Search results

  1. chk

    Live: Kutangazwa kwa mchezaji bora wa soka Afrika

    Hakuna link ya kuangalia hii kitu?
  2. chk

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu nisaidie namna ya kubet perfect 12.jana niliingia nikaona 12 na tano pembeni sasa sielewi.pia namna ya kuweka hela
  3. chk

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asante mkuu kwa kunifahamisha.sehemu nzuri ya kubet ni ipi ambayo nitalipia kwa kutumia tigo Pesa.maana naona ziko nyingi.nataka nijilipue leo[emoji3]
  4. chk

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau mi mgeni kidogo wa mikeka.naomba msaada namna ya kubeti banko cep na namna ya kulipia.
  5. chk

    Mheshimiwa Rais, je umetusahau watumishi wa umma?

    Si bure utakuwa na zigo la uchafu kichwani mwako.tafuta tiba tafadhali
  6. chk

    Why kokoro imewah 1mil view kuliko Muziki ya darasa

    Tatizo lako umejaa chuki kuanzia kichwani mpaka ktk unyayo.yaani kifupi mwili wako unanuka chuki na wivu kwa WCB.
  7. chk

    Natambulisha Live Online Tv kwenu

    Isingekuwepo kabisa ungesema nin?.jaribu kuwa na shukrani kwa kile kidogo unachopata by the way anatumia muda wake mwingi kwa ajili ya wengi.sasa wewe ukiona huridhiki usiipakue[emoji41]
  8. chk

    Natambulisha Live Online Tv kwenu

    La msingi ni kushukuru kwanza kwa kidogo alichofanikisha.tumuombee uzima atupe na ziada.
  9. chk

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Hata Mimi nataka kupata elimu Juu ya kupunguza mashina katika mche mmoja.kwani unakuta mche mmoja unatoa mashina 4 au 5 hakafu matunda mpaka 8 je hakuna athari ktk ukuaji?
  10. chk

    Nyimbo za WCB huchuja mapema mno je tatizo ni nini?

    Huo muda ungeutumia kuandaa matuta ya mchicha ungepata faida sana.utakufa maskini na wivu wa kibwege
  11. chk

    Yaliyojiri mechi ya Yanga SC vs Azam FC - Ngao ya Jamii

    Mwenye uhakika basi atujuze mechi inaonyeshwa channel gan?
  12. chk

    TV1 Kurusha Live ligi kuu ya Uingereza(EPL)

    Hii nchi wanamichezo tunapata shida sana.Heri tungekuwa walevi wa kitu kingine
  13. chk

    Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Jamani bado hatujapata ufafanuzi mzuri wa kilimo cha mihogo.hatujajua kwa heka Moja unaweza kupanda kwa kiasi gani na mavuno yake yanakuaje.anayejua basi atusaidie ili tuanze maandalizi
  14. chk

    Jimbo la Mikumi kukombolewa

    Acha uboya wewe.tupeane ahadi akishindwa tukufanye nini.
  15. chk

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Uelewa sasa unaanza kuja.maji unabadilisha mala ngapi.? Au hayo hayo mpaka wakue
  16. chk

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Sasa huwezi changanua humu gharama zake.namna ya kupata hao Samaki wadogo kwa faida ya wengi
Back
Top Bottom