Search results

  1. Kikarara78

    Asanteni Wajumbe wa Kigamboni, Kamati yangu ya 'Wasiojulikana' ya Roho Mbaya CCM Dar es Salaam na Kamati Kuu ya CCM Dodoma 'Mtu' kachinjwa rasmi

    Boss GENTAMYCINE Umesahau ... Rais ana nafasi 10 za upendeleo ??? !!! Ila Bashite ... Kavuna alichopanda ... Na iwe fundisho kwake na Viongozi wengine wa aina yake
  2. Kikarara78

    WanaJamiiForums tumeonyesha Ubinafsi wetu kwa Pascal Mayalla, tumeshindwa kumpigania kwa kumpamba

    Boss G Sam Undumiwakuwili na Double Standard zake ndio zimemuangusha. Hata maandiko yanasema, wa kusujudiwa ni Mungu pekee. Sasa kakosa yote, Kakosa Tenda zake, Kakosa Mjengoni. Uzuri hajaanguka mwenyewe, Kuna Vikisi vimeng'oka Buaaanaa .... So kifo cha wengi .....
  3. Kikarara78

    Uchaguzi 2020 Wafahamu baadhi ya Watia nia ya Ubunge wa CCM ambao hawakushinda katika kura za maoni lakini wamepitishwa kugombea katika majimbo yao

    Boss Suley2019 Hao wamepitishwa kutokana na kuwa na Mtaji wa Watu aka Connection aka Kura
  4. Kikarara78

    Uchaguzi 2020 Japo ni mchungu 'Kumesa' lakini ndio ukweli wenyewe; watakaorudi Bungeni ni 'wa kijani', kubali kataa. Mwenye masikio na asikie!

    Boss Pascal Mayalla Yaaani miaka 5 imeisha umeangukia Pua ???!!! Hata uteuzi kwenye Bodi yoyote haujapata ???!!! Ina maana hawaoni Juhudi zako zote hizi ???!!! Acha kubeza Upinzani, Upinzani una Mchango Mkubwa Sana na Mno kwa Maendeleo ya Nchi. Mimi naamini bila Upinzani Mh. Rais wetu...
  5. Kikarara78

    Mwl Nyerere: Hata mimi walinambia using'atuke nchi bado inakutegemea, nikaja jua kumbe nchi ni familia zao, hawana uhakika na ajira zao nikiondoka

    Boss My Son drink water Wana Deep ... Ila Nia yao ndio hiyo .... Iwapo Mh. Rais amedhubuti kwa baadhi ya Issue ila mimi siungi Mkono Hoja wa kumwongezea Muda.
  6. Kikarara78

    James Mbatia ni mwanachama wa CCM 150%

    Boss Tabutupu Usemeyo yana ukweli wote ni Mjinga tu asiyejua hayo. Mbona umetuwekea picha ya Spika Ndungai inhali habari ni ya Mbatia???!!! Mimi Binafsi, Simuungi Mkono huyu aliyeleta Idea ya Kuiua Chadema. Wapinzani wanaibua mambo ambayo wengi wetu tunakuwaga gizani, yawe ya kweli au Uongo au...
  7. Kikarara78

    Lijualikali: CHADEMA iliiba kura za Urais baadhi ya Majimbo 2015

    Boss usinijibu hivyo Hivi ni kweli amemuoa Mtoto wa Spika Ndungai???!!! Ushauri wangu kwake: Si Asa ni mchezo mchafu, akae kimya tu. Akipewa Mfupa MCC, ajilie zake taraaatiiibu tena kimya kimya.
  8. Kikarara78

    Wapinzani tusimame pamoja kwenye miradi ya nchi tuikosoe Serikali inapokosea

    Boss Nigrastratatract Kunywa Fanta Kubwa hapo kwa Mangi, nakuja kulipa, Akupe na Doom ya kuuwa nyuki. Naunga Mkono Hoja, Kwenye Interest za Nchi, Tunatakiwa tuwe kitu kimoja, Siasa tuweke pembeni. Najua Maumivu ya wengine wanayopitia mpaka wanaombea mpaka Interest za Nchi zisifanikiwe tu kwa...
  9. Kikarara78

    Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!

    Boss Pascal Mayalla Namnukuu Prof Asad, kuna siku alisema ... Tujenge Taasisi Imara na si WanaSiasa au Mtu. Ukiwa na Taasisi Imara itatoa mazao ya Watu Imara. Walivyomkata Mamvi, walimwambia, Hakuna Mtu maarufu zaidi ya Chama, Mamvi alikuwa maarufu kwenye Chama, Mamvi alikishika Chama, Mamvi...
  10. Kikarara78

    Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

    Boss Pascal Mayalla Post na Mada yako ni ya Kinafiki sana na mno, Wewe ni Gwiji wa Tasinia hii ya Habari, Tumia Kalamu yako Kuponya, Kuleta Umoja wa Kitaifa, Tumia Kalamu yako Kujenga. Kuanza kulaumu wanoombea mabaya wenzao bila kuainisha sababu zao za kuombea mabaya wenzao ni kujishushia...
  11. Kikarara78

    Vizuri kuwasilikiza viongozi wetu na kuchambua wasemacho

    Boss Chakaza PhD Holder Vs Dj Ngumu kumeza, Ngumu kutema.
  12. Kikarara78

    Tuliokuamini na kukutetea kwenye janga la Corona umetuangusha. Nimepoteza rafiki na ndugu kwa janga la Corona. Serikali chukueni hatua

    Boss barafu Acha nianze Upande wa Pili halafu nije Upande wako Boss, Nimekusoma nimekuelewa sana. Usingefiwa Mkuu usingekuja na Uzi mkali hivi, Jua Mtu kama haujaibiwa, ukikuta Mtu au Watu wanapiga mwizi, utawalaumu wanaompiga mwizi, Sasa ngojea uibiwe, ukimwona mwizi unachukua jiwe na unapiga...
  13. Kikarara78

    Rais Magufuli atoe mfano kwa WB kwa kusamehe madeni ya kodi kwa wafanyabiashara wa TZ

    Boss heradius12 Sasa Kama unajua Serikali haipokei Kodi mbona umeshauri Mh. Rais asamehe Kodi???!!! Kuhusu Attachment uliyotuma, Ni kitu kile kile nilichosema, Hizo Cheque kwa kila Raia si bure, Marekani kila Raia Ni lazima u file tax mwanzo wa mwaka, mwisho Ni April 15 kila mwaka. Ni Kama...
  14. Kikarara78

    Rais Magufuli atoe mfano kwa WB kwa kusamehe madeni ya kodi kwa wafanyabiashara wa TZ

    Boss heradius12 Sikubaliana na wewe kwa sababu zifuatazo: Hata Nchi zilizoendelea hakuna kitu kama hicho, Nchi zilizoendelea kuna kitu kinaitwa Stimulus Packages, yaani TRA ya huko wanachofanya wanakukopa pesa halafu mwanzo wa mwaka unapo files tax, wanakukata. Kingine Nchi zilizoendelea...
  15. Kikarara78

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu: Wagonjwa 37 wamethibitishwa kupona virusi vya Corona na wameruhusiwa kwenda nyumbani

    Boss Return Of Undertaker Ni jambo jema na la kufurahia, Ndugu zetu kupona na tunawaombea wote wanaoumwa wapate kupona, maana ni hazina ya Taifa. Ila kuna kitu kinanikwazwa sana, Kwanini kila kitu kinafanyika mpaka Rais aseme??? !!! Ni kuwa Watendaji wetu hawajui majukumu na wajibu wao???? ...
  16. Kikarara78

    Je, Rais Magufuli "amefichwa" Chato kilazima kwa sababu za kiusalama?

    Boss Interest WaBongo wachunguzi balaa ... Usalama wa Rais na Wasaidizi wake na Wananchi wote ni muhimu ..... Ndio maana Rais anatamani hata muda huu mitandao aifunge, yaani ashajua mpaka namba zinazotumika ni za Nje ya Nchi. Kumbuka Rais anapewa taarifa za kila kona katika Nchi hii, ziwe za...
  17. Kikarara78

    Mjadala kuhusu kuvaa barakoa: Majibu yangu kwa Shangazi Maria Sarungi

    Boss Abdul Nondo Hata sioni Logic yako hapa, Umeandika Li Gazeti lakini umezunguka. Zote ni Mask, Moja ni High Quality na Nyingine ni Normal Quality ambayo kila tu anaweza kupata na kutengeneza. Nikuulize Bei ya hiyo N95 mask ni Tshs ngapi??? Na hizo za kitambaa ni Tshs ngapi??? Ungejiuliza hayo...
  18. Kikarara78

    Mwanasiasa / Kiongozi mkubwa kutoa ' Tamko ' pasipo ' Ukomo ' wake ni Kiashirio cha Uweledi wake au Kupotoka Kwake?

    Boss GENTAMYCINE Mimi binafsi nakuelewa, Tatizo Watetezi wao humu, Yaani Mtu ukiwa na Mtazamo tofauti nao ni Kosa, wanachotaka ni Praise Team
  19. Kikarara78

    Mwanasiasa / Kiongozi mkubwa kutoa ' Tamko ' pasipo ' Ukomo ' wake ni Kiashirio cha Uweledi wake au Kupotoka Kwake?

    Boss GENTAMYCINE Unaanza kutofautiana na Chama chako na Msimamo wao. Angalia wasikutenge.
Back
Top Bottom