Search results

  1. G

    Historia Fupi ya CHADEMA, Dr. Slaa na Wilaya ya Karatu

    kamzidi hata nyerere
  2. G

    Historia Fupi ya CHADEMA, Dr. Slaa na Wilaya ya Karatu

    Anko nitajie hizo shule za advance.je hicho chuo kitajengwa wapi?ucnielewe vibaya nataka kuweka clear ma records
  3. G

    Historia ya Wimbo wa Taifa wa Tanzania na mtunzi wake

    thanks kwa somo lako
  4. G

    Natafuta photocopy machine

    thanks boss
  5. G

    Natafuta photocopy machine

    contact zake please
  6. G

    Mtikila: Slaa alishinda kwa 71%

    wanasheria mtusaidie. Je mahakama zinauwezo wa kutengua maamuzi ya tume kuhusiana na uchaguzi wa rais au la? Kama ndiyo wanasheria wa chadema wanasubiri nini?kama la mi naona tuwawajibishe waliotunyang'anya ushindi wetu.ili wengine wasijetokea kwenye uchaguzi ujao.
  7. G

    Historia ya Wimbo wa Taifa wa Tanzania na mtunzi wake

    sasa ni nani mtunzi wa wimbo huo wa taifa la tanzania
  8. G

    Aibu ya Udom hii hapa!!!

    sawa kabisa cyanic umewapa ukweli.wakija kitaa huwa ninawaambia
  9. G

    Aibu ya Udom hii hapa!!!

    Hicho chuo hakina tofauti na hizi sek za kata
  10. G

    Elections 2010 CHADEMA yatoa tamko: Hatumtambui Kikwete kama rais

    Kuwe na time frame ktk kuanika uovu huo wa uchakachuaji wa wa matokeo kwani uchelewashaji wake unaresult mbaya kwa chama na taifa
  11. G

    Natafuta photocopy machine

    poa naomba contacts zao
  12. G

    Uanzishwaji wa mashina ya CHADEMA ktk shule za sekondari

    Kuanzisha shina la chadema ni bora zaidi kwani kuna advantage nyingi kwa mfano tutazitekeleza kwa vitendo falsafa ya kupambana na upotevu mali za wanafunzi(shule) km majembe, slasher,ndoo nk
  13. G

  14. G

    Natafuta photocopy machine

    mtu anayeuza photocopy machine mpya au iliyotumika anipatie bei ili tufanye biashara
  15. G

    Uanzishwaji wa mashina ya CHADEMA ktk shule za sekondari

    wanajamvi mi ni tcha wa sec ninaprogram ya uanzishaji mashina ya chadema ktk kila shule za sec ktk hii wilaya yangu ili kusongesha ukuaji wa chama.je kuna sheria itakayonibana?kama ipo nipeni na reference kama haipo niungeni mkono kwa kuanzisha mashina hayo ktk shule za wilaya zenu
  16. G

    Askofu amwambia Lissu asipeperushe bendera ya chama chake kwani inawaumiza sana CCM!

    Kamanda lisu piga kazi ikiwezekana fanya uchunguzi hadi kanisani kwa huyo askofu huenda na yeye anawachangisha waumini wake michango haramu
Back
Top Bottom