Search results

  1. Mwanyasi

    Wa "Mikoani"

    Kazi kazini
  2. Mwanyasi

    Eggs Incubator: Heat Controler

    Natambua uwepo wa watalaam hii makitu humu ndani, heshima kwenu. Aina ipi ya heat controller/ thermostat inafaa kwa incubator ndogo, kati, mpaka kubwa. Lengo ni kuandaa home made incubator maana kuku wamekuwa wavivu kutotoa. Elimu haina mwisho.
  3. Mwanyasi

    Kiwandani

  4. Mwanyasi

    Infwakti nimewamiss this forum

    Yaaa.... Akchware hili jukwaa langu pendwa hili lakini nilikuwa mfupi kwalo...... Bezikale linakwenda ekselenti, hongera. Baada ya siasa hili linafata........... Nimerudi, yani nitakuwepo, wakongwe wenzangu kujeni, wageni haswaaaa... Siyo kwa uandishi huu... [emoji56] @kaunta
  5. Mwanyasi

    Konyagi bana, eti hii chupa

    Maagizo ya mwisho Machi 1
  6. Mwanyasi

    IRIS 2 & 3

    Naomba mwenye link za ku download seaon 2 na 3 series ya IRIS tafadhali
  7. Mwanyasi

    Cha Malawi

    Wale mnaotaka kujifunza, Cha Malawi hakifai kujifunzia
  8. Mwanyasi

    Kweli?

    Siyo maneno yangu.....
  9. Mwanyasi

    Kunywaaaaa

  10. Mwanyasi

    Smile

    Tuweke "uchit chat" pembeni, huyu mdau yuko salama kweli, nimemsaka muda mrefu sijafanikiwa, Filipo anaelewa namaanisha nini, pakajimmy mzee wa kumbatio, Dark City, @blakiwomani, Watu8, KOKUTONA, na wadau wengine wa chumvini wanajua. Mke wangu janeth1 anajua pia kuwa namtafuta Smile
  11. Mwanyasi

    Dereva wa Mkuu wa Mkoa

    Wengi wa age go katika jukwaa letu pendwa hili la Chit Chat tumepoteaaa. Wito wa dereva tajwa hapo juu ni kwamba niwaombe wadau wote kurudi hapa jukwaani. Wafuata wametakiwa kurudi immediately: PakaJimmy, Watu8 Filipo Arushaone KOKUTONA lilyflower Preta blakiwomani Madame B na mke...
  12. Mwanyasi

    Tanzia: Dark City amefiwa na mama yake

    Ni habari ya kusikitisha, mwenzetu amefiwa na mama yake mzazi leo. Mipango ya mazishi inafanyika,. Tumwombee mama apumzike kwa amani.
  13. Mwanyasi

    Waziri kumhoji Waziri mwenzake bungeni

    Wadau, hivi kanuni zinaruhusu kwa waziri kumhoji mwenzake? Leo waziri wa naibu viwanda na Biashara kasimama na kumuuliza Waziri wa ujenzi juu ya mpango wa ujenzi wa barabara. Cha ajabu Magufuli kasema itajengwa wakati haijapangiwa fedha.
  14. Mwanyasi

    Wazo la kuwakusanya vijana 100 Wilayani Sikonge, na kwenda porini kuanzisha kijiji chao ni jema

    Hili wazo la kuwakusanya vijana 100 Wilayani sikonge na kuenda polini kuanzisha kijiji chao ni jema sana. kama liliandaliwa sawa sawa na kupangiwa bajeti kupitia 5% ya bajeti ya halmashauri kama sera ya vijana inavoelekeza, huu utakuwa mwanzo mzuri wa kuwajenga vijana kujiamini na kujitegemea...
  15. Mwanyasi

    Mkwe wangu NTUNZU

    Hivi baba wa mke wangu si tuwashitaki hawa waandishi walivokosea kuandika jina kwenye kibao chako hapa Ntuzu badala ya Ntunzu Khantwe mama yetu umelioona hili? cc: janeth1
  16. Mwanyasi

    Uchaguzi serikali za mitaa mwaka huu, utategemea matokeo ya bunge la katiba mpya.

    Hayo ameyasema Kikwete akimaliza Ziara yake Mkoani Tanga. Uchaguzi haufanyiki ikiwa bunge litapitisha serikali tatu kwakuwa itabidi serikali yavtanganyika itungwe ili mwongoo uwepo. Kama itaendelea katiba ya serikali tatu, uchaguzi unaweza kufanyika ikiwa sheria zilizopo hazikinzani na Katiba...
  17. Mwanyasi

    Muungano wa serikali moja

    hii ndio ilikuwa vision ya viongozi wetu waasisi wa muungano, anadai hii ndio serikali itakayokuwa na gharama ndogo. muungano utakuwa imara zaidi: amesema mwana ccm bungeni - mhe mtutula: nadhani hili sio baya
  18. Mwanyasi

    Jaji Warioba anaandamwa sana na wanaCCM

    je ni mpango wa ccm na kiongozi wake kikwete au nini? wanapinga riport yake kama walikalishwa kikao na ccm! wadau tujadili kwanini?
  19. Mwanyasi

    Natangaza rasmi ndoa na janeth1

    baada ya kukaa kwa muda mrefu bila mke, leo natangaza rasmi kuwa janeth1 ni Mrs. Mwanyasi. taarifa kwa mwenyekiti Baba V na rais Arushaone wakiwa viongozi wetu. dada na kaka zangu KOKUTONA amu Arabela Lady doctor watu8 Kaizer Judgement YNNAH Asprin DEMBA Chocs Filipo Heaven on Earth Mtoto...
  20. Mwanyasi

    WanaJF tuanzishe kituo chetu cha runinga

    pamoja na wazo hilo kuwa la long run, in a maeanwile tuombe mawazo ya wachache katika kamati ya tundu lissu yarushwe na channel ingine kama ITV au startv. hata hivo tunaweza kama members wa jf tuchangie garama ya kurusha hotuba hiyo in either tv at the agreed time.
Back
Top Bottom