Search results

  1. mka

    Kulikoni king'amuzi cha DSTV Explorer?

    Mtafute fundi aongeze signal mkuu. Jana nilipata shida kama hiyo.
  2. mka

    Uteuzi ACT Wazalendo Kamati za Taifa

    Nilidhani ACT watachagua watu wenye sifa kweli na sio matapeli kumbe nilijidanganya.
  3. mka

    Je ninaweza kukishitaki chuo kikuu?

    Unaweza shitaki. Kifungulie Chuo chenyewe kesi. Soma Sheria ya Vyuo Vikuu inaeleza kuwa waweza shitaki chuo.
  4. mka

    CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

    Kumbe manati ni kifaa cha kijeshi?
  5. mka

    Waislamu watoa tamko, kusomwa kila Msikiti Ijumaa

    Afadhali wawaunge mkono UKAWA waliotoa tamko la kususia kura ya maoni. Japo kwa dhamira tofauti.
  6. mka

    Alikotokea Nabii Frank Julius Kilawah wa Shilo Ministries

    Umesahau kuwa alipotoka Iringa alikwenda Nigeria ndio akafungua huduma Tanga
  7. mka

    Tanzania to send mission for negotiating USD 77bn/- debt

    77 Billion USD? Is that figure correct?
  8. mka

    Jokate: Diamond hana akili timamu

    Mungu wangu. Hivi unaelewa unachoandika?
  9. mka

    Kampuni ya PAP ilighushi nyaraka kabla ya kuchota mabilioni kutoka Escrow account

    Mkuu kisheria kama umepata hasara kutokana na mtu mwingine kugushi unaweza kumfungulia kesi ya madai. Ikumbukwe kuwa kesi ya madai inaweza kuendeshwa japo kuwa kulikuwa na kesi ya jinai.
  10. mka

    Kampuni ya PAP ilighushi nyaraka kabla ya kuchota mabilioni kutoka Escrow account

    Mkuu Ukawa hawawezi kwenda mahakamani kwa kuwa hawana 'locus' kwenye hilo suala na sio ukosefu wa jambo la maana au ushahidi.
  11. mka

    Kampuni ya PAP ilighushi nyaraka kabla ya kuchota mabilioni kutoka Escrow account

    Habari imeandikwa kuwa Rugemarila alifungua kesi ya madai akapata zuio na baadae akaifuta kesi hivyo.
  12. mka

    Bikra_wa_kisukuma

    Jina lake halisi ni Seth Ketende alisoma Tumaini University-Iringa Bachelor of Business Administration 2005-2008. Kuna wakati alikuwa anaimba nyimbo za injili akaacha na kuanza ulevi kiasi. Ni kweli Seth amefanya makampuni mengi tu na kuacha kazi/kufukuzwa baadae akaamua kujiajiri. Sasa kuhusu...
  13. mka

    Naomba kuuliza feza boys ada shiling ngapi kwa mwaka?

    No kweli Mkuu Mimi ni UCT class of 2012 naunga mkono hoja yako.
  14. mka

    Babu Tale: Diamond hatumiki kusafirisha dawa za kulevya

    Hizo hela wanagawanaje wote ie Diamond, Babu Tale na Fella? Maana dollar 15,000/- ni kubwa kama anachukua mtu mmoja? Je kila wiki wanafanya tamasha?
  15. mka

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Kutenda tendo la ndoa? Kama shauri lipo mahakamani usubiri uamuzi Wa talaka. Sheria haimlazimishi kukupa unyumba. Ingawa kutopewa unyumba yaweza kuwa sababu ya talaka.
  16. mka

    Sheria ya ndoa: Haki na wajibu wa mume/mke katika ndoa

    Mkuu kulingana na Sheria za Tanzania ndoa inapaswa kuwa Kwa madhumuni ya kudumu sio Kwa muda. Pia ni kati ya mwanamke na mwanaume. Pia mwanamme na mwanamke wanapaswa kuwa walizaliwa na jinsia zao hizo sio kwa kubadili jinsia.
  17. mka

    Sheria ya ndoa: Haki na wajibu wa mume/mke katika ndoa

    Mkuu Polisi cheti cha ndoa ni ushahidi kuwa mmeoana. Hivyo Kila mwanandoa anapaswa kuwa na nakala yake. Pia cheti cha ndoa kinatolewa na Serikali siyo kanisa. Mfungisha ndoa awe Mchungaji au padri (Kwa wakristo) anapewa leseni na serikali ikionyesha ana mamlaka ya kufungisha ndoa. Na akitoa...
  18. mka

    Sheria ya ndoa: Haki na wajibu wa mume/mke katika ndoa

    Mkuu Sheria ya Ndoa, 1971 imetambua ndoa zinazofungwa kulingana na imani za wafungaji. Mfano ndoa ya kikristo yapaswa kua kuwa ya mke mmoja. Hapa tumekumbushana wajibu Wa mwanandoa na ukisoma wajibu utajua kuwa mwanandoa akiufuata atakuwa anailinda sakramenti hiyo (Kwa wakristo).
Back
Top Bottom