Search results

  1. Ndaxy EMI

    Hivi ndivyo nilivyomuelewa Rais Magufuli, siyo huu upotoshaji wa makusudi kuhusu ujenzi wa reli

    Sasa mbona yale yale tuu ya kukataa mkopo wa China na kutaka kukopa kwenye jumuiya ambayo na Mchina yumo unadhani atafanya kitu gani hapo!!! -Tufikilie nje ya box.
  2. Ndaxy EMI

    TANGA: Coaster lagonga Lori kwa nyuma maeneo ya Lusanga, watu kadhaa wapoteza Maisha

    Duh zero kabisa baadhi ya watu. Sasa hapo chadema wanaingiaje badala ya kutoa pole yako na kupepea tuu. Utakuta na wewe ni kiongozi wa serikali. Kweli tuba safari ndefu sana..... Siasa zitawaponza...... Siyo kila jambo lazima uhusishe na uchadema na uccm. Pooor tz!
  3. Ndaxy EMI

    Sheria ya Utumishi wa umma No.2 ya 2002 inawatambua wakuu wa wilaya/mikoa kama watumishi wa umma

    Ivi DCs/RCs ni viongozi wa kisiasa? Labda uelewa wangu mdogo, uongozi wa kisiasa si lazima watu wagombee? Sasa hao wanaopatikana kwa appointment order nao wanaitwa wa kisiasa ilihali nchi yetu ni ya kidemokrasia? Hapa naomba ufafanuzi kidogo jamani akili imegota
  4. Ndaxy EMI

    Rais Magufuli uwe kiunganishi taasisi za umma na binafsi sio kejeli kila siku.

    Jisifu na hicho chuo eti viongozi wametoka hapo umesahau kujumuisha kwamba hao hao ndo wanatufikisha mahali hapa kama taifa. Chuo gani hicho ambacho hakiwezi kutengeneza wasomi waadilifu kwa taifa lao. Zunguka maofisini uone wafanyakazi wengi waadilifu wametoka vyuo mnavyovidharau. Chuki...
  5. Ndaxy EMI

    Kagera sugar wainuka, watinga TFF kutaka warejeshewe pointi zao walizopewa Simba

    Sasa kama hata kanuni huna na huzijui unapata wapi ujasiri wa kujadili kitu usichokijua????? Tatizo vijiwe soka vinaharibu mpira wa nchi hiii
  6. Ndaxy EMI

    Kagera sugar wainuka, watinga TFF kutaka warejeshewe pointi zao walizopewa Simba

    Tatizo la sisi watu tusiopenda kusikiliza wengine wabasemaje ndo hili.... Mtu unakaa kijiweni tuu. Mbona shauri liko wazi kabisa, rudia kusikiliza uamzi uliowatia hatiani then relate na matukio ya video za nechi zote zilizo mtia hatiani.
  7. Ndaxy EMI

    Kagera sugar wainuka, watinga TFF kutaka warejeshewe pointi zao walizopewa Simba

    Kadi kati ya Africa lyon hawaijui[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]...... Yanga wanasema ni edited ila kadi hakupata yeye
  8. Ndaxy EMI

    Aslay-Angekuona

    [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
  9. Ndaxy EMI

    TAKWIMU: Nini kimepelekea Mitandao ya tiGO na Zantel kupoteza wateja na Vodacom kupanda?

    Wanafunzi tushahamia voda maans wametukatili kwenye muda was maongezi university offer[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
  10. Ndaxy EMI

    Makonda mbona kimya kuhusu Roma Mkatoriki?

    Hii kitu inaitwa nitoke vipi[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] "[emoji443] [emoji443] [emoji442] [emoji442] [emoji445] [emoji450] Napendaga makiki kama msaniiiii[emoji450] [emoji446] [emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji445]"
  11. Ndaxy EMI

    Tundu Lissu na Ujumbe wa TLS, wakutana na Spika na N/Spika kwa Mazungumzo

    Watanzania na matukio.... Kwa sasa kila kila kitu mbona hakuna mwanamke!!! Waacheni akina mama walee watoto nyumbani leo ni holiday akina baba wakapambane[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
  12. Ndaxy EMI

    Kwa hili la ubunge EALA, CHADEMA imefanikiwa kuiweka CCM mfukoni. Kazeni uzi huohuo

    Kwa nini CCM mnang'ang'ania sana wanawake na wazanzibar? Kama kwenye chama chao hawaoni mtu makini mwenye jinsia ya ke na hawajavunja kanuni kuna shida hapo? Waachani wanawake walee watoto wanaume wa shoka wakapambane. Siasa za kitoto toto tuu mnatuletea. Shame on you CCM
  13. Ndaxy EMI

    Mwili wa sir. Andy Chande wa Freemason kuchomwa moto

    Jamaa atachomwa sana maana anachomwa moto wa wabadamu na siku ya mwisho wa Mungu kule jehanamu
  14. Ndaxy EMI

    Kama ni kweli hili la DIT, basi watanzania wa kudunduliza wasahau elimu ya juu

    Utaratibu ushabadilikaga mkuu kwa sasa una disco kwa mwaka yaani wakichukua GPA ya semester ya kwa kwanza na ya pili wanajumlisha na kugawa kwa 2 ndo GPA Yako. Sasa kama haijafika ndo unadisco. Ila kwa sasa hata kama una F zote unasoma tuu.
  15. Ndaxy EMI

    Kama ni kweli hili la DIT, basi watanzania wa kudunduliza wasahau elimu ya juu

    Hii issue nadhani ni ya kuomba tuu. Kumbuka kuna kitu kinaitwa DEAD LINE mkuu. Na baada ya hiyo dead line kuna maelekezo ambayo huwa yanatolewa kwa kusaidia hao watu. Lakini lazima tuangalie kwa upande wa pili kwa nini iwe leo au awamu hii tuu ndo mlolongo wa haya mambo kutokea! Binafsi kwenye...
  16. Ndaxy EMI

    Uwapo mjini Bariadi...unakaribishwa sana

    Looh Nzagamba ndo ina haya mambo duh....... Hatari mkuu kumbe wakati unaenda kasi sana na maendeleo vilevile[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
  17. Ndaxy EMI

    Ziara za viongozi wa Benki ya Dunia Nchini Tanzania

    Ni uzi unaofungua akili aisee ila kwa mtu mwenye akili sana kama ni kiazi au na yeye amekumbwa kwenye takwimu ya 78% baada mwaka 1980 hawezi kuelewa ataishia kuquote na kutukana au kukebehi tu. Mimi nimeguswa na hii takwimu ya elimu yaani kutoka kujua kusoma watu 80% bila misaada miaka zaidi ya...
Back
Top Bottom