Search results

  1. g da sparta

    Sipati picha..

    Umeona hayo tuuu
  2. g da sparta

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mshkaji wewe unanyota uwe unatutabiria kila siku!!
  3. g da sparta

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ugu gu timu gwa wana gunners guna matatzo sana wanaweza wakachana mikeka ya watu wengi
  4. g da sparta

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu eti kutumia meridian bet ukishajisajiri inakuaje pale unaposhinda mkeka wanakutumia pesa au unaenda kutolea kwenye office zao??
  5. g da sparta

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    We jamaa ukikosa la kuongea uwe unatulia sio kuropoka!! Aliekuambia wanaobet wanaliwa sana ni nan??dunia nzma watu wanabet it means inafaiada kwao wangekuwa hawapati faida wangeacha!! Binafsi sitaacha kubeti mpaka waache wao!! Kila wiki napata faida ya laki moja!!
  6. g da sparta

    Kozi za Afya 2016/17, Ushauri na maoni

    Mvumi sio kizur nakushaul nenda sehemu nyingne kwanza mazingira yao mabaya arafu ada yao ni noma!!haiendani na huduma zitolewazo!!!
  7. g da sparta

    Wapenzi wa Nollywood

    Samadola,
  8. g da sparta

    Nimejaribu nimeshindwa

    Kupenda soka la bongo NIMEJARIBU NIMESHINDWA
  9. g da sparta

    Series (Special thread)

    Hivi series ya legend of the seeker inaishia namb ngap??
  10. g da sparta

    Nimekupenda kutoka moyoni...

    Sikiliza aiyola ya harmonize utaelewa
  11. g da sparta

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wangu ulikuwa hivi!! Lazio draw first half Liverpool win Borussia dotmund win Sparta win
  12. g da sparta

    Car4Sale TOYOTA PRADO INAUZWA

    Mhh kama ya bro iko ivo ivo!! Alinunua mwaka juzi
  13. g da sparta

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Mara ya mwisho kupiga jana usiku wakati nalala
  14. g da sparta

    Rais Magufuli amteua Balozi John William Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

    Hicho ulichoandika ni kiswahili au??
  15. g da sparta

    Nyati cement: Tangazo lenu kiboko!

    Yan bora hata wangeweka tangazo kwamba nyumba inabomoka lakini kwa tabu!! Kwa sababu mimi siwez kununua cement yao kwa kuwa napenda kurekebisha nyumba yangu na kubadilisha raman mara kwa mara!! Asa kama haibomoki wamenikosa kwa kweli!!
  16. g da sparta

    Mwanafunzi SAUT auawa kizembe

    serikali iliangalie vizur ili suala la wananchi kumpiga kila raia anaeitiwa kuwa ni mwizi na mtu fulan bila kujua ukwel wa jambo hlo uko vipi, wananch wamekuwa wakichukua jukumu la kuwaua watu hawa!! Nafikiri police imewekwa kwa ajiri ya kuleta usalama wa raia na mali zake!! Hvo wananch...
  17. g da sparta

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Vipi mkuu mkeka wako umechanika vibaya!!!
Back
Top Bottom