Search results

  1. M

    Majina ya walipata viwanja mabwepande haya hapa.

    Mbona watu maarufu wengi tu,wapo; Said Meck Sadick,Mwigulu lameck,Aggrey Mwanri,Nape NNauye,Joshua Nassari,Sofia Simba...wote hawa ni wananchi na wana haki ya kupata viwanja kama wananchi wengine.
  2. M

    Majina ya walipata viwanja mabwepande haya hapa.

    Fuata hiyo link hapo chini mkuu.
  3. M

    Majina ya walipata viwanja mabwepande haya hapa.

    Manispaa ya Kinondoni imetoa majina ya waliofanikiwa kupata viwanja katika eneo la Mabwepande. Hongereni wote mli bahatika. Kinondoni Municipal Council
  4. M

    British gas international scholarships for tanzanian 2014

    Heshima iwe nanyi wakuu, Naomba kuuliza vipi hizi scholarships?walisema mwanzoni mwa June watatoa taarifa,Vp kuna mtu mwenye taarifa zozote?
  5. M

    Tanzania Offered 20 Oil, Gas Scholarships At Scottish University

    Mimi navyojua hizo Scholarships zipo kumi(10) na zinatolewa na British Gas International wakishilikiana na British Council na vyuo vipo vitatu;RGU,Aberdeen na Imperial College London. sasa hizi habari za nafasi 20 na tena kwa RGU pekee yake zitakua ni mpya. Nafasi hizi zipo wazi kwa watanzania...
  6. M

    chumba self,sebule na Jiko.

    NI-PM number yako aisee,nije nikuone.
  7. M

    chumba self,sebule na Jiko.

    a Sio kwamba ninazo ila kwa uchunguzi niliofanya chini ya hapo sitoweza pata nyumba ya ubora ninao utaka ndo maana nimeweka min 200K
  8. M

    chumba self,sebule na Jiko.

    Heshima mbele wana JF. Natafuta chumba self na sebule pia Jiko. Maeneo:Mwenge,Kijitonyama,Makumbusho na hata Mikocheni. Offer:Minimum Tshs.200,000/= Kama ipo ni-PM,nitakupigia . Asante.
  9. M

    Tra online application,access denied!!!!

    Habari wakuu, vp kuna mtu ameweza kuapply?maana mimi natapa error "access denied" Msaada wakuu.
  10. M

    Nokia lumia 510 inauzwa.

    Nokia Lumia 510 inauzwa,imetumiaka kwa wiki tatu tu, piga simu 0716604977 kwa maelezo zaidi.
  11. M

    kuna mwanajamii mwenye hii taarifa

    Kazi zimetangazwa kwa watu wa ndani ya NIDA...sasa na wa nje tunataka?....SAMAHANI LAKINI.
  12. M

    Wameshaita?

    Heshima Mbele Great Thinkers!!! naomba kujua kama; 1.IST 2.HABARI NODE 3.POSTAL BANK 4.FHI360 5.TANESCO SACCOS WAMESHAITA watu hata kwenye interview. asante.
  13. M

    Ugently:Senior Legal Officer opportunity-World Vision Tanzania.

    Sotta/WVT-Recruitment is there any chance to Volunteer in the field of ICT?if yes please let me know...Got some one need to get experience. Thank you in advance.
  14. M

    Natafuta kazi

    TANZANIA | JOBS AND ADVERTISEMENTS: NELSON MANDELA AFRICAN INSTITUTE OF SCIENCE AND TECHNOLOGY
  15. M

    Namshauri Nape aache visasi

    Hakuna visasi hapo.muacheni nape afanye kazi yake. Huyo kijana ni mjasiri sana.kama unataka kujua nape ni mjasiri kwa kiasi gani ..leo hii nenda kamuulize jk,ni maneno gani nape alimwambia kipindi kile jk anaomba fursa ya kuiwakilisha ccm kwenye urais(kura za maoni ccm 2005).
  16. M

    Feza boy's

    Hivi siku hizi kibaha iliondoa ECA and CBA?
  17. M

    jamani nichukue degree gani ya IT hapo baadae....

    Hivi tukizungumzia kwa Bongo Mtu mwenye CCNP na mwenye CISA/CISM ....nani anayepata Mshiko zaidi? Pia kati ya Cicso(CCNA/CCNP) na CISA ipi ina market kubwa sana Bongo?
  18. M

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    YouTube - MUUNGANO WA TANZANIA UVUNJIKE USIVUNJIKE?BassalehhamuweziVunjaMuungano883.flv
  19. M

    External hard disk(one tera byte) at tshs 225,000/=

    Habari wakuu!!! Nauza 1Tb aina ya seagate(Go Flex) kwa bei ya Tshs 225,000/= zinatumika kwenye Operating system aina yoyote. Kwa anaehitaji naomba ani-PM kwa mawasiliano ziadi. Asante.
Back
Top Bottom