Inajulikana kuwa Noel Mwandila amekuwa ni msaidizi wa George Lwandamina kwa muda mrefu,na iliwahi kusemwa Chicken hupenda kufanya naye jazi...Lwandamina ameshaondoka na inasemekana amerudi kwenye team yake ya zamani(Zesco),hiki Kijamaa kinasubiri nini sasa?,peleka yeye kwa Boss wake,shusha...
Kabla mechi ya Yanga na Kagera haijapigwa kule Kaitaba Jumamosi iliyopita,mmoja wa mabeki anayesifika kwa kukaba mpaka kivuli na ki'ukauzu kabisa Juma Saidi Nyoso alijinasibu kuwadhibiti washambuliaji wa Yanga haswa Ibrahimu Ajibu aka Fundi aka Miguu ya dhahabu,nafikiri Nyoso alijiaminisha kuwa...
I totally agree with you Rweye
Nimeiangalia game ya jn mpk nikasikitika,team inacheza vibaya cjapata ona,wachezaji karibu wote wameshuka viwango na kuna dalili wakaendelea kushuka viwango kila cku
Tukiacha ushabiki pembeni,mleta uzi ana hoja,nani amesahau jinc wachezaji wa Ruvu Shooting walivyokuwa wanatabasamu walivyokuwa wanashindiliwa yale magoli 7,yaani kama ungekuwa ni mgeni na hujui team gn imevaa jezi gn ungeweza sema Wachezaji wa Ruvu ndo walikuwa Simba na wa Simba ndo wa Ruvu...
Hlf Afisa Mipango wao wa mwaka huu cyo mtu wa mchezoX2,yaani mpango mzima unaanzia kwa Walimu wapanga kikosi,haiwezekani mchezaji asha'prove out of form lkn bado anaendelea tu kuaminiwa.
Ubora wa mchezaji haupimwi kwa kuwafunga nani nani cjui,ukileta hizo nitakuuliza pia kwnn alishindwa kuwafunga Chipukizi ya Zanzibar hata goli la offside hlf aje awafunge Ruvu magoli ma'4
Nimethibitishiwa Golikipa aliyedakia leo Mwadui katika mechi dhidi ya Simba ni mmoja wa Vijana waliokuzwa na kulelewa na aliyekuwa Kocha wa team hiyo Jamhuri Kihwelo "Julio".
Na kwamba washambuliaji wa Simba hawakushtukia mapema kuwa golini yuko Kijana wao.
Ndo maana statistics za wachezaji...
Ni rahisi kupitia uzi wa mleta hoja hapa jukwaani na kubashiri kiwango chake cha ueledi au nafasi darasani aliyokuwa anashika,mleta uzi kama huyu unapitia hoja zake na kuishia kutikisa kichwa yaani SIFURI kabisa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaambiwa katika kuhakikisha wanapambana na hali yao ya kujinusuru na kushuka daraja,wasije kuwachosha Wachezaji wao wa kikosi cha kwanza na/au kupata majeraha Jamaa waliteremsha kikosi cha vijana na bado Bi Hindu Sports Club iliyokuwa imesheheni wachezaji wa team ya Taifa ya Salum Mayanga...
Kiungo Fundi mwenye magoli mengi na assist za kutosha kuliko viungo wote waliocheza ligi ya msimu uliopita,akiwa mazoezini Morogoro
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.