Search results

  1. K

    Kinachomsukuma Lowassa kuupata Urais kwa udi na uvumba: kulinda ill gotten gains!

    Njoo na ushaidi wa utajiri wa Lowasa hapa sio ngonjera na majungu. Nyie ndio mnatakiwa kupimwa akili zenu kama zipo sawasawa. Unakaa na kufikiria uandike uongo gani uupeleke JF hii ni hatari sana.
  2. K

    Kama Lowassa alitabiriwa na TB Joshua kuwa Rais TZ, Iweje sasa atumie Pesa kukampenia Urais?

    Marehemu Shekhe Yahaya Hussein alitabiri 2008 kuwa Lowassa atarudi kwenye madaraka ya juu ya nchi. Walio msikia watakumbuka
  3. K

    Mahubiri ya kwanza ya Askofu Kilaini tangu sakata la Escrow(VIDEO)

    Maaskofu kama hawa wanatakiwa wasiongoze inada takatifu. Wapewe majukumu mengine kama vile kutunza mapadre wa zee na kutunza bustani za uaskofuni
  4. K

    Sio dhambi kuungwa mkono na CCM - Kansa Mbarouk

    CCM Wasaliti hawawezi kuwasaidia labda vyama vingine lakini sio CDM
  5. K

    Wakati wa mimi kusema umefika

    Inchi hii inashida nyingi Du! Idadi ya wendawazimu inazidi kuongezeka.... Hivi Malya hana ndugu? wampeleke hospitalini haraka
  6. K

    UKAWA Wanatumiwa Kuleta Machafuko

    Inchi hii shida tupu! Wagonjwa wa akili wana zidi kuongezeka.... Bangi mbaya sana hii inanikumbusha jamaaa mmoja baada ya kukoleza bangi akawasha taa ya mafuta mchana jua linawaka akaanza kusema washikaji! washikaji ! washikaji mbona mnatembea bila taa wakati usiku wagiza nene hivi?
  7. K

    Freeman Mbowe akabidhiwa fomu za kugombea uenyekiti CHADEMA Taifa

    Haya wenye chama chetu tumechagua Mbowe atuongoze na wewe toka ACT unatuchagulia nani? ili tufurahishe nafsi yako na walio kutuma
  8. K

    Mbowe: Mimi kisiki, anayetaka kujipima ubavu na mimi aje

    Tulikuwa tunaomba usiku kucha Mbowe arudi ulingoni naimekuwa inatosha kumshukuru mungu kwa hilo..... Wenye chama chetu tunajua kwa nini tunamtaka Mbowe
  9. K

    Ni vigumu kuwashinda Mbowe na Dr.Slaa CHADEMA

    CCM always track CDM for what? I don't know! When CDM plant a seed CCM try to kill them before they grow like what they did to ZZK, but now they are introuble for Freeman Mbowe comming back to the bettle field....
  10. K

    Kuelekea uchaguzi mkuu CHADEMA: Mkakati wa adui ni huu hapa

    Subirini Kuiba kura 2015 Kama mlivyo zoea. Mambo ya uchaguzi ndani ya CDM hayawahusu
  11. K

    Madhara ndani ya CHADEMA baada ya mgogoro na Zitto Kabwe

    Haya matamanio ya CHADEMA kufa yatabaki hivyo tu, Ulizeni ile nyara yataifa iliyo kimbia hifadhi ya wanyama pori kule Gombe ilisema hivi CHADEMA Mwisho 2013.
  12. K

    CHADEMA msipuuzie ushauri hata kama ni kutoka kwa shetani, sometimes the devils does good deeds

    Ukiona mtu anakushauri usikilize ushauri wa shetani ujue huyo ni shetani. Huhitaji kuwa na elimu ya juu kufahamu hilo
  13. K

    Sababu mbili kubwa za Mkutano mkuu kuwarejesha Mbowe na Dr Slaa uchaguzi wa ndani 2014

    Acha kutaja Mbowe au Dr. Slaa mbele ya CCM na tabaka lake ... Wanateseka sana kusikia majina haya
  14. K

    Zitto nakupa wiki moja uondoke CHADEMA

    Acheni dhambi ya kuua marehemu... Huyu mtu mnaye taka kumua Tayari ni Marehemu ameshajifia
  15. K

    ACT ndani ya Star TV hivi sasa

    Walikuja CCJ wakajigeuza wakawa CCK leo wakowapi? Itakuwa hawa Alliance for CCM and traitors ?
  16. K

    Dr.Kitila Mkumbo Msomi aliye filisika mawazo

    Wana board nimekuwa nikifuatilia maandiko na kauli za daktari huyu wa filosofi tangu akiwa CDM na Baada ya kufukuzwa na chama chake kwa kushiriki uasi ulio buniwa na zitto Kabwe, Nidhari maandishi yake na kauli zake hazijawahi kunishawishi na kuona kwamba fikra hizo zinatoka kwa msomi wa karne...
  17. K

    Abel Magembe-mgombea ubunge jimbo la Sumbawanga Mjini-CHADEMA

    Huyu mtoto Magembe wa CCM anamfahamu?
  18. K

    Kwanini Dr Slaa hajitokezi kugombea Ubunge Chaguzi Ndogo?

    Presidential candidate for MP ! Too low!
  19. K

    CHADEMA yatoa ufafanuzi kuhusu helkopta 3 kata 3

    Matamanio ya wanasiasa siku zote nivigumu kuya pinga na amini kabisa ccm na wa fuasi wao wamechanganyikiwa hawajitambui kama kweli wanajitambua basi wange fanya kazi ya kutimiza ahadi na sera yao ya uchaguzi badala ya ku fikilia kuwa chadema ina kufa. Na wahakikishia hamuwezi kuua mageuzi ya...
  20. K

    Maisha yamenishinda nahama mjini

    Haya maisha bora kwa kila Mtanzania mbona siya pati namimi mbona ni Mtanzania au ninakosea nini au natakiwa kuwa na kadi ya chama cha Mapinduzi? Mbona sielewi kila sikubheri ya jana. Naomba msaada wa mawazo nifanyeje ili leo iwe bora kuliko jana,nimeamua kuhama mjini nikajaribu maisha ya...
Back
Top Bottom