Search results

  1. Kingsharon92

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela na Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza hivi stendi ya Nyamhongoro mnaionaje?

    Kama kuna aliyetuloga nchi hii basi tumtafute tufanye tambiko laana na uchawi utuepuke, nimefika stendi ya mabasi nyamhongolo nadiriki kusema tumelaaniwa yaani mazingira ya nje kuanzia barabarani hovyo kabisa. Hivi nawauliza mliwaza nini kuacha mazingira yanakuwa ya hovyo kiasi hiki?
  2. Kingsharon92

    Kuna wenye nyumba wana roho mbaya usiombe

    Natumaini wote mu bukheri wa afya vijana kwa wazee wenzangu Naja tena na ushuda wa niliyoyapitia kwenye upangaji Mwaka 1984 mitaa ya uhuru mwanza nikapata nyumba ya kupanga kwa mzee x na mkewe. Nami nikiwa na mama watoto classmate wangu na watoto wetu wawili nikiwa nafanya kazi ma mzee mmoja...
  3. Kingsharon92

    NHC ni muda wa kuleta wawekezaji wajenge nyumba za kisasa Mwanza

    Kwenu shirika la nyumba la taifa sasa ni wakati wa kwenda na wakati vijumba vyenu pale katikati ya jiji la Mwamza jamani vinatia aibu Dunia ya leo vinaonekana kama vibanda tu. Ni muda Sasa tulete wawekezaji hivyo vibanda tuvipige nyundo yasimamishwe maghorofa kama ya NSSF jiji lipendeze yangu...
  4. Kingsharon92

    Enyi madereva wa masafa marefu acheni roho mbaya dhidi ya wasaidizi wenu matingo

    Natumai wote ni wazima wazee kwa vijana poleni na mvua za masika zinazoharibu miundombinu yetu. Moja kwa moja nianze kwa kusema kama dereva wa masafa marefu niliyetundika daruga 2010. Uliza Congo uliza Malawi Zambia Uganda kenya Burundi rwanda hapo nikiwa na chuma cha msweden scania 113 pulling...
  5. Kingsharon92

    Kazi zenye laana isiyoonekana

    Natumaini mu bukheri wa afya vijana kwa wazee wenzangu Msinichoshe nisiwachoshe moja kwa moja Kwenye maada kujadili hizi kazi ambazo mimi naziona kama zina laana fulani hivi 1.wavuvi 2.wachoma mkaa 3.wachana mbao 4.wachimba madini huwezi kukuta wafanyakazi wa hizo kazi katoboa maisha
  6. Kingsharon92

    Miaka 20 ijayo Bila hatua stahiki tunaenda kuwa na taifa la watu kati

    Naandika kwa masikitiko sana Nikiangalia vijana wanavyoteketea kwa pombe, ugoro, bangi, sigara Mpaka napata kichefuchefu Unakutana na kijana miaka 19 mpaka 30 hawajulikani Ni vijana au wazee nadiriki kuwaita ni watu kati si wazee si vijana yaani wapo wapo tu sura zimepauka nguvu walizobakiza ni...
  7. Kingsharon92

    Kuna haja ya serikali kuanzisha wizara ya usafi kuanzia nyumbani Hadi makazini

    Natumai hamjambo nyote Kama Kuna kitu nakichukia hapa duniani 1:uchafu 2:uchafu Jamani kiufupi uchafu Ni tabia na si Kama inavyodhaniwa kuwa uchafu Ni kwa wale watu wa Hali ya chini tu Ila ukweli Ni kuwa uchafu Ni tabia Haijalishi una maisha gani Jiulize unafika hospital kuanzia...
  8. Kingsharon92

    Kwenu madereva na wamiliki wa vyombo vya moto njooni tusemezane hapa

    Natumai wote my wazima. Poleni na majukumu ya kusaka ngohora. Moja kwa moja niende kwenye hoja. Kwa muda mrefu madereva tulip wengi pia wamiliki wa vyombo vya usafiri magari pikipiki Bajaj. Tumekuwa na lawama Sana kwa vyombo vya Dola haswa Traffik na polisi. Kwa unyanyasaji wao kwa sisi madereva...
  9. Kingsharon92

    Rais Samia ondoa hawa watu

    Mabibi na mabwana wazee kwa vijana Swali ya yote napenda kusema tu Jpm uliharibu sura ya miji na majiji yetu kwa kigezo Cha wanyonge Leo hii miji imekuwa Kama masoko au mashamba machinga mama ntilie wametapakaaa barabarani bila mpangilio taswira ya jiji miji haipo Tena Mama Samia ondoa hawa...
  10. Kingsharon92

    Hivi nani alishawahi kushudia Hilo?

    Hajambo wanajamvi ? Naomba Leo tuchangie ushuhuda wa haya Mambo Kwa miongo Kama sita hivi nimeshuhidia wanawake kina dada kina mama wakikamatwa wameiba Ila sijawahi kushuhudia wakipewa kichapo na wananchi Kama ilivyo kwetu vidume ukidakwa wafaaa Je Nani amewahi kushuhudia mwanamama dada...
  11. Kingsharon92

    Unapoambiwa chozi la mwanaume halithaminiki ndiyo kama hivi

    Wanaume tumeumbiwa shida na si raha na ndiyo maana maisha yetu ni kupambana na shida ili kupata raha. Hebu jiulize mwanaume umefiwa au umeumia kweli ukianza tu kutoa chozi utasikia kaka jikaze wewe ni mwanaume usilie unajikaza tu mpaka nyongo inavilia rohoni. Unajaza maumivu mia kidogo Ila...
  12. Kingsharon92

    Wanaume hebu tuulizane, unaanzaje kumpiga mwanamke?

    Habari wazeee kwa vijana? Leo nimekaa nikatafakari Sana bila majibu Hivi mwanaume kabisa umekamilika Unampigaje mwanamke mpaka unamjeruhi mangeo wengine mpaka kuua Huwa mnaanzaje? Hebu jiulize Eva alisababisha Adam akafukuzwa pale Edeni Ila mwanaume hakumaind Wala Nini akabeba mke wake...
  13. Kingsharon92

    Wataalam wa Bima mnahitajika hapa mtoe elimu

    Wataalam wa mambo ya bima naomba mje hapa mtupe elimu kuhusu bima Nataka niende vijijini nikasaidie watu kama 20 iwe kama sadaka yangu Naomba mtiririke hapa mnipe mchanganuo wote
  14. Kingsharon92

    Tazama akili za hawa watu na ufanye utafiti

    Awali ya yote nipende kuwasalimu Nyote kwa jina la yule aliye juu awajalie afya njema Lengo la kuanzisha uzi huu Ni kutafakari akili za hawa watu Mtu mrefu sana kupita kiasi Mfupi kupita kiasi Mnene kupita kiasi Mwembamba kupita kiasi Msomi sana Asiyesoma hata kidogo Mweusi sana Mweupe sana...
  15. Kingsharon92

    Polisi na baa yenu wenye madaraka na nyadhifa hebu tumieni dhamana zenu kihalali

    Niko hapa kwa suala moja tu kuelezana mambo ambayo si ya kiungwana Miongoni mwetu Naanza na hawa wenye vyeo serikalini Mmekuwa mkilalamikiwa sana na hili kundi la wafanya biashara wauza mkaa wenye maduka wauza nyama wenye bar grocery nyie watu mmekuwa kero sana kwa kukopa tena mnakopa huku...
  16. Kingsharon92

    Ukweli ndiyo huu wa marehemu kufa na mali zake

    Poleni na majukumu wapendwa Tukiendelea kulisukuma gurudumua la Taifa mbele hebu tega macho yako uambatane nami tuangalie dhana nzima ya marehemu kusepa na mali zake Natumai mtakuwa ni mashahidi wa kweli tumeona kwa miaka mingi mtu ana pesa za kutosha assets za kutosha ila akifa ndiyo basi...
  17. Kingsharon92

    Serikali kupitia wizara yako mheshimiwa January makamba kama muliweza kudhibiti viroba hebu liangazieni na hili la mifuko ya plastic

    Niseme tu kwa sasa hali ya mazingira ni mbaya sana kila kona pametapakaa mifuko ya plastic si mjini si vijijini kila kona mifuko serikali kupitia wizara ya mazingira hebu liangalieni na hili bila kudhibiti hii mifuko kama wenzetu kenya wameweza hata sisi tutaweza mlithibiti viroba ingawa maumivu...
  18. Kingsharon92

    Jinsi unavyopata mikosi na laana bila kujijua

    Kheri wapendwa wakubwa kwa wadogo Leo ni siku nyingine tena tuutazame mzunguko wa maisha yetu ya kila siku Nianze kwa kusema tu baadhi yetu tumekuwa na tabia au mazoea ya kufanya mambo kwa kujiona Wajanja kumbe ni kujitafutia mikosi na laana bure unakuta mtu miaka na miaka anafanya biashara...
  19. Kingsharon92

    Madereva tuliowahi kukutana na vichapo toka kwa raia na abiria

    Natumai wote mu buheri wa afya pole kwa wale wanaosumbuliwa na mara Mungu awafanyie wepesi. Tukutane madereva tuliowahi kucheza kichapo toka kwa raia na abiria. Mimi nakumbuka ilikuwa mwaka 1993 nimebeba abiria toka Geita kuja Mwanza gari ikazingua clutch ikabidi tukatafute fundi Sengerema...
  20. Kingsharon92

    Kwa taratibu za mazishi za Waislam nawapa kongole

    Nianze tu kwanza kwa kusema wafiadini huu uzi mpige kimya Ndugu zangu Waislam huwa napenda sana mfumo wenu wa kushughulikia misiba yaani inapotokea mwenzenu katika imani ametangulia mbele za haki suala la msiba linakuwa la Waislam wote na si familia tena mtakuwa Bega kwa Bega mpaka mwenzenu...
Back
Top Bottom