Search results

  1. M

    Somo letu: Wajua kwanini namba 13 ni namba ya mkosi? Je, umezaliwa tarehe 13?

    Na. 13 kwa wakristo inakumbusha Yuda Eskariot aliyemsaliti Yesu Kristo. Hivyo ni namba balaa.
  2. M

    Rais Magufuli una bifu gani na Hussein Bashe?

    Mleta mada, usisahau, mwanasiasa husikiliza wapiga kura wake. Hapa mambo ya ufundi hakuna nafasi. Mbunge huwakilisha mawazo ya watu, yenye niaba nzuri na mbaya kulingana kalipwa na nani. Ndani ya Bunge, Mh. Mbunge aweza ropoka chochote na akashangiliwa na mashabiki waliomtuma. Hivyo Mbunge...
  3. M

    Big names in the TTCL-Airtel shares controversy

    Nobody has ever volunteered reply, thanks. But Massanda, I believe you're a learned person , please just do a lilltle homework. The answer is very simple.
  4. M

    Eti, WiFi ya Dreamliner inapatikana kwenye injini? Mbona ni ukarabati wa injini au ndio service?

    Mimi ni mtaalam wa mitambo. Kufungua boneti kama unavyosema si ajabu hasa ukifika mwisho wa safari na pia kabla ya kuanza safari. Hiyo ni kujiridhisha kwamba yote ni salama kama ilivyoainishwa kwenye orodha ya ukaguzi (check list). Hiyo ni lazima ni lazima haswa kwenye ndege, meli na hata train...
  5. M

    EWURA yatangaza Bei mpya za mafuta, Petroli na Diesel bei zaporomoka

    Ondoa hawa mchwa wanaoitwa, EWURA, na bei itakuwa tzs 1,500/- Kwa Lita ya petroli.
  6. M

    Sababu muhimu kwanini Urusi hawezi shinda vita dhidi ya USA

    Hakuna ktk hizo mbili wala washirika wao wanahitaji vita. Ukweli ni kwamba ikianza vita kuu, ndani ya saa moja ulaya yote inafutika kwa mashambulizi ya Mrusi. Urusi na Marekani kwa ukubwa wa eneo watasalimika kwa vile mashambulizi hulenga miji mikubwa, miundombinu na viwanda.
  7. M

    Rais Vladmir Putin alipomtembelea rais George Bush: Ni shetani gani aliyeharibu haya mahusiano?

    Kama huwezi kumshida adui wako, basi ungana naye!!!!!!
  8. M

    Kwanini hatutumii nguzo za zege kwa ajili ya umeme kama Kenya?

    Life span ya nguzo zege minimum miaka 50. Sasa nitakula wapi? Acha mcheso we msee [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]
  9. M

    Tundu Lissu: Mawakala wa mabwanyenye waliosababisha ndege yetu ikamatwe Canada ni akina nani hasa? Ukweli huu hapa

    Tundu Lissu, awashukuru Shemeji zake Wakurya waliookoa maisha yake mwanzo kabisa kwa kuchangia gharama za matibabu yake huko Nairobi. Aache upuuzi wake ktk siasa na aendeshe maisha yenye tija kwa manufaa ya familia yake.
  10. M

    68% ya wananchi wanaripoti kuwa wana imani sana na viongozi wa dini kuliko wanasiasa

    Wewe hujui kitu. Siku hizi watu huenda kwenye nyumba za Ibada ili kujitambulisha tu. Hakuna anayeamini ktk hizi dini. Ushahidi kufunga kinafiki. Kama bado unaamini kuwa kuna mbingu na Mungu ni uhuru wako binafsi.
  11. M

    KKKT kurejesha serikalini shilingi milioni 129 baada ya kubanwa na TAKUKURU

    Kila Taasisi ina udhaifu wake. Maadamu wamekiri kuwepo na tatizo Hilo, basi inatosha kurejesha hizo fedha na kujirekebisha ili lisitokee tena katika siku za mbele.
  12. M

    Tanzania to fund its own projects

    Kila kitu kinawezekana, hutaki, hama/ondoka. Kasikilizie nje. Raisi John Pombe Magufuli Hoyeeee!!
  13. M

    Wapendwa wanawake, muwe makini sana na madaktari wa magonjwa ya wanawake

    Dakta, anapompima mgonjwa ni lazima nurse awepo. Huo ndiyo utaratibu unaokubalika dunia nzima. Hii huondoa malalamiko ya udhalalishaji
  14. M

    MTEI: Nililipwa Mshahara sawa na Nyerere

    Mbona huyo Mtei, hasemi wapi walitofautiana na Mwl. Nyerere? Alikuwa mpinzani mkuu wa sera za Ujamaa na kibaraka wa sera za IMF na WB. Alitimuliwa na Mwl. Nyerere, lakini kidiplomasia wakasema amejiuzuru.
  15. M

    Swali kwa ma men, Tanzania Ina makabila >120, umegonga mangapi mpaka sasa?

    Fair play, mpaka mwanamke kukiri kugongwa ni kitu kizuri sana.
  16. M

    Swali kwa ma men, Tanzania Ina makabila >120, umegonga mangapi mpaka sasa?

    Mimi nimegonga zaidi ya robo tatu kwa vile makabila mengi ni jina tu kwani hufanana hata lugha, Mila na desturi. Ila kwa upande wako hakuna kabila la Wamanyema. Wabwali, Wabende, Wabembe, Wagoma etc etc ambao wote wana asili ya jimbo la Manyema huko DRC nimegonga. Wanawake wa Kigoma, wakiwemo...
  17. M

    Mapishi ya Firigisi za foil

    chunga: foil ikiyeyuka hata kidogo na kupinga kwenye chakula ni hatari kwa afya yako. Kila anayekula vya foil ni mhanga wa magonjwa yasiyojulikana. Kama vile vile anayekula vilivyopikwa kwa sufuria za aluminium. Maendeleo na changa moto!!!!!!!!! Turudie kwenye vyungu na majani ya migomba ndugu...
  18. M

    Ushauri kwa Waziri wa Elimu kuhusu kufuta sera ya Elimu ya mwaka 2014

    Hivi mliosoma zamani na kung'ara mpaka leo mlitumia vitabu gani? Kama leo tumeshindwa kutunga vitabu ambavyo vinaendana na mabadiliko, basi turudie kwa vitabu vya zamani.
  19. M

    Big names in the TTCL-Airtel shares controversy

    After this Airtel and TTCL saga, we would like to know who killed TIPER(Tanzanian- Italian Petroleum Refinery) based at Kigamboni and who is behind the construction of the new petroleum products refinery at Mbagala Zakhem?
Back
Top Bottom