Search results

  1. Straight corner

    Ulishawahi kununua asali kwenye duka la serikali? Uliwezaje?

    Wataalam wanaweza kusaidia kujua kama asali inasaidia hayo mambo au la
  2. Straight corner

    Ulishawahi kununua asali kwenye duka la serikali? Uliwezaje?

    Ni kweli asali ya Pale (TFS) ni ya kiwango cha juu na huwa inapelekwa kufanyiwa testing maabara ya Germany. Jamaa wako vizuri ndo maana huwa asali yao haikai. Me nikiikosa huwa nanunua kwa hawa jamaa wa AGT Natural Honey, asali yao wananunua hukohuko TFS na wanaifanyia branding ya kutosha, mara...
  3. Straight corner

    #COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Zimeundwa kamati, nasikia 3, za kupambana na gonjwa hili hata hazijulikani. Nina wasiwasi kama kuna wajumbe kutoka sekta binafsi. Kimsingi hili suala kama tunavyoona watu na makampuni yanavyojitolea kuchangia mapambano haya, ningetamani kuona serikali ikiratibu mapambano ila kamati ziundwe na...
  4. Straight corner

    Ni kifungu gani kinamlazimisha mwanaume wa kikristo kuwa na mke mmoja?

    Hivi kimsingi shida iko wap, ni ndoa ya wake wawili au kuwa na wapenzi wawili?
  5. Straight corner

    I wish nipate demu wa type hii..

    Nimekufananisha na Bongo zozo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Straight corner

    Ukomo wa Miaka 10 urais ni miaka michache jamani

    Tatizo la nchi yetu, na wewe unalo, nchi haina mipango, mipango yote ni ya raisi. Ni makosa makubwa. Raisi anapaswa kusimamia mipango ya nchi ambapo miaka 4 yatosha kabisa kupima uwezo wake na kama hatoshi anaondoka, akitosha anapewa mingine ikiisha anachukua mtu mwingine.
  7. Straight corner

    Ziwa au bwawa?

    Ziwa Ngosi; Ziwa hili ni la pili kwa ukubwa barani Afrika baada ya ziwa lingine la kreta lililopo Ethiopia linaakisi muonekano wa bara la Afrika katika upande wa kusini, magharibi, kaskazini na mashariki pamoja na visiwa vyake vya Unguja na Pemba. Ziwa Ngosi linapatikana kwenye milima ya...
  8. Straight corner

    Tanzania Nchi Ya Ajabu Ajabu Tu, Kodi Ya Gari Unalonunua Japan Au Kwingine Iko juu Kuliko Bei ya Gari Lenyewe.

    Tunanunua magari chakavu sababu pesa nyingi inaenda kwenye ushuru, ingekuwa ushuru uko chini; 1. Yangenunuliwa magari mapya/bora zaidi 2. Uchafuzi wa mazingira ungepungua 3. Screpa mtaani zingepungua 4. Ajali barabarani zingepungua 5. Uhakika wa safari ungekuwa mkubwa 6. Wigo wa mapato...
  9. Straight corner

    Msaada kuhusu neno " Mama sitta"

    Hakika una nguvu, umetoa watu kwenye reli
  10. Straight corner

    Utamu wa mwanamke

    Solve X kwanza utapata jibu mkuu
  11. Straight corner

    Ufahamu mgogoro wa BREXIT

    Hizi roho za kwanini mbaya sana. Basi wewe ilete hiyo aliyocopy au vipi itafsiri hii kwa kingereza utuwekee hapa. Hovyo kabisa
  12. Straight corner

    Nauza asali kwa Bei nafuu sana

    Nafikri hatukuelewana mkuu, tofauti ni Tsh 3'000 kwa kg 1. Ambayo ni reasonable nafikri maana wengi wanauza 12'000/kg.
  13. Straight corner

    Nauza asali kwa Bei nafuu sana

    Tofauti ni 3'000 na keshaifikisha Dsm, nafikiri tuache kijana afanye kazi
  14. Straight corner

    Mapenzi bila kufanya mapenzi hata hainogi....!!!

    Safi sana!! Uko straight, utamu wa mbunye igongwe na sii vinginevyoo!!
  15. Straight corner

    Ushauri: Shemeji anamshika makalio dada mbele yangu

    Unanyoosha mwandiko hivi bado ni Mwaka wa pili sasa unaishi kwa shemejio kisa sababu zisizozuilika. Aghrrr....
  16. Straight corner

    Huyu mwanamke nimjibuje?

    Hapo anakusikilizia utavyo react, ili ushinde (japo ushashindwa) piga kimyaa atakuja kugundua kuwa hakuziba milango yoote!
  17. Straight corner

    MwanaJamiiForums mwenzetu, Kigwangalla anaendelea vizuri

    Get well son Hon. Minister of NRT
  18. Straight corner

    Ziara ya Xi Jinping Afrika. Hatatembelea Tanzania. Je, nchi yetu imepoteza mvuto na ushawishi?

    Walishatumudu sisi, huko anakokwenda bado hawajawekwa kwapani
  19. Straight corner

    ACACIA mna maswali ya kutujibu!

    Mhh Hesabu ngumuee[emoji23]
Back
Top Bottom