Search results

  1. Mla Mbivu

    Kiwanja kinauzwa Goba kinzudi magorofani

    27,000,000÷750 = 36,000 36,000 per Square Meter hapo umeua kupitiliza kwa maeneo hayo na nature ya kiwanja hicho! Hapo hakikupaswa kuzidi 25,000 PSM which is roughly 18,000,000
  2. Mla Mbivu

    Viwanja Pacha vyenye Hati Miliki Vinauzwa MBWENI-Maputo

    Hahahahaaa.... kwa hiyo nikinunua hicho cha 45m natakiwa nimpe dalali milion 4.5 ambayo ndio 10% yake?? Viwanja vyote vinne dalali unavuta milion 15!!! "Ole wao wapendao kuvuna pasipo kupanda"
  3. Mla Mbivu

    Natafuta Kiwanja Goba

    Hadi leo hii hujapata???
  4. Mla Mbivu

    Hospital Information System (HIS)

    Sio wote watafungua hiyo video, ingawa nimeiona umejitahidi kuelezea. Nakushari chukua screenshot kwa kila kipengele muhimu halafu ui upload hapa na maelezo mafupi for better marketing
  5. Mla Mbivu

    Upendo training college-tearching jobs

    Chuo kipo Lushoto.
  6. Mla Mbivu

    Gazeti la 'HabariLeo' lina ajenda gani katika Mgogoro wa KKKT?

    Hili gazeti siku hizi kila toleo lake utaona ukurasa wa kwanza habari kuu ni migogoro KKKT tena hata iwe ni ishu ya kawaida kama zinazoendelea sehemu nyingine but utakuta wameibold. Mimi nashindwa kuelewa lengo lao ni nini haswa. Wadau mnaofahamu hebu tuambieni sababu hili linaendeshwa kwa kodi...
  7. Mla Mbivu

    Gazeti la 'HabariLeo' lina ajenda gani katika Mgogoro wa KKKT?

    WATASHINDANAAAAA.... LAKINI HAWATASHINDA. - Mzee wa Upako
  8. Mla Mbivu

    Mpaka wa Tanganyika na Zanzibar (Muungano ukivunjwa)

    Bahari yote ni ya Tanganyika. Big up Prof. Tibaijuka kwa kuwakomesha wala urojo.
  9. Mla Mbivu

    Wajuzi wa mambo naomba mnijuze jina la mtu huyu

    Huyo anaitwa Rejao aka Dar es Salaam.
  10. Mla Mbivu

    Milo

    Eeeehh!!! .. mkuu una KUNYA maziwa???
  11. Mla Mbivu

    Kuku wa kienyeji akikudonoa hutoa sumu

    Hii ishu ni kweli. Ni kwamba Mungu amewaumba viumbe kila kimoja na namna yake ya kujilinda. Kuku hususan usiku anapokuwa amelala. hu kusanya aina flan ya sumu kwenye domo lake (donoleo) kinapotokea kitu cha kutishia usalama wake kama nyoka akimng'ata sumu ile hutoka na kumdhuru mnyama yule. Na...
  12. Mla Mbivu

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Kumbe hata hujui maana ya Mou.
  13. Mla Mbivu

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Hivi unafahamu maana ya MOU?? Na unajua impact ya serikali kuvunja mou as u wish? una uhakika kwamba ukivunjwa ndo waislam mtapata manufaa kielimu kiafya etc? Tell me how.
  14. Mla Mbivu

    Kuliko vita niliyoiona katika ulimwengu wa roho bora CCM itawale milele:

    Duuuh. Nimependa hiyo ya Raisi alikuwa Oman.
  15. Mla Mbivu

    USHURU wa gari ndogo nitalipa kiasi gani .

    Hiyo dola 1500 ni FOB au CIF....? Chech usijeibiwa as matapeli ni wengi zaidi ya ujuavyo.
  16. Mla Mbivu

    Natengeneza websites bei maelewano

    Nahitaji forum kama hii ya JF (kwa muonekano na functionalities) Ukishatengeneza utanipatia ikiwa kwenye folder pamoja na sql file usiweke forum yoyote nitacreate na ku upload mwenyewe... by the way nafaham vizuri sana kutengeneza bt niko busy kwa muda huu. Kama kweli u r good fanya kaz...
  17. Mla Mbivu

    Kwa masikitiko makubwa naomba wana JF tuangalie kwa makini video hii.......!!

    Mwanaukweli upo nje ya mada... why lakini?? Does it mean huelewi mada inadadisi nini au umetumwa?
  18. Mla Mbivu

    Daktari Mgiriki auawa Tanzania

    Greek Official Dies in Tanzania After Attack A Greek doctor who was working for the Greek Ministry of Foreign Affairs in Tanzania died following an attack by unknown men who tried to steal her hand bag, officials said. Petroula Hatzipantazi passed away on Sept. 25 from her injuries...
  19. Mla Mbivu

    Jamani Hali ya Zanzibar na Muungano si Shwari

    Hivi kwa nini mashoga na mabasha wengi wapo Zanzibar na pwani za Mombasa, Tanga, Dar etc?
Back
Top Bottom