Search results

  1. Shuleless

    Sheikh Mazinge ukiona mtu mwanasiasa anamtukana Rais Samia basi ujue kachanganyikiwa

    Masheikh ubwabwa bhana [emoji23][emoji23]
  2. Shuleless

    Sikujua kabla, nilikuwa nabisha huku sijui ninachobishania

    Kwamba wanasheria wote walio sema mkataba huo ni mbovu, hawana wanacho jua?!?! Hizi taka hua zinatoka wapi aisee!
  3. Shuleless

    Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

    Pona pona ya hili taifa ni pale tu wananchi watakapo tambua CCM ni adui wa hii nchi anaye takiwa kupingwa kwa nguvu zote. Lasivyo tusilaumu maana ujinga wetu na njaa zetu ndio nguzo yao kuu ya kuendelea kubaki hapo walipo sasa.
  4. Shuleless

    Mwigulu Bungeni amesema fedha aliyolipwa Symbion nje ya bajeti sio Bilioni 350

    Jamaa ni miongoni mwa mawaziri wa hovyo kuwahi tokea kwenye nchi hii. Ni mtu mwenye kibri na majivuno.
  5. Shuleless

    Mufindi: Watu 18 wamefariki katika ajali ya Coaster na lori

    Hii ajari inatishia ugali wetu sasa.
  6. Shuleless

    TEMESA imeshindwa kutoa huduma ya kivuko Magogoni, Serikali ilete mwekezaji

    TEMESA ni janga mpaka kwenye ukarabati wa magari ya serikali... Gharama ni za juu ila ufanisi ni mdogo. TEMESA ni kitengo cha upigaji
  7. Shuleless

    Kassim Majaliwa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2025

    Hakuna presidential material ndani ya CCM, uzao wa panya umeumbwa kufanya uharibifu tu.
  8. Shuleless

    Karma Sio Mchezo!, Hatimaye 'Wasiojulikana' Hawa!, Waanza Kutajana!. Asiyejulikana Mmoja Awataja Wenzake!. Do We Have, a Hopeless Police Force?

    Polisi ni vibaka kuliko vibaka wanao kesha wanakimbizana nao mitaani... Polisi ni genge la uhalifu lililopo kwa mujibu wa sheria. Polisi ni wahalifu nadhifu wenye uniform na mpangilio unao eleweka. All in all KAZI YA UPOLISI NI LAANA!
  9. Shuleless

    Video ya kuchefua ya Dada wa Kiafrika Dubai

    Tamaa ya maisha ya kuigiza kwenye mitandao ya kijamii... Wasanii wengi wa kibongo ni wahanga wa hii mambo. Hua nawaangalia wanavyotamba huko IG wanakula bata Dubai kumbe nyuma ya pazia wanaume wamegeuzwa wanawake na maulamaa wa Dubai, wanawake nao wanalalwa mpaka na ngamia. Worse enough...
  10. Shuleless

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Deployment ya hii killer squad “The hunter” au chechen ambayo imefanywa na Urusi ni taarifa mbaya kwa viongozi wa Ukraine….
  11. Shuleless

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Binafsi naunga mkono maamuzi ya Putin, USA na wenzake wa NATO wanatishia usalama wa Russia.Linapo kuja suala la usalama wa nchi hakuna mjadala. Ikiwezekana Putin aandae ICBM zake ikitokea wameingilia atume hizo kitu kwa USA na washirika wake. USA hajaadhibiwa kwa muda sasa baada ya kufanya...
  12. Shuleless

    Sababu za CCM kutoanguka tangu Uhuru hadi sasa

    Tatizo lipo kwa raia, wengi wamekosa elimu hasa ya uraia.
  13. Shuleless

    IGP Sirro: Ni aibu sana kuruhusu jambazi kutawala nchi yetu

    nadhani kwasababu sirini yupo affiliated na chama fulani cha siasa ambacho kimeshika dola na yeye kulinda maslahi ya chama chake ni kutoa kauli kama Hizo.
Back
Top Bottom