Search results

  1. Mroojr

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Mimi ombi langu tunaomba mtuwekee channel ya TBC INTERNATIONAL. Tumechagua startimes kwa lengo maalum hivyo ni vyema kabisa tukazipata channels zote za TBC. Niko Singida, CHAGUA STARTIMES UPATE UBORA WA MATANGAZO NA CHANNELS BORA
  2. Mroojr

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 15 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    Yooote kwa yote tujiandae kuikwamisha katiba mbovu itakayopitishwa na wajumbe mbumbumbu wa ccm walioelekezwa kudai serikali 2 tu.
  3. Mroojr

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 15 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    kuna mbunge mmoja wa znz kaniacha hoi kweli eti yeye anaunga mkono serikali mbili eti anasema serikali tatu zitavunja muungano na mimi nina kaya zangu mbili tatu lushoto nitamuachia nani. Yaani yevaangalia lake si la wananchi.ndivyo wajumbe wa ccm wote walivyo. Hawana hoja ya msingi ya kupinga...
  4. Mroojr

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 15 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    Tujiandae kuipinga katiba mbovu itakayopitishwa na wajumbe wabovu wa ccm. Ikifika kura ya maoni tuiangushe katiba hiyo mbovu labda wazingatie maoni ya wapinzani walio wachache
  5. Mroojr

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne, Trh 15 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima kwa sura ya 1 & 6

    Mpaka sasa hakuna hoja yoyote ya msingi iliyotolewa ya kutetea serikali mbili na mjumbe yoyote bali nasikia malalamiko tu ya muungano utavunjika na hadithi nyingi za paukwa pakawa. Inanipa mashaka kuwa mlipelekwa wengi kwa ajili ya kupitisha kwa wingi wa kura si kwa hoja. Lakini kila aliyesimama...
  6. Mroojr

    Nini msimamo wako kama mtanzania. Serikali,mbili au tatu

    Kila mtu aende kwao.
  7. Mroojr

    Manyoni: Basi la Bunda lagongwa na treni na kuua

    Kulingana na habari za awali tulizo nazo bus hilo la Bunda limefumaniwa kwenye kivuko cha treni na kugongwa.Mpaka sasa ni watu 4 wamethibitika kufa na tunaendelea kufuatilia habari zaidi juu ya tukio hilo ikiwemo sababu ya msingi ya kusababisha ajali hiyo.Tutaendelea kuwajuza zaidi chochote...
  8. Mroojr

    Katiba mpya ni ya wananchi au vyama?

    Nashangazwa na kauli ya CCM kuingia bunge la katiba kwa misimamo ya chama chao kiasi kwamba wanasahau kuwa iliundwa tume ya kuratibu maoni ya wananchi kuwa wanataka katiba mpya iweje na nini kiwekwe ili kupata katiba itakayotuongoza. Wabunge wa bunge la katiba mnapoingia bungeni kwa kuelekezwa...
  9. Mroojr

    Live Updates: VPL 05/02/2014 Mtibwa Sugar v Simba Sports Club

    Mkuu usiogope kandambili we tupe matokeo tu
  10. Mroojr

    Basi la Zuberi lapata ajali Singida

    Ni Isuna ile ile tu sio mbali saana na pale ilikogonvwa Noah. Picha mkuu hazijachukuliwa kirahisi kwasababu pia ilikuwa mvua na patashika ilikuwa kubwa kiasi kwamba watu wataanza kukushangaa wewe unayeshughulika na picha badala ya kuokoa watu. Picha zitatayarishwa zitawekwa wakuu.
  11. Mroojr

    Basi la Zuberi lapata ajali Singida

    Ni kweli habari za kukwepa bibi kizee zimezagaa sana lakini haonekana huyo bibi kizee na hapakuwa na watu wa kuthibitsha hilo miongoni mwa abiria kutokana na hali ya taharuki iliyokuwepo hapo. Kwahiyo ni vigumu kuithibitisha habari ya bibi kizee.
  12. Mroojr

    Basi la Zuberi lapata ajali Singida

    Ni kiasi cha km 60 kutokea mji wa singida barabara ya Mwanza-Dar ambapo basi hilo limepata ajali muda mfupi sasahv na tayari maiti 3 zilishatolewa na bado uokozi unaendelea. Tutaendelea kuwajuza kadri tutakapojaliwa kuyajua yaliopo eneo la ajali. Taarifa za mwanzo zinaonyesha chanzo cha...
  13. Mroojr

    Naichukia Polisi, Sababu ni Hii hapa

    Polisi wa Tanzania si usalama wa raia kabisa ila ni maadui wa wananchi live. Polisi ni polisi tu kuanzia wa ngazi ya chini hadi wa ngazi ya juu lao moja. Huyo RPC aliyeahidi kufuatilia swala hilo subirini muone kama atawawajibisha polisi wenzake!!! Hakuna chochote kitakachofanyika. Sijui jeshi...
  14. Mroojr

    Polisi waua Tabora

    Kwa ujumla polisi wamekuwa maadui wakubwa wa raia badala ya kuwa walinzi wa raia.
  15. Mroojr

    Je serikali kuipa BAKWATA hati miliki ya taasisi zote za waislamu ni haki?

    Ok fanya Bakwata ndio iwe mwakilishi wa taasisi na madhehebu haya,uwakilishi wake unafaa? Nasena hivi kwa sababu haichukui rai au maoni au mapendekezo ya taasisi zingine ili kuleta uwakilishi mzuri badala yake itakalo taka Bakwata ndio liwe la taasisi zote. Je huo sio udikteta?
  16. Mroojr

    Je serikali kuipa BAKWATA hati miliki ya taasisi zote za waislamu ni haki?

    Au ktk kumbukumbu zenu mlishawahi kusikia wakatoliki wanaiomba serikali kuwazuia wasabato wasisali jumamosi? Au huu ni upungufu tu wa elimu walionao masheikh
  17. Mroojr

    Je serikali kuipa BAKWATA hati miliki ya taasisi zote za waislamu ni haki?

    Mimi ni mwislamu.Nimeyasema haya kwa sababu mara kwa mara inatokea migongano katika maswala mbali mbali ikiwema maswala ya kufunga kufungua ramadhani,kuswali idd na mambo mengine kama haya.Miaka ya nyuma kidogo bakwata ilishawahii kuutangzia umma hawa wanaofunga kabla ya wenzao si waislam na hao...
Back
Top Bottom