Search results

  1. Daghaseta

    Kukosekana kwa Mkaa wa kupikia Jijini Tanga

    Habari zenu wandugu. Tanga mjini mkaa haupatikani, watu wanahangaika na majumu kila kona. Makamu wa Rais alisema mkaa uzuiliwe bila kutuambia ipi itakuwa nishati mbadala. Je, huko kwenu hali ya mkaa wa kupikia ikoje?
  2. Daghaseta

    Hawa Tp Mazembe bwana, duh!

    Eti Tp Mazembe wanasema wataifunga sima 5-0!
  3. Daghaseta

    Beberu ni nini?

    Mimi nijuavyo beberu ni mbuzi dume ambaye kama mbegu yake itapendwa hutumika kuzalisha majike. Mana yake nyingine ni ipi?
  4. Daghaseta

    Kutoa 'Salary sllips' kwa njia ya mtandao (salaryslip.mof.go.tz) kumekuwaje?

    Kuanzia tarehe 06/09/2018 'salary slips' za njia ya mtandao hazipatikani, mwenye kujua tatizo na namna nyingine ya kuzipata anijulishe tafadhali.
Back
Top Bottom