Search results

  1. kifafiri

    Mchungaji wa KKKT, Fred Njama ataja mambo 6 yanayoitafuna nchi

    Alitekwa jana mpaka leo haijulikani alipo
  2. kifafiri

    Hawatafanikiwa kutuchonganisha na RAIS wetu kwa mbinu ya kumuua Tundu Lissu

    MYAO WA KASKAZINI kama unavyojiita, hiyo uliyotumia ku post hayo mawazo yako sii akili ya shule wala ya kuzaliwa ila mwenda wazimu tu ndio anaweza kusema ulichokisema,lkn una uhuru pia wa kutoa mawazo yako,wenye akili tumekupima tumekuelewa. kama wewe ni muumini wa dini hizi kubwa mbili Mkristo...
  3. kifafiri

    JamiiForums yashinda mapingamizi yaliyowekwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG)

    Kudadadeki Jamii Hureeeeeeeeeeeeee !!!!!!!! Hizi pingu zao tutazifungua moja baada ya nyingine. Big Up JF
  4. kifafiri

    CHADEMA mmemkosea wapi Lowassa mpaka ameamua kujiweka pembeni na chama chenu?

    Inaelekea siasa hamzijui,Lowasa japo mmekaa nae miaka lukuki bado hamkumjua. Nasema hivyo kwa sababu Mh Lowasa hakuwahi kukurupuka kwenye siasa kama mnavyofikiri kwa akili ndogo,tangu amalize elimu yake ya juu hakuwahi kuajiriwa popote zaidi ya siasa,hivyo siasa za Africa na za kilimwengu...
  5. kifafiri

    Jinsi ya kufungua akaunti ya paypal na usalama wake

    Thanks for your good explanations about PayPal,one small question again, what to do if I would like to sell my products online using the same PayPal.
  6. kifafiri

    Nimekubali Magufuli ni intelligent man!

    Hao wanaomsifia Magufuli ni wale wale waizi wa KURA lakini mwisho wenu utafika tu. Kama c ufinyu wa ubongo (akili ndogo) ataweza wapi kutembelea Tanzania nzima kwa kushtukizia? Huu ni moto wa karatasi tu,hata siku 100 hazitofika keshalegea,kwanza huko Hazina kaambiwa hakuna hata cent...
  7. kifafiri

    UKAWA kusambaratika kabla ya Oktoba

    Bado mpaka sasa sijaelewa,mwanzo wa story tuelezwa ni utabiri sasa naona anayetoa utabiri humo humo anatukana,SIELEWI kama ni utabiri ameutafsiri au ni mawazo yake kama mkereketwa?
  8. kifafiri

    Dr. Slaa asahaulika CHADEMA

    Mtoa mada atakuwa na ugonjwa wa kusahau bila shaka, kwani Dr.Slaa kafukuzwa na nani? amekaa pembeni mwenyewe na akirudi hata leo ataendelea na nafasi yake,au umesikia kuna katibu mkuu mwingine kachaguliwa? Shida nyie watu wa CCM mnadhani mnaweza kutuendesha mtakavyo, kama lini fisi akamwonea...
  9. kifafiri

    Dr. Slaa asahaulika CHADEMA

    Mtoa mada atakuwa na ugonjwa wa kusahau bila shaka, kwani Dr.Slaa kafukuzwa na nani? amekaa pembeni mwenyewe na akirudi hata leo ataendelea na nafasi yake,au umesikia kuna katibu mkuu mwingine kachaguliwa? Shida nyie watu wa CCM mnadhani mnaweza kutuendesha mtakavyo, kama lini fisi akamwonea...
  10. kifafiri

    Lowassa jiandae na mikikimikiki,jipime kama unaweza,kama huwezi kaa pembeni usije singizia watu kwa

    Huyu mtoa mada tangu awali mwelekeo wake umeonekana,kwanza niseme tu yeye anajidai anamjua sana Mungu wakati lugha zake tu za kumkejeli Lowassa na kumtukana zinamkosea Mungu,shetani hata siku moja hawezi kutoa ushauri wa kumfwata Mungu,ninachokiona hapa ni WOGA WA CCM juu ya LOWASSA. Niwape pole...
  11. kifafiri

    Upepo umeshageuka, Vyombo vyote vya habari si huru tena

    CCM wamechanganyikiwa nawahurumia kwani hawaamini kile kinachokwenda kutokea,lakini kwa sababu Mungu ameamua kuwapofusha ili waione wala kusikia watazinduka siku ya matokeo ya kura,usicheze na mtu akikuchoka bana,hata mke akikuchoka potelea mbali una mali kiasi gani ataondoka tu, WATAISOMA...
Back
Top Bottom