Search results

  1. R

    Ukiumizwa usikubali kuua thamani yako

    Ukweli kwenye maisha kuna watu wanaumiza nafsi za watu!Kuna mtu anakuuuuuumiza, mwingine anaishia tu kusema sorry, mwingine anakuona ndio kwanza unacomplicate maisha, mwingine anakupotezea tu na kuendelea na hamsini zake, ili mradi tu, wewe ndiyo unakuwa umebaki na majeraha ya ndani.Siku zote...
  2. R

    Kwa wale wanaotaka kupungua

    that is wasting other people's time!
  3. R

    Penzi la huyu dada linanitia kiwewe

    angekuwa mzuri hivyo unavyomsemea naye si angekuwa kashaolewa?
  4. R

    Bado nampenda msichana wa zamani

    kwa kweli hizi story za maex ni so boring!mi naanza kuwaza labda watu wasiwe wanaachana, wakikwaruzana, wasameheane kisha tu waendelee kuwa wote. Maana wanawaumiza sana wapenzi wapya kihisia!
  5. R

    Simu za wanandoa nyingi ni chafu, hawaingii majumbani mwao mpaka wazisafishe

    ni huyo mmoja tu au ni wengi? mimi wangu yake ni safi kwa kweli!
  6. R

    Natafuta mchumba wa kuoa

    mmmhhhhhhhhhhh!
  7. R

    Hakuna mwanaume aliyeowa anaweza ishi bila mke

    Jamani salaam zenu wote! Nimefanya utafiti usio rasmi na kugundua kuwa wanaume wa Afrika waliooa hakuna hata mmoja anaweza kuishi hata siku moja bila mke wake, akiweza ni kwa tabu na kuhangaika. 1. Hawapendi kupika 2. Hawapendi kutandika kitanda, akiamka na net hapohapo, akikaa akinyanyuka...
  8. R

    Kwa waliojiriwa au kujiajiri!

    Baada ya kuwa umechagua kazi uliyo nayo sasa, ungepewa nafasi nyingine, je ungesomea kazi hiyo hiyo au kufanya hiyo unayofanya kwa sasa? Kama hapana ni nini ungependa ufanye na kwa nini? Ni kazi ipi unafikiri inaoongoza kwa kuwafanya wanaoifanya wasiwe na furaha?
  9. R

    Watu wanaoudhi wengine

    1. Anaomba lifti, ukipata pancha anashuka kupanda daladala eti ana haraka. 2. Mtu umemsaidia mpaka akajitegemea, akapata kazi nzuri kuliko wewe, anaanza kusema mmh yani yule hana maendeleo kabisa. 3. Mtu akiona mko vizuri kwenye ndoa ooh, kamtawala....... 4. Mtu anakukopa hela, ukianza kumdai...
  10. R

    Najuta Kusoma hadi chuo Kikuu

    Baadhi ya sifa za mtu mwenye stress, ni kujuta, kuwa na mtazamo hasi, na kuangalia mambo ya nyuma. Aliyekuambia ukifika University utapata kazi baada ya wiki moja ni nani? Unapotafuta kazi ya kwanza omba kazi yoyote, hata kuwasaidia watu wanaoreseat masomo uliyosoma shule, ili upate nauli za...
  11. R

    Kwa wale mliopata wake/waume kupitia JF AU mitandao mingine uzoefu unaonyeshaje?

    wewe nawe utakuwa una matatizo. Koooooooooooooote huko ulikopita usipate mke au mmeuje kuvamia id usizozijua?eeeh jamani!
  12. R

    Huu ndio MSHAHARA wa NHIF

    jamani nimecheka!''eti, asanteni kwa kunisikiliza''.nikajiuliza aliulizwa huyu?mwe huku jamii kuna mambo.asante kwa ujumbe.
  13. R

    Mitandao ya simu yashauriwa kutengeza line special za wanandoa

    Tutor B, wanukumbuka au unawakumbuka? story zilizopita mnaanza za nini?si ungewaoa wao?
  14. R

    Nawaza Tu: Ukimpata mpenzi wa hivi

    Karucee too bad! I have said so many times, sometimes men,do not know what they want. Ukiwa we unamfanyia hivi, utagundua anatoka na mtu ambaye kule mwanaume ndo anatumwa. Baby kaniletee chips, baby nimassage, baby nenda kariakoo kaniletee chain, baby nivue hill nimechoka sana, vyoooooooooooote...
  15. R

    Mambo 5 yanayoweza kudhuru Ubongo wako.

    mbona wengine nasikiaga wanashauri protein zaidi kwa asubuhi??
  16. R

    Mitandao ya simu yashauriwa kutengeza line special za wanandoa

    hako kakipande kanaokopepewa nimecheka mnooooooooooooo!jamani!
Back
Top Bottom