Search results

  1. zaitmemee

    TECNO K8 INAUZWA

    Tecno K8 (Spark Pro) 5.5 inches display, 1280 pixels x 720 pixels Android v7.0 Nougat Quad-core 1.25GHz CPU 1/2GB RAM 16GB internal storage (micro SD up-to 32GB) 13MP back camera 8MP front camera 2G,3G & 4G networks Fingerprint scanner (back) 3000mAh battery Ni nzuri na haina shida yoyote...
  2. zaitmemee

    Car4Sale Nissan pick up inauzwa

    Ni ya mwaka 2000, imetembea kilometers 137,000km. TD 42 engine. Suspension safi kabisa, ina Air Condition, tairi mpya. Gari iko katika hali nzuri sana. Bei 30 million Tel: 0622 362651
  3. zaitmemee

    Award Verification Number (AVN)

    Habari za muda huu, Mimi ni mwanafunzi niliemaliza diploma 2017, sasa nilikua nataka kupata Award Verification Number ili niweze kuendelea na elimu ya juu. vitu gani napaswa kuwa navyo ili nipate hiyo AVN. ASANTE
  4. zaitmemee

    Shelf ya kioo inauzwa

    Ipo Dodoma, bei 70,000/=
  5. zaitmemee

    2000 nissan pick up for sale

    Gari ni mzuri sana. Imetembea kilometers 120,000. TD 42 engine. Suspension safi kabisa. Haijawahi kuguswa chochote. Performance take ni nzuri sana. Bei 30mil Tuwaskliane 0714-943684
  6. zaitmemee

    Photocopy machine inauzwa

    CANON IR 1610. Ipo Dodoma. Inafanya kazi vizuri tu. Bei ni 400,000/= Tuwasiliane 0714-943684
  7. zaitmemee

    KIOO CHA DELL LATITUDE E5400 KINAHITAJIKA DODOMA

    Nataka kioo cha laptop dell latitude e5400, nipo dodoma. 0739-943684
  8. zaitmemee

    HP DESKJET 1050A PRINTER INAUZWA 200,000/-

    Ni Three in One, (Prnter,Scanner,Copier) Printer ipo Dodoma! ni nzma na ina fanya kazi vizuri kabisa. tuwasiliane kwa 0739-943684
  9. zaitmemee

    Nawezaje kurusha/kutuma salio kwa TTCL

    habarini za asubuhi, nina sim card ya TTCL na nlikua nahitaj kutuma salio kwenda ttcl nyingine. natanguliza shukran.
  10. zaitmemee

    KWA ANAEJUA KUHUSU L-PESA ATUJUZE

    Ni huduma inayohusika na nn? Nini faida yake?
  11. zaitmemee

    BRAND NEW ULTRA-SLIM LENOVO FOR SALE

    Hdd-1Tb RAM-4GB Processor - 2.1Ghz Battery life- exceptional 7 hr,(tested and proved) Usb port - present HDMA port - present Microsoft office 2016 ( Office 365 ) Ni laptop mpya kabisa ya mwaka 2016. Inakuja na antivirus ya Webroot. Ni very slim na portable, very fast indeed. Inakaa na chaji...
  12. zaitmemee

    ENGINE NA GEAR BOX ZA RANGE ROVER HSE 4.6 ZINAUZWA

    ENGINE NA GEAR BOX YAKE KWA PAMOJA VINAUZWA. ENGINE NI NZIMA KABISA NA INAWAKA, NA GEARBOX YAKE NI NZIMA PIA, BEI KWA VYOTE NI MILLION TANO, (5,000,000/=). NIPO DODOMA MJINI. MAWASILIANO 0622-362651 0655-362651
  13. zaitmemee

    Natafuta mahindi ya njano (yellow corn) kutoka dodoma

    habarini za mchana wakuu, natafuta mahindi ya njano, yale ambayo unga wake watu huuita unga wa yanga. ninahitaji tani 10. mahindi yawe yanatoka Dodoma, maana wao wanalima bila mbolea. kwa anaejua wapi naweza pata kwa mkoani Dodoma ntashukuru sana, au kwa namna yoyote ile akiweza kunisaidia...
  14. zaitmemee

    Haloteli kuna nini mbona network haipatikani

    ghafla tu majira ya saa saba kasiro saba,usku. Data imekata,na simu hazitoki, wanasema sijasajiliwa. Nmeweka laine nyingi nayo ndio haisom kbsa, shida iko wapi.
  15. zaitmemee

    Natafuta Engine ya Range Rover 1996 HSE 4.6

    Habari wakuu, engine ya gari yangu ina matatizo,hivo nmeamua kutafuta nyingine, gari ni ya mwaka 1996, engine ya 4,600 cc, HSE ( high specified edition). Kwa anaejua wapi naweza pata ntashukuru sana.
  16. zaitmemee

    Pharmacist, Pharmaceutical Technicians na Assistant Pharmacists tukutane hapa

    Habari zene wakuu, nmeona ni vyema watu wa dawa tujuzane na kubadilishana mawazo kupitia Thread hii. Natanguliza shukran zangu.
  17. zaitmemee

    [Msaada] Namna ya ku-install windows kwa kutumia flash

    Habari za leo wakuu, ninataka kudownload file la windows 8 kupitia torrent, lina ukubwa wa 3.77 GB. alafu niliweke kwenye flash, kisha ni install, naomba mnijuze nina hitaji kufanya nn ili nifanikiwe katika hili, natanguliza shukran
  18. zaitmemee

    Settings hazionekani kwenye Windows 10

    Habari wakuu, nina lenovo ideapad, imekuja na windows 10 installed kabisa.sasa leo nlikua nafungua settings lakini hai respond. Kwa anaejua solution ntashukuru sana[emoji120]
  19. zaitmemee

    Natafuta fundi wa helicopter

    Rejea kichwa cha habari, Aliyeko au anaejua wapi naweza mpata, ntashukuru sana. Kwani ndege hii inahitaji matengenezo
  20. zaitmemee

    Lenovo ideapad 100s vs Nextbook flexx 10

    Tukutana hapa, kuzichambua hizi and finally ku conclude which is the best.
Back
Top Bottom