Search results

  1. K

    A wildlife job opportunity

    bado maelezo yako hayajitoshelezi. lakini angalau wadau tumepata meseji yako. ila toa contacts zaidi.
  2. K

    Elections 2010 Madhara ya kutokumtambua Rais

    nitashukuru sana kama msimamo huu wa chadema utapata nguvu ya kisheria. vinginevyo, tutanuna kwa miaka yote mitano ijayo na kupunguza concentration yetu ya kilichotupeleka mjengoni. lakini nawapa big up my good people of tanzania kwa mshikamano wa dhati kipindi chote cha uchaguzi, utangazwaji wa...
  3. K

    Mambo ya kikuku kinaashiria nini??

    unashangaa!!!!!!!!! kamuulize spika wa bunge, maana baadhi ya wabunge wake wa kike wametinga mjengoni na hizo jamaa unaziita vikuku!!!!! hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! mambo ya utanda wazi hayo!!!!! upo hapo?
  4. K

    Mke wa ndoa na Housegirl nani mtamu?

    sasa hapa umetupeleka majaribuni. nadhani swali hili ni muafaka sana kwa wanandoa wapenda onjaonja!!!!!!! ila labda tu kwa kusaidia kuchangia, nina imani kuwa mke ni mtamu zaidi kuliko beki tatu, kwa sababu mwenye nae anajinafasi kwa raha bila hofu.
  5. K

    Movie Scene Filamu ya Kitanzania

    kama ni kazi, basi inahitaji msuli msuli wa uvumilivu. maana kwa hilo pozi!!!!!!! mh!!!!!!! sijui!!!!!!
  6. K

    kulikoni bungeni?

    nisaideni orodha ya wabunge wa viti maalumu ccm ndugu zangu. newz ilinipitia mbali kdogo walipotangazwa.
Back
Top Bottom