Search results

  1. kikaragosi

    Majina pccb,pdf format

    NImejitaidi kuraisisha kazi maana kwa wanaujua kutumia PDF
  2. kikaragosi

    Mimba kutoka limekaa vp wadau

    Mwezi wa pili mpz wangu aliniambia mimba imetoka ikiwa na wiki 5 na kwa mujibu wa ilo swala alisema eti amekunywa dawa cz alikuwa anaumwa tumbo,sasa alienda hospita akasafishwa na kipindi hizo mie nlikuwa safarini.Tatzo c mimba kutoka au ameamua kutoa mwenywe thn ajifanye imetoka ila toka siku...
  3. kikaragosi

    Umuhimu wa jkt ili kuajiriwa jwtz ni huu hapa

    'Wakati huohuo, JWTZ limesema baadhi ya vijana walioajiriwa bila kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ndiyo wanaolichafua jeshi hilo kwa kushiriki vitendo vya mauaji ya raia na kufanya uhalifu. Kanali Mgawe alisema askari wa JWTZ wanaojihusisha na vitendo hivyo ni vijana ambao...
  4. kikaragosi

    Kazi ya wajumbe wa katiba ni noma

    Wadau tukipata katiba mbovu yenye mabadiliko kidogo basi UJUE viongozi wetu wa KATA ndo chazo kikubwa,yote kupeana nafasi kwa kujua c mtu mwenyewe sifa ya kuwakilisha wananchi wa eneo la wajumbe hao. Mchakato wa kura za wananchi ni vituko alafu mbaya zaidi kuwateua watu hao eti wajumbe ndo...
  5. kikaragosi

    WAZALENDO WA USAILI WA JKT MKOANI DAR. Tar 4/2/2013

    Juzi j.3 kulikuwa na usaili wa vijana wanaotaka kujiunga na JKT mkoani dar,huku mikoani bado ndo tunawasubiria wanakuja wiki ijayo. Sasa nataka kujua ww mdau ulikuwepo katika usaili huo kuna ishu gani ili nasi tujipange mapema.NAWASILISHA
  6. kikaragosi

    Kwa hili nbs hapana sensa ya mwaka huu

    Mimi nimebahatika kufanya kazi ya sensa hapa jijini Dar japo nililoshuhudia Makarani wengi wamepachikwa na wametumia majina c yao cz wamefoji Elimu hivyo wengi hawawezi kazi na wengine wamekimbia sasa cjui uzembe wa NANI. Jambo baya zaidi jana liambiwa leo kuna watu wanaenda kufanya interview ya...
  7. kikaragosi

    Kwa wale waliopata kazi ya sensa malipo ni.......

    mimi ni mmoja wapo kati ya niliyopata kazi ya sensa tumeambiwa tutalipewa elfu35 kwa siku na 250000 kazi ya sensa pamoja na nauli elfu35 kwa wenye dodoso ndefu kwa fupi cjajua. NAWASILISHA WADAU pia nashukuru sana kwakuwa nlijua hyo kazi humu pamoja na ikupata le form yao ya kujaza
  8. kikaragosi

    Ajali yaua watu watano

    Habari wana JF mi nipo njiani nimekuta ajali ya magari mawili yamegongana katkat ya tanga na kilimanjaro na watu 5 wamefariki NA tukio lingine ABIRIA moja mwanamke amefarki kwnye gari akitokea pande za Arusha au moshi kwenye gari kampuni la Dar express maeneo ya Usagara
  9. kikaragosi

    Ngeleja ametudharau kama hajatutusi.

    Nilisoma kwenye magazeti vichwa vya Habari vikisema KUANZIA KESHO MGAO WA UMEME BASI,kipindi cha nyuma waziri mkuu akasema umeme utakuwa historia kukatika KUMBE maana ya basi na historia yaani kuwa na umeme masaa 24 ni ndoto eti mitambo miwili wamewasha wakati mgao bado upo vile vile tena...
  10. kikaragosi

    Hivi wanawake wana akili ya mapenzi kweli?

    Nimeamini mwanamke c wa kumuamini na c wote ILA wengi wao cjui wana fikiria kitu gani,Mfano jana kuna demu ameletwa na rafiki yake ambaye ni shem wangu basi tukapiga story sana yule demu akaonyesha dalili ya kunipenda kama unavyojua wanaume nikamuonyesha NAMI nimekufa nimeonza KUMBUKA ndo...
  11. kikaragosi

    Maandamano Chuo Mlimani

    Kwa habari nlizopata usiku huu kutoka kwa mwanafunzi.Chuo Mlimani kitakuwa na Maandamano kama Egypt kuimiza serikali iwaongee mkopo kwa ajili ya matumizi
  12. kikaragosi

    Nyota yangu ya punda

    Nimeamini ukiwa na nyota ya punda shukrani ni MATEKE yapta wki mbili toka niachae na mpz wngu baada ya kuona dalili za kunichoka na nlipomweleza mambo yake aliniambia kuwa ana HISI ya kimapenzi na mm cku nyingi na hana sabbu imetokea tu ila bado ananipnda.Je nifanyeje wana JF na mi nampnda na...
  13. kikaragosi

    Jamani mapenziii

    Wana JF mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa pili tatizo langu mapenzi yananiumiza sana kwanza nlikuwa na mpz toka secondary tulipo karibia kuja chuo akanisaliti na sasa nipo nae clac moja japo hatongei kwakuwa anaishi na mwanaume nae tupo clac moja.Sa mwenzi wa 4 nlipata mpenzi mwingne...
Back
Top Bottom