Search results

  1. Mwanyasi

    Leo tuwatambue Wanyakyusa kwa majina yao

    Ughonile Mwakatobhe[emoji1787]
  2. Mwanyasi

    Ukandamizaji wa matumizi ya vitu vya asili na wakoloni

    Siyo kosa! Muda wa kuelewa ukifika utaelewa maana inaeleweka.
  3. Mwanyasi

    Leo tuwatambue Wanyakyusa kwa majina yao

    Aisee hili jina
  4. Mwanyasi

    Leo tuwatambue Wanyakyusa kwa majina yao

    Mwabukusi, baharia wa zamani[emoji1787]
  5. Mwanyasi

    Leo tuwatambue Wanyakyusa kwa majina yao

    Huyu apewe nchi
  6. Mwanyasi

    Leo tuwatambue Wanyakyusa kwa majina yao

    Jho ilumbu ghwangu
  7. Mwanyasi

    Uchambuzi na Marekebisho ya Rasimu ya Mtaala wa Elimu: Kuondoa Mambo ya Dini na Masuala Mengine ya Kukinzana na Katiba

    Elimu ya dini ipo miaka yote shuleni, muda wa vipindi vya dini kila dhehebu wanajua pa kukutana na kuendesha ibada. Hakuna anayelazimishwa kujiunga na au kuhudhuria dini asiyoitaka. Ukienda Ilboru sekondari kuna kanisa, lakini pia kuna msikiti na kila watu wanaabudu watakavyo bila kubugudhiana...
  8. Mwanyasi

    Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

    Labda una approach nzuri tofauti na yeye kama yupo juu ya stul ndefu sasa kaona inafeli kulipia wakati kachukua jana tu. Na ukute kangombana na kaunta!! Natambua walimu wanapitia magumu sana hapa nchini! Na hili jambo ni sugu, CWT iliingua virusi, ukifatilia baadhi waliteuliwa na Rais kuwa ma...
  9. Mwanyasi

    Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

    Huyu ni mwalimu, na inawezekana babake pia mwalimu na mke wake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. Mwanyasi

    Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

    Unadhani ukijificha huku mtandaoni asili haikuoni??? Wewe nawe mwalimu tu huna jjipya, unataka walimu wenzio wapambane wewe upate mseleleko. Jianze upya.
  11. Mwanyasi

    Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

    Vijana wako watatukuta shuleni, in every action, there is equal reaction but opposite direction. Karma!!!
  12. Mwanyasi

    Ninunue lori ya kichina 0 KM au Scania used from Saab Scania

    Za kuagiza Ulaya huwa zina magumash sana, tuna vipisi viwili tuliagiza kule Ulaya zinafanya kazi kivivu sana (nadhani tulipigwa) japo tunazihudumia vema kwa spea lakini bado hazikai muda mrefu bila kushmbua. Kuna fundi aliwahi kuzungumzia jambo la hali ya hewa ya Ulaya na ya huku, kuna kifaa...
Back
Top Bottom