Search results

  1. M

    Jaji Warioba: Chama hakiwezi kukasimu nafasi ya kugombea Urais

    mwambieni Warioba umasikini sio sifa na wala utajiri sio laana,ajitume naye aweza kuwa tajiri
  2. M

    Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    sasa tumechoka na huyu Slaa kuongea uongo hasa akiwa peke yake,naombeni uwekwe mdahalo kati yake na Lissu
  3. M

    Lissu, Mnyika, Lema na wenzao 'wamepotea'

    usihangaike hao washashinda mapema sana
  4. M

    CHASO kufanya maamuzi magumu leo Dar es salaam

    mleta mada ana matatizo makubwa,hao wanachama wote wa CHASO wanapatikanaje wakati vyuo vimefunga,au unaongelea CHASO gan,Utter Nonsense
  5. M

    Lowassa hatukuwa rais kwasababu

    Lowasa is the next president,huna hoja ni wivu tu unakusumbua
  6. M

    Kamati ya Kampeni ya CCM kuongea na wanahabari kupinga kauli ya Jaji Lubuva kutoa matokeo vituoni

    mbona haeleweki anaongelea nini,mara vurugu,mara Ukawa kuahirisha mikutano mara Lowasa,shame on him
  7. M

    Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

    kama kweli wewe unampenda Slaa na kumuamini muunge mkono katika kuachana na siasa,hizi porojo hazitawasaidia,poor CCM
  8. M

    Magufuli: Watanzania wamekata tamaa

    Hana jipya
  9. M

    Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

    huna hadhi ya kushauri watu wa Mbeya
  10. M

    Kitila Mkumbo awaponda wanasiasa, wasomi wanaoponda tafiti

    katika wasomi Kitila Mkumbo simuhebu kabisa
  11. M

    Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

    hilo swali muulize yule mgombea anaedhani atafanikiwa kwa kuhutubia kwa lugha ya kabila lake
  12. M

    Mange, you don't look good by making others look bad, jitathmini!

    Lowasa atawatoa damu mwaka huu
  13. M

    CHADEMA asilia mko wapi? Mbona Lowassa anaongozana na wageni wenzake tu?

    Mleta mada acha unafiki ongea tu yaliyo moyoi mwako acha kuzunguka,poor CCM
  14. M

    Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    Hakika sijawahi kuona Shekhe wa hovyo kama huyu hadi kichefuchefu
  15. M

    Huyu Watson Mwakalila katumwa na nani ITV?

    ni mwana CCM na pia kama sijakosea ni mgombea udiwani makongo kupitia CCM,hana jipya
  16. M

    Watanzania wanaanza kuyaona yanapatikana ndani ya CCM, Hebu tuyapime matamshi haya ya wagombea

    ok,tusubiri 25 october yenye wapigakura zaid ya million 23,achana na hao 1823 watakupotosha tu
  17. M

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    kuna haja ya kufanya utafiti wa watafiti wa Kiafrika hasa Tanzania
  18. M

    Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

    mwanzo nilidhani Magufuli ana utu lakini leo nimejua sivyo,tofauti za siasa haziondoi utu wa mtu huwezi kufurahia mtu mzima mwenzio akiambiwa kajinyea,hakika Mungu atawalipa
  19. M

    Wasomi watanzania: Wakili Lissu mfano wa mchumia tumbo na aibu kwa Chama Cha Mawakili

    mbona ww usiyekuwa mchumia tumbo hueleweki wala hujulilani,
Back
Top Bottom