Search results

  1. Sihali

    Juma Nkamia: Nazungumza na Mwenye Mbwa sio Mbwa!

    Wewe umeona la Juma Nkamia Tu? Mbona Wenje amesema serikali makhanidhi humtaji? Mbona Mchungaji msigwa humtaji? Msielemee sehemu moja!!
  2. Sihali

    Barua ya wazi kwa Dr Slaa Part 1 + 2 kuelekea 2015

    Nadhani Dr ( padri) Slaa atalazimika kujibu hapa hadharani tumuelewe ana mlengo gani.
  3. Sihali

    Mama Salma Kikwete na Dr Lilian Mbowe; Mlinganisho wa maswali na majibu waliyoulizwa

    Wewe inataka Salma atukanwe siyo haja yako kuweka mlingano mbona hakuulizwa mke wa mbowe kama aliolewa au alizaa kabla ya ndoa? Au kama wapo pamoja na watoto na wanafanya nini hao watoto? HUNA JIPYA
  4. Sihali

    CHADEMA ni WikiLeaks ya TZ zaidi kuliko chama cha siasa?

    Kaka umechambua kisawasawa kuhusu Chadema. Ila hapa ni vigumu kupata wenye busara kujadili hayo na ndiyo maana hujibiwa mpaka muda huu unaambilia kashfa. Vumilia iko siku wataelewa Cadema nini maana yake na ni ya nani hiyo NGO.
  5. Sihali

    Sera za CHADEMA majimboni zinatekelezwa?

    Kaka hawa Chadema hawtaki kuambiwa ukweli lakini mwisho wao umekaribia maana vigogo wao makao makuu maelewano hakuna. Nilijuwa watakutukana na nimethibitisha hapo juu matusi ya wazi. Siasa ni kazi ya CCM. CHADEMA wansubiri sifa na wakisemwa watukate. Bhaaass
  6. Sihali

    wananchi waukimbia mkutano wa ccm huko kingo'ri

    Habari za kizushi
  7. Sihali

    wananchi waukimbia mkutano wa ccm huko kingo'ri

    Uongo ulioje huo! Isije ikawa kinyume chake maana mikutano ya CHADEMA ni aibu pamoja na kurusha ndege mikutano yao ni mitupuuuu.
  8. Sihali

    Chadema kushinda Arumeru ni ndoto za jioni

    Wape wape CHADOMO Hao!! Kesho kwao ni msiba tuandae maturubai ya kuomboleza.
  9. Sihali

    Lala salama Arumeru

    Mkutano wa mwisho wa chama cha mapinduzi umefunika kwa umati mkubwa wa watu kuja kusikiliza mkapa live. Kesho ni kichapo kwa Chadema.
  10. Sihali

    Chadema wafunika Musoma

    Acha umbea weweee. Watu wengi ndiyo nini. Ujinga mtupu sasa hivi ishu ni Arumeru tuu usituzingue hapa jamvini.
  11. Sihali

    Tuitizame hii hotuba - Part One

    Pumbavu wewe umekidhalilisha mwenyewe chama Chako cha CHADEMA (CHADOMO) Mambo mengine mnajimaliza wenyeweeeeeee
  12. Sihali

    Zijue sababu zitakazoifanya chadema ishindwe arumeru

    Ulitaka awe mwananchama wa CHADEMAV? Unadhani utasikia yale unayopenda kuyasikia? Safisheni CHADEMA ndani imeozaaaa
  13. Sihali

    Contact za CHADEMA

    Hujajua kama hicho chama ni cha wachaga? wewe huwapati kwa kuwa wewe si mmoja wao. watajua unakwenda kujitafutia umaarufu au kuwaingiza mkenge. Jaribu TLP ya Mrema
  14. Sihali

    Jamani vipi wale vibaraka wanaojiita wanaharakati

    Wale Vibaraka wameingia mitini walikuwa wamepewa pesa kuwalipa madaktari il wagome kila siku walikuwa wanawalipa 70,000 hadi 200,000 kwa kila siku walizokuwa wameigomea serikali. wanasubiri bingo ingine wawaingie waalimu
  15. Sihali

    Chadema wachukue mawakala kutoka nje ya Arumeru

    Unajua mkiwachukuwa kutoka musoma maana ndiyo kikosi kazi chenu kinachoaminika Wameru si mnawaona hawana uaminifu? Wanahongeka kirahisirahisi
  16. Sihali

    Kweli CCM imedhamiria kuleta Vurugu Arumeru, Soma hii ya leo jioni...

    Chadema si mnasema CCM ni wazee tupu? Sasa huyo bint ametokea chama gani? Angalieni mnajikanyaga wenyeweee. Wazushi wakubwa
  17. Sihali

    Baadhi ya Matusi ambayo CCM wanayaporomosha bila ya aibu haya hapa...

    Unazidi kukiuwa Chadema maana hapa watu watawatukana sana hao mnaowaabudu
  18. Sihali

    Elimu ya Godbless Lema utata mtupu

    Lema amedata huyoo.
  19. Sihali

    Edward Lowassa na Ole Sendeka sasa ni marafiki!

    Ondoa ujinga wako hapa. Kampeni ni za mgombea wa CCM siyo za Lowasa. Mbona CHADEMA kuna makundi na hamusemi? Kuna kundi la mbowe na kundi la Zito. Dr Slaa yupo kama popo tuu kila kitu yeye anakubali tuu hasa analolisema Bwana Mkbwa Mbowee
  20. Sihali

    CCM yaendelea kupata wakati mgumu Arumeru Mashariki

    Huo Zushi umeanza tushastukia chaadema ni waongo sana kwaninio hamuweki picha za mikutano yenu tuone mmahudhurio? Subirini kichapo Arumeru
Back
Top Bottom