Mshana wakumbushe kuwa kuna ulimwengu wa roho giza na ulimwengu wa roho nuru, ulimwengu wa roho ni halisi na kila jambo linaanzia kwenye ulimwengu wa roho giza au nuru. Tukio lolote linathibitika kakika ulimwengu wa mwili, baada ya kukamilishwa uko rohoni, ulimwengu wa roho giza unamilikiwa na...
Unamuhitaji Yesu kuliko chochote, taafta kiongozi nzuri wa kiimani akusaidie, wengi wenye Hali kama yako wamepona, pia Anza kuisoma bibilia hasa pale unapokua na msonge wa mawazo au kwenda kwenye kanisa na kukaaa umo hata ukiwa peke ako.
Mwaka 2008 nkiwa kidato Cha pili, nlimfedhesha mama na Mimi mwenyewe, nakumbuka suruali yangu ilikua imechanika nkamuomba mama anipe hela nipeleke kwa fundi,
Nlikua nmesahau kabsa kuwa nmeweka kondom kwenye suruali iyo, mama akiwa na rafiki zake wakikundi akasema lete nione ilivyochanika, bila...
Aiseeeee Kama ulikua unalipwa 420000, 2016 na mshahara ujapanda ni uonevu wa Hali ya juu, maisha yamepanda angalia sukar, mafuta nk, afu 15% ya loan bod juu yake, nabaki kusema 5tena
Hakuna shujaa mkuu wawili, wengine wapo kwa ajili ya kumjenga shujaa mkuu, mfano heshima annayopewa Mandela duniani ni sawa na anayopew Waltel Sisulu, wanaomjenga shujaa mkuu ndio uingia field direct,
Mwaka 2007 Hadi 2010, f1 had fo4, nmesoma shulen ya kata, nje ya mji umbali wa km 40, nlilazmika Kila wikend kurud town kuchukua chakula kwa mguuu, jua langu mvua yangu, wakat mwingne ubebe unga kichwan, wakat mwingne ukose chakubeba, thanks God nlimalza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.