Kupambana na hizi bar ni ngumu sana. Wakati pillars ya njiro inaanzishwa, majirani tena wazito walipambana sana, lakini walishindwa. Wazee wa watu maskini imebidi wengine wakimbie makazi yao na kwenda kupanga. Inaumiza saanna yani.
Best of the best.. kinunda..... mwamba Alichangia 99% ya mimi kupata A ya hesabu form six PCM old moshi... bila kumsahau mkali wa physics P.diddy msami
Nilikopa ofisini tshs 10m... wife was jobless... akaomba msaada kwa baba yake.. kipindi bado akiwa ni mchumba wala hatujaoana.. akapewa 2m... tukachanganya ikafika 12m.. idea was a hardware shop... dahh.. kwa wanaojua hii biashara 12m ni kama takataka... wayback 2014 hiyo.. lakini nashukuru...
Yaani Airtel ni kero kweli. Mtandao mkubwa namna hii mji mzima internet iko 2G? Hata hapa napost kwa shida.
Kupiga huduma kwa wateja, ni mlolongo wa maelezo recorded na huwezi kupata direct access ya mtoa huduma.
Ni kero juu ya kero. Kama mmeshindwa kazi semeni tuhame.
HAhahaha. Ni hatariiii. Na nissan lao bovuuuuuuu.... alafu wanatuambia sisi magari yetu mabovu. Wakati lao la kutupa kabisa skrepa.... muba na tochi lake msumbufu kweli. Ila tochi imebaki moja kwa mkoani na ingine usa... ukishaikuta labda bypass, basi ujue kule moshi - arusha roaf kweupeeeee...
NAni kakudanganya????? Ukishawahi kuona Landcruiser 70 series (mkonge) ikija automatic????? Hata ya 2023.. manual..... gari nyingi version ya kazi (standard version) - hilux, hata V8 landcruiser 200series, amarock, ford ranger zinatoka manual....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.