Search results

  1. dmketo

    FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Guys mwenye link ya kuangalia mpira online pls
  2. dmketo

    Ni wapi tena kuliko na matunda ya bei nafuu zaidi ya Kakonko mkoani Kigoma?

    Sasa kuwa makini huko Kakonko wasije wakakuwekea sumu. Unaweza kukutana na kifurushi cha wiki au mwezi ukapotea.
  3. dmketo

    FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

    Guys, msaada mwenye link ya kuangalia hii mechi
  4. dmketo

    FT: CAF Champions League: Raja Casablanca 5-0 Vipers

    Hakuna mwenye link ya livestream jameni
  5. dmketo

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Asante mkuu
  6. dmketo

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Naombeni link guys niangalie hii mechi
  7. dmketo

    Le Mutuz: Magufuli alitaka kunipa uongozi lakini nilikataa

    Mtangazaji ilipaswa amuulize sasa, alimpa connection gani?
  8. dmketo

    Serikali: Bei ya Mchele imefikia Tsh. 3,500, Maharage 3,500, Mahindi 1,500 kwa kilo

    Ipo hivi, baada ya mavuno wakulima wengi wadogo kutokana na mahitaji na wengine madeni huuza mpunga wao ili wapate pesa za kuendesha maisha yao. Hii haimaanishi kwamba nyakati zote huuza kwa hasara. Isipokuwa faida ambayo wanaonunua kwa wakulima wanaipata ni kutokana na wengi wanakuwa na...
  9. dmketo

    Same: Ajali yaua watu saba wa familia moja

    Pumzika kwa amani Sylvester, school mate Kisomachi Sec.
  10. dmketo

    Serikali: Bei ya Mchele imefikia Tsh. 3,500, Maharage 3,500, Mahindi 1,500 kwa kilo

    Mimi ni mkulima na ninavyoongea mpunga wangu upo Ubaruku ghalani, sasa sijui katika sample yako ya hao wasionufaika na kupanda kwa bei na mimi nimo au lah. Na ata hao wakulima wenye mtaji mdogo hakuna aliyeuza gunia la mpunga chini ya 80,000 mwaka huu wakati mwaka jana gunia kipindi cha mavuno...
  11. dmketo

    Serikali: Bei ya Mchele imefikia Tsh. 3,500, Maharage 3,500, Mahindi 1,500 kwa kilo

    Naona watu wengi wanalalamika kuhusu; mipaka ifungwe n.k, jamani gharama za uzalishaji katika sekta ya kilimo imekuwa kubwa sana. Mpaka kilo moja ya mchele inakufikia wewe jua kuna watu wametumia nguvu na gharama kubwa sana. Je mnataka hawa wakulima walime kwa hasara?
  12. dmketo

    Tupia moja ya Mbinu wanayoitumia hasa Wake / Mademu za Watu wakijua Kesho wanaenda 'Kukusaliti' na Mwanaume Mwenzako....

    Sijui nichangie mada kuu ya wanawake kuchepuka au nichangie mada ndani ya mada kugonga wakati mwanamke akiwa hedhini.
  13. dmketo

    Sensa: Kianalogia siku 1, kidigitali siku 7! Could there be something wrong somewhere?! Kesho mwisho! Je, ambao bado hawajafikiwa watahesabiwa?!

    Nadhani sensa ya mwaka huu ina maswali mengi sana ambayo sidhani kama yalikuwa na ulazima. Sasa kuna watu watataka kumchallenge karani lengo la maswali kadhaa na karani unakuta ni mweupe unakuta linaanza darasa sasa toka kwa mhesabiwa kwa karani. Wanasiasa nae wana mchango wao mkubwa kwenye...
  14. dmketo

    Ngoma Inogile: Wapangaji sasa kulipa asilimia 10 ya kodi TRA

    Naelewa vizuri hii kitu. Kwa wale waliokodi vyumba vya biashara ni rahisi sana kulipa withholding tax wanappkwenda TRA kufanyiwa makadilio ya kodi zao, lakini kwa mpangaji kuna ugumu. Ni lazima kuweka motisha fulani itakayowasukuma wapangaji kuwa mawakala wa TRA. Sheria zetu nyingi ni rahisi...
  15. dmketo

    Ngoma Inogile: Wapangaji sasa kulipa asilimia 10 ya kodi TRA

    Hapa wangesema, ukilipa kodi unakata 10% witholding tax na katika hiyo 10 mpangaji unabaki na 4% kama bonus yako ili angalau tuwe mawakala wa faida. Yaani mimi niwe wakala wa TRA kukusanya hiyo 10% alafu nalipa nauli yangu kuioeleka TRA. Kwa huduma gani nzuri tunazopata kama wananchi?
  16. dmketo

    Ni vizuri Majina ya wajumbe wa Kamati ya Bajeti iliyolifikisha taifa letu kwenye Maumivu ya tozo yafahimike na UMMA

    Changamoto kubwa, hawa wakubwa wengi na familia zao hawapitii ugumu wa maisha wanaopitia watu wa chini huku. Kwa kweli hali ni mbaya sana. Mh. Rais hawa watu wanakuchonganisha na wananchi. Wengine wanakitaka kiti chako wanaweka mazingira magumu ili wao wakiingia watatue matatizo...
  17. dmketo

    Ule mwiba kwenye tango pori, kumbe ni mchongoma! 🤔 Ni aibuu ya mwaka!

    Ingekuwa hivyo kwa kweli tungekwisha kabisa
  18. dmketo

    Ule mwiba kwenye tango pori, kumbe ni mchongoma! 🤔 Ni aibuu ya mwaka!

    Watu wengi bado hatuna elimu sahihi kuhusu maambukizi ya UKIMWI
  19. dmketo

    Miaka 10 maandalizi ya sensa lakini hadi sasa vifaa vya sensa hakuna. Hii ni aibu kwa taifa, aibu kwa Serikali

    Nadhani hii si habari ata kidogo, kila kitu kingeenda sawa ingekuwa habari kubwa zaidi. Tumekubali kuolewa sharti tulale utupu
  20. dmketo

    Ule mwiba kwenye tango pori, kumbe ni mchongoma! 🤔 Ni aibuu ya mwaka!

    Hivi ukishatembea na mtu mwenye ukimwi ndio tayari na wewe umeshapata? Naona watu tunachanganya sana hapa
Back
Top Bottom