Search results

  1. meningitis

    Chama Cha Madaktari Tanzania chatoa tamko juu ya tukio la Kaliua

    Kwanini matukio haya ya udhalilishaji wa madaktari yanaendelea kutokea?? Taarifa zinazotrend mitandaoni ni kuwa DC alilazimisha mgonjwa atibiwe wakati rufaa ilishatolewa kutokana na hali ya mgonjwa. Kwanini techinical issues zinakuwa politicised?
  2. meningitis

    Marekani: Rais Biden apanga kuwateua mabalozi wapya kwa Tanzania, China na Japan

    Hii ni hatua muhimu ya kuonesha misuli ya Tanzania dhidi ya wote wasio itakia mema Tanzania. Huwezi ukasapoti Ugaidi waziwazi halafu ukaachwa tu. Naamini Biden amemuondoa Balozi huyu wa USA Tanzania kutokana na kitendo cha ubalozi kwenda kusikiliza kesi ya ugaidi kitendo kilicholalamikiwa na...
  3. meningitis

    Je, vitisho vya kuuawa Zitto vilikuwa na uhalisia?

    Hapa chini nawaletea kipande cha maelezo ya Zitto katika moja ya threads maarufu zilizowahi kutokea humu jamvini ambapo bavicha walikuwa wakishambuliana. #Ninasikitika sana kuona wanachama wa CHADEMA wanavyoweza kutumika kwa maslahi ya kundi fulani kuharibu heshima ya viongozi wao mbele ya...
  4. meningitis

    Kodi ya Miamala ya Simu: Swali kwa Waziri Mwigulu baada ya maelezo yake TBC

    Jana nilimsikiliza Waziri Mwigulu pale TBC nikapata mashaka sana na kuona ameamua kudanganya kutaka kuupooza umma. Akijaribu kufafanua amedai kuwa makato ya tozo hizi yanaenda kwenye huduma za afya haswa afya ya mama na mtoto. Ningependa atoe ufafanuzi wa asilimia ngapi ya tozo itaenda huko...
  5. meningitis

    Chombo cha habari cha Diallo kilitumika sana na media za mabeberu kumchafua Magufuli

    Alichokifanya Diallo sio cha bahati mbaya kwani media zake ndio pekee zilizokuwa zinatumiwa na vyombo vya magharibi kama BBC na DW Kumchafua aliyekuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kusema hajaeleweka vyema ni dhihaka tu bali wananchi tulimuelewa sana na...
  6. meningitis

    Kwanini Salmin Amoor Comandoo hakuwahi kufikishwa mahakamani?

    Nimekutana na mjadala kwa muuza Tangawizi mitaa ya Saigoni pale migomigo kama kawaida wanajadili kuhusu kinachomkuta Ole Sabaya lengai. Januari 2001 katika viunga vya pemba na unguja inasemekana palitokea patashika kubwa kati ya wafuasi wa CUF ngangari na jeshi la polisi ngunguri. Patashika...
  7. meningitis

    Ushauri kwa Mh Samia:Kwa sasa aendelee kuisimamia collective responsibility tu

    Huu ni ushauri kuntu na usio wa kimaslahi kwa Mheshimiwa Rais wa JMT. Tukirejea ukweli na upekee wa namna alivyoingia madarakani bado mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anawajibika kwa namna ile ile aliyokuwa anawakibika mh hayati Magufuli. Rais Samia alikuwa ni makamu wa Rais...
  8. meningitis

    Maswali muhimu kwa chanjo ya COVID-19

    Yapo maswali muhimu ya kuendelea kujuliza kuhusu chanjo ya kirusi cha corona. Ieleweke kuwa jamii ya virusi vya mafua imekuwepo nchini Tanzania kwa muda mrefu. Hakuna mtanzania ambaye hajawahi kuugua mafua japo mara mbili kila mwaka. Ni ukweli usio shaka kwamba Tanzania na dunia imekuwa...
  9. meningitis

    Lengai Ole Sabaya ni nani hasa?

    Ndugu Ole Sabaya aliwahi kutuhumiwa kuwa na kosa la kujifanya afisa kipenyo.kesi ikaendeshwa akashinda na hatimaye akawa mkuu wa wilaya.leo hii kaanguka tena kwa kusimamishwa Ukuu wa Wilaya. Chadema na baadhi ya wanaccm wanemshutumu sana na kwa muda mrefu JE OLE SABAYA LENGAI NI MMASAI AU...
  10. meningitis

    Wanasiasa wameigeuza sekta ya afya kama kinyago cha mpapure

    Kuna wimbi hatari la wanasiasa kuigeuza sejta ya afya na watumishi wake kama kinyago cha mpapure . yaani mwanasiasa akishashiba kande zake na mayai ya kuchemsha anaachia mapashtoon tu kwa sekta ya afya. Yaani Mbunge,Waziri,DC,Diwani na viongozi wa vijiji wote kazi yao ni kuwasimanga watumishi...
  11. meningitis

    Tatizo la maprofesa wa nchi hii ni kukariri na kukaririsha-By meningitis 2021

    Tuna lundo la maprofesa nchini Tanzania lakini kwa takribani miaka 54 baada ya uhuru Tanzania hatukuwahi kuona maendeleo yenye tija na yenye kuakisi kazi za maprofesa hawa. kwa kipindi cha miaka mitano tumeshuhudia maendeleo yaliyotokana na maamuzi ya kitanzania na yalioachana na kukariri njia...
  12. meningitis

    Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

    Habari za Kazi wana JamiiForums, Katika thread hii nategemea tutaangazia ziara mbalimbali(Za nje ya nchi) za Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan na manufaa kwa taifa. Leo tarehe 11 April 2021 Mhe Samia anafanya ziara yake ya kwanza nje ya Tanzania na ziara hii...
  13. meningitis

    Tanzania community has shown the world how Magufuli was democratic leader

    Rest in Peace and Power Dr John Pombe Magufuli the late President of The United Republic of Tanzania. I must say The late JPM has suffered a lot of criticism from the western media propaganda,puppet opposition leaders who intentionally and purposeful tried to dissappoint Magufuli adminstration...
  14. meningitis

    Radio Free Africa badala ya kijiunga na matangazo Uwanja wa Uhuru wamejiunga na BBC

    Hii radio free Africa imenishangaza kwani badala ya kujiunga na matangazo ya moja kwa moja kutoka katika uwanja wa Uhuru ambapo Mwili wa Hayati Rais John Pombe Magufuli unaagwa wao wamejiunga na BBC na kuruhusu kuruka hewani kwa matangazo ya propaganda chafu dhidi ya Rais wa Tanzania. Huu ni...
  15. meningitis

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mpango anapaswa kujibu swali la Hawa Mchafu kwa vitendo

    Nimekutana na clip ya sessions za bunge kuhusu swali tata lakini genuine la Hawa Mchafu ambalo limehoji very specific kwa nini fedha za dawa na fedha za deni la MSD hazijapelekwa kulipia dawa. Swali hilo limejibiwa na Waziri wa afya ingawa majibu hayajajotosheleza sababu kubwa ya majibu...
  16. meningitis

    Kuhusu barakoa Lissu usiendelee kudanganya umma!

    Nimemsikia lissu akikosoa kuhusu njia zilizotumiwa na Serikali katika kukabiliana na Covid 19. (Nina uhakika hajajielimisha kutoka kwa wataalamu waliokuwa frontline kupambana na Covid 19) Nimemsikia akisema kuwa Serikali imekiuka maelekezo ya wataalamu wa kitanzania kwa kutolea mfano wa...
  17. meningitis

    KUMBUKIZI :Serikali ilitoa kauli rasmi bungeni dhidi ya Ushoga...Pompeo must have read between the lines!

    Serikali ilipopinga kwa nguvu zote ushoga... Katika kikao cha Bunge la Bajeti kinachoendelea hivi sasa mjini Dodoma, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Benard Membe alilazimika kusimama na kutoa majibu kwa swali lililoulizwa na Mbunge wa Konde, Khatibu Said Haji (CUF)...
  18. meningitis

    Poleni sana mliomwaga damu kwa ajili ya CHADEMA, ukweli mmeuona!

    Great thinkers! Hii ni thread kwa ajili ya wana CHADEMA asili waliomwaga damu na kuipigania. Naamini mmeshagundua utapeli katika Chama hiki chini ya Mwenyekiti wake.
  19. meningitis

    Sasa nahamia rasmi CCM ya Magufuli

    Great Thinkers! Sasa nimehamia rasmi kambi makini ya CCM ya Magufuli baada ya kushuhudia utekelezaji usio wa kifani wa ahadi zake. Nilikuwa CHADEMA kindakindaki niliwakubali na kuwapigia debe viongozi wa CHADEMA. Nilifanya hivi baada ya kuuchukia ufisadi na mauzauza yote yaliyokuwa yanafanywa...
  20. meningitis

    Kwenye hotuba(2019) yao TUCTA hawakuomba nyongeza ya mshahara

    Adui namba moja wa wafanyakazi ni viongozi wa vyama vya wafanyakazi ambao wamejipa jukumu la kuwatetea wafanyakazi ilihali hawawezi au aghalabu kwa kuneemesha matumbo yao tu. Viongozi hawa ni cartel ya kula fedha za michango ya vyama vya wafanyakazi na kuneemesha matumbo yao na baadae kugombea...
Back
Top Bottom