Search results

  1. dmketo

    Msaada wa dawa ya kuzuia magugu: Rilo R500

    Habari wanajamvi. Kama kichwa cha bandiko langu linavyosomeka. Mimi ni mkulima wa Mpunga bonde la Usangu, nina uhitaji wa dawa ya kusindika magugu iitwayo Rilo R500. Naomba msaada mwenye kujua wapi naweza kupata dawa hii. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  2. dmketo

    Nina maswali kuhusu kada ya "Monitoring and Evaluation"

    Habari zenu wadau, kama nilivyoainisha hapo katika heading yangu. Naomba msaada wa mtu ambaye ameshafanya au anafanya kazi kama monitoring and evaluation officer. Nina maswali Fulani ambayo ningependa anisaidie. Kwa aliyopo naomba anicheki inbox ili ikiwezekana nimtafute phyisically...
  3. dmketo

    Wanaotaka Rais Magufuli aongezewe muda wana hoja, isipokuwa kuna sehemu hawafiki

    Nikiri tu kwamba nami ni mmoja wa watu ambao naiona dhamira ya dhati ya Mh. Rais wa awamu ya tano katika kulisaidia taifa letu. Kutokana na kauli zake na matendo yake ni wazi Mh. ana kiu ya kuona mabadiliko ya haraka kwa nchi yetu. Mh. anatamani kuona kila mtu anatembea kwenye nyayo zake ili...
  4. dmketo

    Msaada wa fundi wa kuinstal madish ya Azam

    Naishi Mbezi Njia ya kwenda Makabe. Nimefunga Azam dish yapata miezi 10 sasa. Bahati mbaya siku ya tatu leo limepoteza chanel zote local isipokuwa Azam sport HD, Star Tv na Tv1. Chanel za nje zinaonekana vyema. Nimeita fundi amejaribu kucheki juu kwenye dish kupo sawa na akipima frequency zipo...
  5. dmketo

    Msaada kuhusu Liverpool School of Tropical Medicine

    Wanajamvi, niliomba kazi kupitia website ya hawa jamaa "Liverpool School of Tropical Medicine" (Adm and logistic). Leo wamenitumia email kunijulisha kwamba nimekuwa shotlisted kwa interview 28/11/2016. Naomba yeyote aliye na taarifa za hawa jamaa ani-update hapa kwa faida yangu na wanajamvi...
  6. dmketo

    Msaada wa haraka: Nahitaji kufanya IPSC Test

    Habari zenu ndugu zangu GT's. Nimeomba kazi katika shirika Fulani la wamarekani kwa bahati nzuri nimekuwa shortlisted. Pamoja na mambo mengine jamaa wamenipa siku mbili yaani J4 na J5 niwe nimewatumia scanned copy ya International Pschometric Score Certificate toka kwa international...
Back
Top Bottom