Search results

  1. BAI SM

    Hotuba ya Zitto Kesho kwa Wandishi wa Habari ndio Kipimo cha Maturity na Vision ya Zitto

    Siku za mwizi ni _____________ Unajua kuna wakati nilimuona Zitto anajiamini sana, ikanikumbusha wakati nikiwa kijana mdogo, mimi nilikuwa mchezaji mpira maarufu sana, bila mimi eti timu yangu haiendi uwanjani kwa hivyo mara nyingine nilikuwa nafanya makosa fulani kwa makudi halafu wakija...
  2. BAI SM

    Alichofanyiwa Zitto ndani ya CHADEMA: Akili ndogo inatawala akili kubwa

    Mwigulu una tatizo la akili nakushauri uwahi Mirembe Hospital haraka! na kama akili zako ziko sawa ebu jibu hii kwanza; Subject: Fw: kazi nzuri Date: Sunday, November 17, 2013 20:28 From: " Mwigulu Nchemba " <shimbi85@gmail.com> > To: “Emmanuel Nchimbi” < nchimbie@yahoo.com > On Sunday...
  3. BAI SM

    Mwigamba kufukuzwa rasmi leo

    Nimeikubali hii, Ndugu naomba uanze kutoa makala kwenye magazeti, nafikiri utaelimisha wengi
  4. BAI SM

    Website ya CHADEMA ina matatizo gani?

    Nimejaribu kufungua website ya CHADEMA ili niangalie mambo fulani lakini nikatakiwa niingize password na imeandikwa "Protected Site", na hakuna sehemu ya yoyote inayoruhusu kuji-register. Wadau naomba msaada wenu. Kitu nilichokiona kiko katika picha hapa chini.
  5. BAI SM

    Mbowe akiwa msiba wa Mhe Zamberi Ngobai aliyekuwa Diwani wa Kata ya Nyasura, Bunda

    Mhe Freeman Mbowe akimpa pole Mke wa Marehemu Albertha Zamberi, aliyevaa shati ya kitenge pembeni yake ni Kijana Mkubwa wa Marehemu Ndugu Emanuel Ngobai. Mhe Freeman Mbowe akibadilishana mawazo na kupata maelezo kutoka kwa kijana Mkubwa wa Marehemu Mzee Zamberi Ngobai Mwisarya anayeitwa Emmanuel...
  6. BAI SM

    Esther Bulaya (MB) Achemka Katika Interview EATV Chanel 5...!

    Inawezekana Esther akawa anatishia maisha ya Kisiasa ya Mzee Tyson ndani ya CCM si zaidi ya hapo (kwenye kura za maoni). Nje ya CCM hawezi kufurukuta. Ni kweli amejitahidi kuanzisha mashindano yake ya mpira ili kukusanya vijana na kujiweka sawa, lakini hata yeye anajua hawezi kushinda jimbo hili...
  7. BAI SM

    Napinga uteuzi wa Prof. Sifuni Mchome kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu

    Hapa Dr. Slaa anaigiaje? Aliaye anzisha habari hii ametoa jinsi anavyomfahamu Katibu Mkuu huyo mpya na nafikiri ungeonekana mwenye akili nyingi kama aidha kupinga alichoandika kwa maana ya tabia ya huyo Sifuni au kukubaliana naye, sasa Slaa anaingiaje kwenye hoja kama hii!!! Najua tatizo...
  8. BAI SM

    Wanawake LIVE kipo hewani..

    Kumekuwa na kelele kwa siku nyingi kutoka kwa viongozi CCM kwamba CCM ni chama sikivu na imejitahidi kuleta maendeleo katika nchi, kama unakumbuka ndugu mwana JF, kuna wakati CCM ilianzisha vipindi kwenye TV na RADIO kuonesha maendeleo yalioletwa na chama hicho, na wakawa wanapita mijini tu...
  9. BAI SM

    Kipigo cha ZANU-PF dhidi ya MDC Zimbabwe ni salaam tosha!

    Attn: Mr Nape: Nape, aibu kwako! bado hujaacha kuonesha utoto wako wa kifikira!! wakati wa uchaguzi wa madiwani uliopita uliibuka na kisa kilichoshanganza wengi ambacho ulitaka kuonesha katika uchaguzi ule CCM iliishinda CHADEMA bila kufafanua kwamba awali mlikuwa na viti vingapi, na vingapi...
  10. BAI SM

    Dep DCI Mngulu hakumjibu vibaya Pengo - Wahalifu wana akili kama polisi, tusijenge chuki kwa Polisi

    Niliamua kwa dhati kuanza kufuatilia kwa makini maoni na kile unachoandika Lukosi, nimegundua yafuatayo: 1: Ulilelewa na wazazi wako kwa kudekezwa sana, hii imeharibu uwezo wako wa kufikiri, huwezi kukaa na kufikiri kwa kina kabla ya kusema au kuandika. 2: Wazazi wako au jamaa zako wa karibu...
  11. BAI SM

    Ijumaa Kuu: Baraza la Maaskofu Tanzania latoa tamko zito!

    Napita tu! yangu macho!
  12. BAI SM

    Polisi wamjibu ovyo Kardinali Pengo juu ya mauwaji ya Mapadri

    Ukiona hivyo ujue ukombozi uko mlangoni... Serikali zote ambazo zimekaa sana madarakani zikitaka kuondoka huwa zinafanya makosa ya aina hiyo hiyo.... utakuta kila mtu serikalini anakuwa msemaji na anatoa majibu ya hovyo hata kwa viongozi ambawo inabidi kuwaendea kwa akili... Pengo ni mtu mkubwa...
  13. BAI SM

    Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

    Mwigulu naomba urudie kuangalia hayo uliyoandika na zaidi naomba uangalie kwenye red, ulichokiandika kinatia mashaka, unasema hukumkimbia Dr kwa sababu hukumuona na unafikiri na yeye hakukuona!!! Hapa ndipo tatizo linaanzia, kwa nini ufikiri hakukuona??? maana yake unakiri Dr alifika katika...
  14. BAI SM

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Nape Nape naomba ujitokeze useme chochote!! Ingekuwa ni zile enzi za utoto ningesema 'kama wewe ni mwanaume hebu choma hapa' wakati umeweka mchanga kwenye mkono, hii nikimtaka Nape atokezee kwa ujasiri hapa JF au hata jukwaani apinge hii kwa nguvu zote, au kama hiyo hawezi namuomba Nape aseme...
  15. BAI SM

    Fuso la matangazo la Mwigulu lasababisha mkutano wa RC Singida kukosa watu!

    Ungeweka na picha mkuu ingekuwa tamu kuliko
  16. BAI SM

    Waliofeli Form Four kurudia mitihani bure mwaka huu?

    Mchambazi wazo hilo la Wizara sio baya, ngoja vijana wajaribu bahati yao kwa mara ya pili, maana hali ni mbaya
  17. BAI SM

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Niliwahi kusema, ukikuta mtu anatumia mdomo wake vibaya kwa kuropoka ropoka ujue kuna shida kwenye maisha yake, malezi yake, Elimu yake, ni vema tukafuatilia namna alivyolelewa na kukua n.k!! Kuna dosari hata kwenye hiyo CV ambayo ameamua kutupa ingawa swali kubwa hapa tulihitaji matokeo yake ya...
  18. BAI SM

    Mkono mwingine wa Mwigulu Nchemba ndani ya CHADEMA huu hapa!

    Mbio za sakafuni huishia ukingoni. Kama Nyakarungu hajajifunza kwa wenzake, basi sikio la kufa halisikii dawa! Ndio maana tunasema CHADEMA ina Mungu, kitendo cha Dr kuwakuta raivu si cha kawaida! huo tu ni ushindi tosha!
  19. BAI SM

    Pendekezo kwa Rais Kikwete kuhusu wanafunzi waliofeli...

    Mapendekezo yako ni mazuri ajabu, bahati mbaya umeyatoa kwa nchi isiyosikia. Ngoja nikukumbushe kitu kimoja Mwanakijiji, Nchi ikishauriwa na mtu ambaye hayuko kwenye system yao tena wa karibu kabisa na utawala, hawawezi kuufanyia kazi ushauri huo kwani wanafikiri wataaibika, watapuuza na kutoa...
Back
Top Bottom