aliyekuwa naibu jaji mkuu wa kenya leo amekamatwa kwa tuhuma za kifisadi na rushwa

    Nasikiliza taarifa ya habari bbc. Aliyekuwa Naibu Jaji Mkuu wa Kenya leo amekamatwa kwa tuhuma za kifisadi na rushwa...hii haikuwa habari kubwa ila lililonigusa ni haki aliyopewa mtuhumiwa...baada ya kukamatwa alienda kuhojiwa na baadae kufikishwa mahakamani ula muda wa mahakama ulikuwa umeisha...
  8. Aaron

    Baada ya Mwigulu kufutwa uwaziri, hii ndio post niliyoielewa sana kutoka Twitter

    "Mwigulu alikuwa na nafasi ya kuwa shujaa, mara nyingi tu. Mara zote ambazo mauaji yalifanyika, watu walipotea na mamlaka ya uteuzi ikamfunga mikono, alipaswa kujiuzulu kwa sababu kama umepewa kazi na unakwazwa katika kuifanya basi hiyo kazi haina maana. Timing."
  9. Aaron

    Samsung NOTE 4. 320,000/=

    Internal Memory 32gb Ram 3gb Location. Ubungo maji Call/WhatsApp 0768497592
  10. Aaron

    Mwanza sio salama hata kidogo. Watu wanauawa kama wanyama Serikali iko kimya!

    Wana Jukwaa. Siku ya Jumapili majuzi nilikuwa nasafiri kutoka Dar kwenda Mwanza! Mwanza naijua vizuri kwa sababu nimeishi zaidi ya miaka kumi kabla sijaamia Dar! Cha kushangaza wakati nasafiri huku nimjulisha mwenyeji wangu ambaye angenipokea baada ya kufika usiku sana. Nilipofika singida...
  11. Aaron

    Baada ya Uhuru ni sheria gani za Jeshi la Polisi zilibadilishwa.!?

    Kwa uelewa wangu wa historia ya utawala wa kikoloni jeshi la polisi lilitumika kuwakandamiza wanyonge ikiwa ni pamoja na kukamata kuwatesa na kuwadhibiti waafrica walioonekana kuwa tofauti na utawala wao.!! Nimejaribu kufatilia kwa wazungu waliotutawala jinsi wanavyotumia jeshi la...
  12. Aaron

    Congo says soldiers killed in border skirmish with Rwanda

    GOMA, Democratic Republic of Congo (Reuters) - Congolese soldiers were killed and wounded in a cross-border skirmish with Rwandan troops this week, Democratic Republic of Congo’s military said on Thursday. Each side accused the other of violating the poorly-demarcated border, the scene of...
  13. Aaron

    Pole sana Tido Mhando, Tufanyie hii kazi watanzania...

    Pole sana tido.. Unapitia kipindi kigumu kwa wakati huu kwa kesi inayokukabili...usife moyo bado watanzania wengi tunakubali mchango wako hasa kwenye tasinia ya habari. Ndugu Tiddo pamoja na majukumu yako nakuomba umtafute dr. Slaa kwenye mahojiano.. Japo leo sijafatilia sana kwenye kipindi cha...
  14. Aaron

    CCM mnapoendelea kuwapokea wapinzani msisahau maendeleo

    Nawakumbusha wana CCM na watanzania kwa ujumla...kasi mliyonayo ya kuwapokea wapinzani msisasahau maendeleo ya nchi na watu wake. Kama taifa litaendelea kuwa masikini kama ilivyo sasa sasa. Kipato cha mtu mmoja mmoja kikiendelea kushuka kama ilivyo sasa huduma za kijamii hasa maji, elimu na...
  15. Aaron

    Hospitali mpya ya Mloganzila.. Serikali mmepata wataalamu wa vile vifaa!?

    Leo nimeona kwenye taarifa ya habari azam tv. Uongozi wa hospital ya mloganzila ukisema kwa sasa huduma zinaendelea kama kawaida na wanaendelea kuwatibu vizuri wagonjwa waliohamishwa wakitokea muhimbili..kama kuna mwandishi wa habari humu naomba akafanye utafiti kidogo tu katika hospital...
  16. Aaron

    Rais ana mamlaka juu ya mawaziri wa Zanzibar ambao si wa muungano?

    Je, hii amri inafaa kwa waziri wa Zanzibar ambaye si wa muungano au ilibidi Shein ndiye amuamlishe..!! Ufafanuzi please!
  17. Aaron

    Neno la shukrani alilotoa kijana aliyepiga picha expansion joints za hostel

    #NENO_LA_SHUKRANI. Na Kumbusho Dawson Siku ya tarehe 03/12/2017 katika ukurasa wangu wa Facebook nilichapisha chapisho lililoambatana na picha zinazoonesha nyufa katika moja kati ya majengo ya Hostel Mpya, zilizopo Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Dk.J.P. Magufuli Hostel. Siku iliyofuata, Tar...
  18. Aaron

    Askofu Bagonza: Hoja hufungwa kwa hoja, si kwa kifungo wala mahabusu

    Anaandika Askofu Benson Bagonza Jizoeze kuvuta pumzi na kufikiri. Hii itakusaidia kujisikiliza kabla hujategemea kusikilizwa na unaowahutubia. Uwezo wa kujisikiliza hukuwezesha kutambua kweli hizi: 1. Haki na madaraka ya kumpiga mtu haimwondelei mtu huyo haki ya kulia. Kwa hiyo kumchapa mtu...
  19. Aaron

    Maneno ya Hussein Bashe baada ya Askofu Niwemugizi kuhojiwa na uhamiaji

    Mbunge wa Nzega Mjini, Mhe. Hussein Bashe baada ya kukamatwa na kuhojiwa kwa Askofu Niwemugizi katumia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa twitter na kusema maoni yake juu ya swala hilo! Hussein Bashe ameandika kuwa; "I know how it feels unapo ambiwa AMA kuanza kujazishwa Fomu na kuhojiwa...
  20. Aaron

    Samsung galaxy J7 mpya inauzwa 350000

    Camera 13mp Internal. 16gb Ram 2gb Niko ubungo dsm 0719397568 Bei 350000 fixed
Back
Top Bottom