Search results

  1. M

    Tundu Lissu: Vincent Mashinji alikosa uadilifu ndani ya CHADEMA. Hakuna pengo kuondoka kwake

    Wote tu, ukiona mwanachandema ambae hajafungwa ujue muadilifu tu.... Maana hata wanaofungwa wanakuwa wameonewa
  2. M

    Nani yupo sahihi: Magufuli vs Lissu

    Barrick versus Tanzania 84/16% share, Je ni mwanzo mpya?
  3. M

    Polisi Tanzania wamkamata Profesa Lipumba

    Ni Polisi Handeni hao siyo Polisi Tanzania..................
  4. M

    Kazi na Bata ni kauli mbiu inayomnyima usingizi Dr Bashiru

    CCM sio jina, ni fikra na matendo, huko kwingine kuna CCM yenye jina lingine.........
  5. M

    Kazi na Bata ni kauli mbiu inayomnyima usingizi Dr Bashiru

    Uvivu wa kuiondoa CCM mandarakani inayoshindwa tafuta masoko ya mazao yanaozea kwa wakulima, inauza madini nje kwa bei chee, inashindwa tagaza vivutio vya utalii, inashidwa kuweka mazingira bora kwa wafanyabiashara, inashindwa kutoa elimu bora kwa watu wake ili waweze kujiajiri, inateka na kuuwa...
  6. M

    Wanyama Waliopelekwa Burigi Chato Wahamia Akagera National Park Rwanda

    Yani mmeona weekend ndefu mmeamua kumuaribia mood tu Mkuu.......... Hahahaha.......
  7. M

    Uhalisia uliopo ndani ya CHADEMA usiosemwa machoni pa watu

    Ujumbe ni kwamba "NI RAHISI SANA KUPANDIKIZA RAIS WA MAREKANI KULIKO KUPANDIKIZA MWENYEKITI WA CHADEMA"
  8. M

    Watanzania wenzangu tuliombee Taifa letu, kuna kitu kinataka tokea

    Taja tu Tuokoe na Janga lolote.....
  9. M

    Anguko la Upinzani nani alaumiwe?

    Achana nae, wewe unamwona badala ya kujibu hoja ana-type.....
  10. M

    Ili Kutofautisha CCM na Chadema Tafakari Picha Hizi

    Mtu makini akikatiza mbele ya wajinga........ Kama Messi tu na Mabeki.....
  11. M

    Tundu Lissu: Sitarudi tena Tanzania hadi nihakikishiwe Usalama wangu

    Inawezekana kabisa kutegemea na sababu alizotoa za maamuzi yote mawili.............
  12. M

    Kipilimba alistahili alichopata leo, wanaomwonea huruma wanasahau haya

    Alitakiwa akatae kutumwa kinyume cha taratibu.... Akatae mashinikizo...... Then wakizidisha mashinikizo, alitakiwa ajiuzulu... Hizo ndiyo sifa za watu wanaostahili hiyo post.. Otherwise awajibike tu.....
  13. M

    Mabadiliko kwenye idara nyeti kama Tiss mara nyingi ni top secret

    Kama hizi post hii au kama hizi zimekufanya kuandika basi nawewe unaweza ukawa karibu nao maana ulitakiwa uwapuuze.... Naomba ueleze mabadiliko ya Taradibu na polepole yanakuwaje...?
  14. M

    Takwimu za Deni la Taifa kwa sasa

    Safari hii tutafunga Mstaafu............. Tena bila kubadili katiba......... Maana hata yeye ameivunja sana........ Msitutanie kabsaa...... Hakuna ku-balanceana tena......
  15. M

    Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

    Kama walishauri na yakatokea haya.......... Basi ni hatari zaidi.......... Nilijua walichili tu......... Kumbe Tiss=CCM
  16. M

    Waandamanaji wavamia Ubalozi wa Afrika Kusini kudai kuachiwa kwa ndege ya Tanzania. Watatu wakamatwa wakidaiwa kuwa viongozi

    Yani tuwape ndege(Tausi) mbili ili tukomboe moja....? Si bora tubaki nazo hizo mbili(Tausi) tuwaachie hiyo moja.....
  17. M

    Wanasheria watuelekeze kidogo hapa

    Hawajashindwa bado, ila si unajuwa ni wavivu.... Walitaka kusiwe na kesi ya kujibu ili wale bata.... Ila sasa itabidi wajitee against hoja za Lissu.............
  18. M

    Mkulima aliyezuia ndege yetu Airbus 220- 300 huko Afrika Kusini, alipwe au asilipwe?

    Sasa inatakiwa kila anayeidai TZ aende kulala Salender Bridge ili tuwahesabu na tuwe na rekodi sawa.... Maana madeni ni mengi yanatuchanganya na tunasahau kulipa........ Ila kwa hili la mkulima alishalipwa pamoja na wale wazee wa East Africa.... Nilimuona alilala pale darajani, na walilipwa...
Back
Top Bottom