Search results

  1. C

    Arusha: Hongera Monaban (Mollel), CCM umeibeba vya kutosha

    Waliompa kula ni wageni,na huyo Monaban itakuwa wamemvua "uarusha arusha" kwa kuwa yy ni ccm, uliza swali jingine..
  2. C

    Rais Magufuli: Hakuna sherehe ya Uhuru mwaka huu, Badala yake mkafanye Usafi

    Siyo u-dictator ,ni mchaka mchaka wa kufikia MABADILIKO YA KWELI..
  3. C

    Mwanasheria Mkuu abomoa hoja za UKAWA, Asema hazina mantiki kikatiba!

    Mbona Nyerere alikuwa Rais wa JMT na kura zake zilikuwa za bara tu..leo hakuna ajabu..
  4. C

    Kutoka Bungeni: Wabunge wamchagua Dr. Tulia Ackson Mwansasu kuwa Naibu Spika wa Bunge la 11 la JMT

    je umeshaona mtu ana uwezo sana darasani lakin anashindwa kumfundisha mwenziwe? hapo unasemaje?
  5. C

    Watumishi wa Serikali hawampendi Magufuli

    ni hapo kwenu lakini wengi hawampendi,tena hapa kwetu tokea kampeni,wanasema atawapelekesha sana,Watanzania hawapendi kufanya kazi aise,inaniuma sana ,watu wanataka wakae tu ,kisha wabebe mshahara na kula rushwa,kama hatutabadilika kila mmoja, kamwe Tanzania itabaki hapahapa hata aje Malaika...
  6. C

    Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru: Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania

    Hata kwa wazungu zipo,mfano mzungu ikimtoka mkononi glass au sahani na kuvunjika ni ishara ya mkosi..tuulize cc...
  7. C

    Prof. Kitila Mkumbo, muogope Mungu!

    kwani wewe hukufuatilia..?unauliza nn?
  8. C

    TB Joshua akutana na viongozi wa UKAWA

    Kwa kweli mimi nilimjua alipmtabilia EL,maarufu kwako kutokana na itikadi zako,na mbona amekosea kutabili,then nikampuuza kwa kuwa alikuwa anafanya kampeni,so ckumtofautisha na Ng...jima..
  9. C

    Lipumba 'ajirudisha CUF' kiaina

    Kwenye kumbukumbu zangu Lipumba hakuondoka CUF bali alijuvua cheo,msiwe wagumu wa kuelewa..
  10. C

    Urais Wa Dr. Magufuli ni funzo kwa Wengine

    je?,fraud imefanywa ktkt majimbo 188,tumia akili..
  11. C

    Frederick Sumaye na kusaidia upinzani

    umenifurahisha kukubali Lowasa alipata 39%,miaka ijayo unaweza kuwa mwanasiasa mzuri,ucpelekeshwe..
  12. C

    Rais mteule Dr Magufuli atuma salamu kwa wanafiki ndani ya CCM

    Yalifika 90 au 100,hayo majimbo waliodhulumiwa...
  13. C

    Mbinu ya kitoto iliyotegemewa na UKAWA!

    Kwahiyo unakubali kwamba Lowasa ameshindwa,kutokana na sababu ulizozitoa...asante..
  14. C

    Walimu nchini mjiandaa kwa Laptop

    Nadhan ndio maana walimchagua Magufuli na sio ccm..na walimkataa Lowasa na siyo cdm..
  15. C

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Tehe..tehe..dharau hizi......
  16. C

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Tatizo lenu mnapenda siasa za chuki na mabifu...
  17. C

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Kauli mbovu ndio safi,hakuna kuchekeana,uso wa mbuzi tu,kazi kazi kama wachina,mchakamchaka mpaka watu waombe poo..
  18. C

    Magufuli umeokoka unakubali kubeba mzigo wa dhuluma

    waongee wengine c Kagame,kwan nan hajui jinc anavyotawala..
Back
Top Bottom