Search results

  1. Ocheke

    Trump amfukuza kazi Waziri wa mambo ya nje Rex Tillerson, amteua Mike Pompeo kuchukua nafasi yake

    Mike pompeo ni intelligency officer kwa carrier yake yote na msomi kutokea havard university kabla ya kuwa politician tembelea CV yake naye so MTU Wa mchezo na alikuwa anatumika kukusanya taarifa za kijasusi nchi nyingi sana na ndio maana alipoteuliwa director Wa CIA hakupingwa hata na democrat...
  2. Ocheke

    Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa

    U Usisahau lisu anaendelea vyema kwa iyo msiwe na mawazo ya kumgeuzia kesi dereva maana nyie watu msiojulikana hamchelewi
  3. Ocheke

    Jaji Maraga adaiwa kukataa Kshs. 500mil iliyowekwa kwenye akaunti yake siku ya Alhamisi

    Unamaanisha Steven masato wasira halagi rushwa maana naye ni msabato mzuri tu
  4. Ocheke

    Ushauri wa haraka kwa CHADEMA

    Ccm walibakiwa na jimbo moja tu kilimanjaro
  5. Ocheke

    Nape, Jeshi la polisi na JWTZ mna la kuongea kuhusu tukio la uvamizi Clouds Media Group

    Asante ndugu yangu kwa kushtukia ilo wale ni jamaa wa makumbusho sare zao kabisa sema wengi hawajuagi ilo
  6. Ocheke

    Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Jaman kama umesoma shule 2010 uku ndio utasema ivyo ila vyeti vilikua vinatolewa mpaka wa dv 0 ndalichako ndio alikuja kutengua iyo issue ikawa mtu anayepata cheti mwisho dv 4 ya 28 tatizo wabongo kukurupuka unachokijua muwe mnafanya tafiti gwajima yupo sahihi na makonda hawezi jibu maana...
  7. Ocheke

    Kuhamia Dodoma: JWTZ nao wafungasha virago toka Dar!

    Si lazima wawe mji mmoja mfano usa pentagon na white house zipo miji tofauti
  8. Ocheke

    Madawa ya Kulevya Awamu ya III: RC Makonda amkabidhi majina 97 Kamishna Mkuu wa madawa ya kulevya

    Mbona kama majina awamu ya tatu ndio imetoka ivyo
  9. Ocheke

    Mbowe lazima aende akajibu shutuma inayomkabili

    Lini sasa wanamfuata maana leo j2 kelele za jf hatutaki
  10. Ocheke

    Ridhiwani: Mapambano na Madawa ni kama yameanza

    kwa hapo wabongo mmewaweza sio kwa kupakazia hadi wachungaji uku wakina riz wanadunda ila mwisho wa ubaya unakuwaga ni aibu tu
  11. Ocheke

    Kamanda Sirro: Hadi sasa wameripoti wanne tu, ambao hawajaripoti tutawatafuta

    Hata mimi nawaheshimu lakini kwenye ukweli lazima usemwe
  12. Ocheke

    Kamanda Sirro: Hadi sasa wameripoti wanne tu, ambao hawajaripoti tutawatafuta

    Sio mbaya ila nimejibu swali lako vizuri nafikiri na unakubaliana na mimi
  13. Ocheke

    Kamanda Sirro: Hadi sasa wameripoti wanne tu, ambao hawajaripoti tutawatafuta

    Yaani makonda kamvunjia heshima kubwa uyu kamanda aliyojijengea kwa miaka yake yote
  14. Ocheke

    Kamanda Sirro: Hadi sasa wameripoti wanne tu, ambao hawajaripoti tutawatafuta

    Mpaka week iliyopita nilikua naamini sirro anafaa kuwa IGP lakini makonda kaja kumfanya uyu kamanda aonekane comedian yaani bac tu
Back
Top Bottom