Search results

  1. K

    Nahitaji kukodi vifaa hivi kwa siku moja tu: Friza, Juisi dispensa na jiko la kuchomea nyama

    Habari wanajamvi. Nahitaji kukodi Friza, Juisi dispensa na jiko la kuchomea nyama kwa siku moja tu ya tarehe 12/12/2020. Nipo Dar na nitavihitaji kwa ajili ya shughuli Dar. Tafadhali mwenye navyo tuwasiliane DM. Shukrani
  2. K

    Msaada kuhusu bei ya vitunguu swaumu

    Bei ya vitunguu swaumu-Kariakoo Habari zenu Wakuu. Nahitaji msaada wenu juu ya bei ya sasa ya kulangulisha vitunguu swaumu sokoni Kariakoo kwa kilo moja. Au kama kuna mdau ana namba ya simu ya dalali wa vitunguu Kariakoo, tafadhali anipatie. Mimi nipo Iringa na nina vitunguu swaumu...
  3. K

    Bei ya vitunguu swaumu-Kariakoo

    Habari zenu wanajamvi. Nahitaji msaada kwa yeyote anaye fahamu bei ya Kulangulisha vitunguu swaumu katika soko la Kariakoo-Dar. Nipo Iringa nina vitunguu swaumu nataka kupeleka Dar. Kama kuna mtu anahitaji tafadhali tuwasiliane. Au kama kuna mtu ana namba ya madalali wa Kariakoo, tafadhali...
  4. K

    Fursa za biashara Comoro

    Habari zenu wanajamvi. Naomba kujua fursa za biashara zilozopo katika visiwa vya Comoro. Asanteni
  5. K

    Nahitaji trekta la kukodi

    Habari zenu wadau. Nahitaji trekta la kukodi kwa mwezi. Nipo Iringa na trekta nitalitumia Iringa. Msaada tafadhali
  6. K

    Nahitaji trekta la kukodi

    Habari zenu wadau. Nahitaji trekta la kukodi kwa mwezi. Nipo Iringa na trekta nitalitumia huku Iringa. Msaada tafadhali
  7. K

    Nahitaji trekta la kukodi

    Habari zenu wadau. Nahitaji trekta la kukodi kwa mwezi mmoja, nipo Iringa na nitalitumia huku Iringa. Msaada tafadhali.
Back
Top Bottom