Search results

  1. mkibunga

    CHADEMA hawana Ikulu wanarusha chopa tatu angani kujenga chama, wakichukua nchi itakuwaje?

    Acha ujinga wewe mbona mamako ni maskini lakini bado anaichagua ccm
  2. mkibunga

    Jeshi la wananchi Egypt lampindua Rais Morsi

    morsi kadri muda unavyosogea kupinduliwa anasrna yuko wazi kuwa na serikali ya umoja na wapinzani ngoja tuone meisho wa game
  3. mkibunga

    Jeshi la wananchi Egypt lampindua Rais Morsi

    natamani kuwa mmisri maana jamaa hawana simile naangalia aljazeera morsi hana muda anapinduliwa
  4. mkibunga

    Obama Live at The State House of Tanzania

    swali la mwabdishi wa jambo leo lilipangwa na ikulu hata dr.kikwete alivyolijibu. unaona kabisa alijua hata kabla na kumeza nondo zile kusema kweli wewe peter hovyo kabisa
  5. mkibunga

    Obama Live at The State House of Tanzania

    swali la mwabdishi wa jambo leo lul
  6. mkibunga

    Unajua historia ya bendera ya taifa lako tangu 1885?

    unajua watanzania kwa kupiga dill aliyepewa tenda ameomba zilizobaki SA akaongezea blue basi akawa amenaliza kazi rais wetu wanakuibia hata ww lakini sishangai kwa wat
  7. mkibunga

    Revealed!! CHADEMA ilitumia mitambo maalum ya DVR kurekodi mkutano wa tarehe 15/06/2013

    kwa waliomuona chagonja leo alivyonywea naona amegundua alidanganywa.CHAGONJA KWA HALI YA SASA. tegemea kupata ushahidi wa kutosha. nakupa moja kuna jamaa alikuwa juu. ya mti akipiga picha aluona na kurekodi kila kitu na huyo polisi wako wewe mzee kwa cdm unekwama hiki si cuf na. nccr...
  8. mkibunga

    Mh.Hawa Ghasia acha kutugawa watanzania kwa mikoa na makabila.!

    yule mama ni changu amebebwa kuwa waziri anaona amefika hajasikia kauli za nape mchemba kweli madaraka yanalevya ipo siku
  9. mkibunga

    Kati ya hawa waliotajwa, Nani karusha bomu?! Mtambue

    mbwa wewe na aliyekutuma
  10. mkibunga

    TAMBWE HIZA: CUF ni chama cha mtu mmoja

    kweli njaa ni kitu kibaya katika siasa nasikia alimpiga dole manake ili mzimu usimdhulu si tayari jamani katimiza ahadi
  11. mkibunga

    Tukio la Bomu Arusha: The game was planned - kauli ya baadhi ya polisi

    naml nakuunga mkono nimeambiwa maneno yanayoendana na hayo
  12. mkibunga

    RC Arusha asukiwa zengwa na TABOA

    Wamiliki wa mabasi wanapanga kumsingizia RC Arusha kuwa amevunja sheria za Sumatra kwa kuziruhusu Noah kusafirisha abiria.Njama hizo zinapangwa na Enea Mrutu mmiliki wa mabasi ya Kirumo na mmoja anaitwa Oscar ambaye amepewa jukumu la kutoa tamko la chama cha wasafirishaji. Huku wakimtuhumu...
  13. mkibunga

    Jengo la CCM Mtwara lateketezwa kwa moto...

    linahusija sana maana wai ndo wanaubsa serikali hujasikia wakisema serikali ya ccm ni sikivu ndo maana wachoma ili wasikie viva mtwara nawaaminia kwa pasive resistance
  14. mkibunga

    Dr.Charles Kitima:Wanaolengwa ni wakatoliki

    kwani uongp lams kasema sivyo shuhudia uongo wakr
  15. mkibunga

    Napinga sehemu ya malipo ya Lema...

    VIKWAZO Acha ukomba wa kujikomba kwa CCM mbona hupinga mafuta anayopewa naye kama mbunge hali anatumia magari ya waziri mkuu. hujasikia lowassa ni waziri mkuu mstafu hivyo analipwa marupurupu ya uwaziri mkuu hali ni mbunge analipwa tena hayo mafuta, kuhusu kulipwa gharama za kesi unachekesha...
  16. mkibunga

    Dr. Kitila ampa tabu Thabo Mbeki

    joyce hata wewe akili yako finyu na elimu yako nadhani ni kuliko unavyomtathimini dr. kitila ebu tizama sarufi yako inadhihirisha ulofa wako pili kwani mgeni akija kwako usimuulize jambo la kweli alilolitenda? nyinyi ndo mmeifikisha nchi hii hapa tulipo kutomwambia rais kuwa nchi imeyumba...
  17. mkibunga

    kesi hii inahitaji wakili au ajitete mwenyewe

    katika pita pita yangu nikutana na kesi moja inayomkabili mwl mmoja maelezo ya awali. 1.shuleni kwao hawajalipwa mishara miezi mitatu sasa 2.yeye ni mwl tu si mhasibu wa shule sasa - mwl wa watu akachukua ada za wanafunzi akatumia - akatumwa kwenda kulipia ada za mitihani k4 akatia...
  18. mkibunga

    Baada ya Tundu Lissu kuwa-expose waanza kujitaja wenyewe...

    vick kamata aliimba kuwa mkulu ni mfalme suleman si unajua wafalme wanavyopenda wanawake wazuri. mali, kila kitu chao sasa vick anatoka na mkulu si unajua matokeo ya kutoka usiku si watoto na hivyo ni mzazi mwenza ke
  19. mkibunga

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Sio kwasababu ya chuki au majungu, sio kwasababu ya husda au kutaka nafasi yake, bali kwa HESHIMA NA TAADHIMA namuomba Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Nchini, Mheshimiwa sana Philipo Mulugo, afanye uamuzi wa busara wa KUJIUZULU wadhifa alio nao haraka iwezekanavyo. Na kama laa, basi...
Back
Top Bottom