Search results

  1. D

    Mgawanyo wa Majimbo: CHADEMA waivuruga UKAWA Mtwara

    hizo ni story za vijiweni huku mkipata kahawa huko ligula CDM haina uchafu huo na hata ukijitokeza watasafishwa mchana kweupee! CDM haina mtu maarufu hata siku moja !ukivuruga unavurugwa pia!
  2. D

    Bikra yampa zali la kwenda Marekani

    mzungu ni mzungu na mwafrika ni mwafrika tu !nenda kaone maisha huko ndo utajua kusuka au kunyoa!
  3. D

    UKAWA wavurugika ndani ya majimbo matano

    hakuna jambo lolote lisilo na changamoto! kikubwa ni kusolve kwani ukitofautiana na mkeo ndo uhame nyumba? tunahama nyumba au kuacha kwa wenye sifa za kufanya hivyo pindi mambo yakishindikana kabisa kama jinsi tulivyoshindwa kwenda sambamba na ccm!
  4. D

    Dr. Slaa is officially jobless

    kwamba moyo unakuuma sana kwa yasiyo kuhusu au ndo moyo na fikra zako zinakutuma upiganie kisicho kuhusu?pole sana ndg endelea kubeba maji kwenye chujio la chai!
  5. D

    UKAWA kuuza jimbo la Nkenge kwa Dr. Kamala, kuweka mgombea asiyejulikana

    msilalamike bila kujua utaratibu wa UKAWA,kuna vigezo vingi sana kama matokeo ya uchaguzi uliopita,uchaguzi wa serikali za mitaa,umaarufu wa mti kwa hiyo haiwezekani mgombea toka UKAWA akawekwa kienyeji tu!vuteni subira mtaona tu muda sio mrefu!UKAWA THE EXPLOSIVES!msihofu
  6. D

    Lipumba: CCM ina wagombea wawili, Lowassa na Magufuli

    hana jipya huyoo ni kigeugeu profesa mzima anaendekeza njaa tu
  7. D

    Lipumba: CCM ina wagombea wawili, Lowassa na Magufuli

    akili zako zinakutuma kuwa upinzani uwe wa walalamikaji tuu miaka nenda rudi waishie kupiga kelele huku mukiwadharau !leo chama tawala kinabomoka munasema hamna upinzani! huo ni wivu tuu suburia chama chako kiwe pinzani ndipo ufurahie upinzani wao !
  8. D

    Kwa kura hizi za Kubenea Ubungo, zinatuonyesha kuwa CHADEMA si wapiga kura ila watu wa kuandamama

    acha pombe wewe kwani unajua idadi ya wajumbe wa wilaya wanaopaswa kupiga kura unajua wapo wangapi?
  9. D

    Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

    mutajijua sana ccm na vibaraka wao na rohi zenu ngumu!
  10. D

    Mkinga Leo Star TV anajichanganya mwenyewe akimponda Lowassa

    mkinga ni mropokaji na hawezi kubalance mambo !kwa ufupi hampendi lowasa na kila wakati hapendi kificha hisia zake kama mnazi wa ccm!
  11. D

    UKAWA, hii vita ni kubwa

    channel ten ni ccm tupu woote wakiongozwa kibwana dachi
Back
Top Bottom