Search results

  1. Paul Buchira

    TANZIA Mchekeshaji Jumanne Alela maarufu kama "Mzee Matata" wa Mizengwe afariki dunia

    Dahhh mzeee tulikuwa wote pale Muhimbili kweli niliona alikuwa anaumwa... pumzika kwa amani.
  2. Paul Buchira

    Diamond Platnumz anavuna alichopanda. Wasanii wenzie wasilazimishwe kumuunga mkono. Mmesahau ya Fiesta kipindi cha Makonda?

    Achana!! na dogo aisee wacha afanye kazi mwacheni wivu hakuna msichojua kuhusu huyo dogo kuanzia elimu yake na mafanikio yake sasa zaidi unataka usaidiwe nini?
  3. Paul Buchira

    Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

    Potelea pote lazima tumpe ukweli wa Dunia[emoji16]
  4. Paul Buchira

    Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

    Hujatoka wewe lakni mwenzio anatoa kama kawa hawezi kukoswa ubunifu kwa sababu yako, kisichokutoa hapo ni ufundi wa mama sio vingine..tunasema maji kila kilefu inaitaji uzoefu[emoji16][emoji16]
  5. Paul Buchira

    Nimpe kiasi gani kama shukrani?

    Nafkri litachukuliwa kivingine...lakni fatilia uzi huu wapo watu watakupa ushauri mzuri na utajifunza kitu. binafsi 5% itatosha nayo itategemea na namna mlivyopeana kazi.
  6. Paul Buchira

    Nawezaje kujua mtoto ni wangu au si wangu bila kutumia DNA?

    Unataka kujua iliiweje?? Uo utoto ukikua utaacha..we baba yako kauliza wapi kuju wake au sio sioni sababu yoyote lqbda kama matymizi yamekulemea au mama anarukaruka.
  7. Paul Buchira

    Ugawaji wa masafa ya redio: Ni kwanini kusiwe na ''frequency'' moja kwa kituo kimoja cha redio nchi nzima?

    Watalaam wa mienendo ya mawimbi, vyanzo na utunzaji wake watakuja na majibu...
  8. Paul Buchira

    Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

    Vuta bangi mwanagu utakuja kunishukru siku moja[emoji23] Kubwa zaidi umaskini unagonga odi kwenye maisha yako.. Hiyo ni dalili moja wapo[emoji122].. Soma vitabu vya uchumi na mafanikio ya watu.. Usipende kujikatia tamaa hakuna lolote gumu Duniani isipokuwa kifo.
  9. Paul Buchira

    Hili ni tatizo kwa vijana wengi wa Kitanzania, nimesikitishwa sana. Serikali iangalie jambo hili

    AHSANTE BRO, kesho naomba nikutoe chai hapa kwa mama mmoja anapika vizuri utaweza kweli??
  10. Paul Buchira

    Umasikini hurithiwa; masikini huzaa masikini

    Nakujibu kwa kwa namna hiyohiyo ya falsafa yako,fanya reseach zaidi isitumie ubabe wa kusoma kitabu kimoja au viwili ukajiona mwamba Neno maskini au tajiri vinatafsiliwa vibaya kwenye jamii yetu..unaweza kuwa na utajiri wa kipumbavu au masikini mjinga haya maneno unatakiwa kuyafanyia kazi na...
  11. Paul Buchira

    Hii UNI OFA ya Airtel vipi?

    500mb???? huna matumizi yoyote mkuu unachosha Jf kwa nyuri uchwala wangekupa mb1 kabisa mkamalizana hukohuko.
  12. Paul Buchira

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kufanikisha lengo hasa kwa watu wanajifanya wanajua
  13. Paul Buchira

    Huyu Kigogo wa TRA mkewe atamponza!

    Ubinafisi mwingi sana kwa raia wa..( ) na hii ni kutoka juu kweda chini kutoka chini kwenda juu ..ndoano imepata mboga[emoji23] Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom