Search results

  1. A

    Mtanzania: CHADEMA yajichulia kifo

    Sio nonesence ni nonesense bwana mzee. Jifunze kuandika lugha uliyoizoea
  2. A

    Siri nyingine ya Ngeleja: Wamarekani tayari wanachimba Uranium Tunduru kisiri siri?

    Naamini hutumii sana akili kufikiri mkuu, yawezekana unajitia kujua usiyoyajua na hiyo ni hatari sana kwako. Uliza kabla hujaleta mambo uliyokaririshwa darasani
  3. A

    Mapinduzi yaja Tanzania

    Acha kulalamika tumia kura yako
  4. A

    CHADEMA yazoa zaidi ya 1,000 Morogoro

    Ulitamani kutuma ujumbe gani? Ninachofikiri mimi wewe unaongea kwaniaba yako mwenyewe na kama unafikiri mzumbe ni wazembe basi wewe ulitakiwa ujue kwamba ni klinara kuliko wao na pia kwamba sua kuna watu wanajua wanachokifanya kuliko wewe
  5. A

    A New Constitution before 2015 is A MUST - NO COMPROMISE

    It is very easy to know who have gone to school and those who returned home educated... Very simple, they all have simple answers on difficult questions and very often the do not know what they say. If I bother to ask, what did you want to mean, I still find it contradicting!!
  6. A

    I am selling my 12.1MP 20x Optical Zoom Canon Digital Camera

    would be great to send out your numbers for easy communication
  7. A

    Mnyika hakika wewe ni Mtanzania Mzalendo na Kiongozi wa Kuigwa

    Hapo cha kuongeza tu kuwa wananchi wanakuwa waoga wakiamini kuwa jimbo likitawaliwa na chama pinzani halitapata maendeleo maana uongozi wa serikali hautatoa pesa. Huu ni mtizamo mfu sana maana hata hiyo serikali haina pesa, pesa wanazo wananchi ndo wanaolipa kodi. Kupitia kuwaelimisha na kwa...
  8. A

    Kufungua tawi la chadema udom

    # Vijana pigeni kazi mwanzo mzuri sana. kila la kheri!!!
  9. A

    JK azindua kitabu cha wasifu wake!!!!

    Naweza kukisoma hicho kitabu ili nione jinsi watu wanavyoweza kuwa na elimu kubwa bado wakashindwa kuzilinda na kusimamia taaluma zao... labda ningependa kujua aliyefadhili uandishi huo alikuwa nani, pia kuwatoza pesa wananchi ambao wanakabiliwa na majukumu mengi wakati hizo pesa za kuandikia...
  10. A

    Pinda akataa shangingi Toyota VX 8 ya Tsh 280 milioni!

    Hapo mkipiga hesabu hizo kari za kifahari peke yake tunaibia bei gani wadau?
  11. A

    Tumpe Rais Kikwete heshima yake

    dah, mi sijaona kosa
  12. A

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    Hakuna msomi hapo, uchambuzi wenyewe unaonesha tu kama ni mwaka wa mwisho akiomba kazi labda awe diwani au mtendaji kata.... na ndio maana walisema elimu imeshuka sana siku hizi. na hiki chuo cha dodoma watu wamekipaka matope sana sikiwaelewa kumbe sasa naamini kuwa ni cha kata.....
  13. A

    Lowassa amkosoa Kikwete

    hapo pana majibu mengi sana... 'Anyone who is capable of getting themselves made President should on no account be allowed to do the job' Douglas Adams
  14. A

    Matokeo ya Chadema Kususia Hotuba ya JK na Kuapishwa kwa Pinda

    English used too poor plse amend or if that is your maximum capacity then I would advice don't participate in these conversations
  15. A

    Siri ya mvutano baina ya chadema na cuf

    Naunga mkono hoja....
  16. A

    RAIA MWEMA: Vigogo wajipa ardhi kwa fujo nchi nzima

    Naamini mmeshaona hiyo ni safari ya kuelekea ubepari... mara ya kwanza tuliona uchumi umepanda kwa 6% lakini maskini amekua maskini kwa zaidi ya 10% msimu uliopita, msimu huu tuaona tumekuwa 15% umaskini wa mtanzania wa kawaida 50%.... hili lilitokea Kenya pia, sera zetu mbovu na wasimamizi ndo...
Back
Top Bottom