Search results

  1. J

    Maneno 'HAPA KAZI TU' yaondolewe kwenye mali za nchi, yanatia aibu na wala hayana maana yoyote

    Hwbu acha maneno unajua hizo ndege zilinunuliwa kwa bei gani na kwa bajeti ipi iliyopitishwa a bunge.
  2. J

    Tundu Lissu amegundua nguvu ya Hayati Magufuli

    Hicho kitabu ni cha wakati ma kinaongelwa kipindi yesu hajazaliwa
  3. J

    KKKT ni kanisa kubwa kuliko mtu, Kiburi kimemponza Mchungaji Kimaro

    Awaombe radhi kwa kosa gani alilowafanyia? Mbona kosa alilofanya halisemwi??
  4. J

    KKKT ni kanisa kubwa kuliko mtu, Kiburi kimemponza Mchungaji Kimaro

    Aombe radhi kwa kosa gani ambalo halisemwi? ha ha ha
  5. J

    KKKT ni kanisa kubwa kuliko mtu, Kiburi kimemponza Mchungaji Kimaro

    Mpaka sasa hujaeleza Mchungaji Kimaro kavunja kamuni gani ya kanisa na wala hujasema kosa lake alilofanya mahali popote. Acha roho mbaya.
  6. J

    Tetesi: Luhanga Mpina kuhamia upinzani 2025. Lipo lengo maalumu linapangwa

    Yaani yule yulealiyetupimia samaki kwa rula na kutaifisha mabasi yetu kisa abiria ana samaki wawili wa mboga? Hafai kabisa. Kama kuna shida anatakiwa kusema sasa hivi na kuirekebisha sio kusubiri kusema ili ajinufaishe kisiasa. Mtu wa namna hiyo hatufai
  7. J

    Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

    Uozo wa Ghalib hausiani na wewe kupora kiwanja. Kama ulikua unaujua uozo waks ulipaswa kisheria ukaseme kwa vyombo vya dola. Wewe Makonda kukaa kimya ni makosa kisheria. Kaogeleew kwenye huo uozo ufurahi. Rudisha kiwanja cha watu nadala ya kutoa vitisho
  8. J

    Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

    Usiniite Bwege elimu yangu ya sjeria huijui. Kama Mahabusu hatakiwi kukaa zaidi ya wiki 2 sasa kuahirisha kesi kwa wili 2 wamekosea wapi Kisheria? Acha ufala
  9. J

    Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Picha zimekaaje juu ya Mhuri?
  10. J

    How Chato will look in 2025 like President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite

    Loh..utabiri wa hali ya juu. Au ulijua mambo haya!
  11. J

    Rais mtoe IGP Sirro, Watanzania hawamuamini

    Wewe ndio umejigeuza kuwa watanzania wote aio
  12. J

    Hakika hata Magufuli hakuutendea hivi upinzani, Kama Mbowe anapewa kesi ya ugaidi itakuwaje kwa raia wa kawaida?

    Makamanda mmeanza taratibu kumkumbuka na kumsifu Magu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. J

    Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu ni uthibitisho wa ubovu wa Katiba ya 1977

    Ulienda kulinga uteuzi wa Majaliwa Mahakama Kuu? Unapiga kelele tu hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  14. J

    Mbowe: Hatutakubali Bunge lililopo litengeneze Katiba Mpya

    Watashangaa na masharti yao
  15. J

    "Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri - Kazi Iendelee" ifutwe tumrudie Mungu

    Usiwe unapinga kila kitu. Utakuwa juha.
  16. J

    Kishindo: Yusuph Manji atikisa Mkutano wa Yanga Chang'ombe

    Kwani hujui Manji anaumwa Moyo? Hata kipindi kile cha kukamatwa na kesi zake ilisemwa sana. Hadi hata alifanyiwa operation ya moyo?
  17. J

    Mbowe alivyomuibua Lijualikali hadi sasa ni Mkuu wa Wilaya

    Si hawa chadema ndio walikua wanamtuka Lijua likali alivyoliwa na wajumbe au wamebadilika?
  18. J

    Rais Samia, wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wanaiba kodi za masikini

    Fuata Katiba na Sio hela hata Spika analipwa hela ya Serikali
Back
Top Bottom